Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika HakikaKweli, uhuru wa kuabudu isiwe njia ya kufungana kamba kwamba mnaweza kufufua watu. Mfalme aliposema anamfufua Kanumba ilileta taharuki mtaani. Sijui zoezi limeishia wapi! Kagame Yuko sahihi, dini isimame kama huduma ya kiroho sio biashara za waziwazi.
Hakika na walikausha tuIle issue ya kufufua watu, jamaa alipiga pesa huku serikali ikikaa kimya. Watu walipigishwa mazoezi na kuvyalishwa ndevu za kiarabu ili waonekane kama misukule. Ama kweli maisha ni mchezo. Hata hivyo ni nguvu za Giza.
Sawa Lakin tuwe na mipaka ya uongoSerikali haina dini ila unataka kuipa jukumu la kuchagua dini sahihi
Kuna huyu wa pale Mwenge Mpakani anaitwa James Nyakia ni tapeli mkubwa anawaibia watu mchana kweupe. Analaza wagonjwa hata sijui kama Wizara ya afya wamempa kibali.Mambo mengi ya kukemea…
Naanza na kumpongeza KAGAME
1. Ufungui Dini Hovyo hovyo nchini kwake kwa Mgongo wa uhuru wa kuabudu lazima tuwaratibu hawa watu!
2. Kakataza Azana za Asubuhi ni Kelele anasema mwamba kupiga Kelele mijini imepitwa na wakati, mnapigia watu Kelele mitaani, akawasihi kutumia alarm [emoji354]
Nije kwanini Nataka haya mambo yakemewe pia kwetu
1. Hawa wanaojiita manabii na kuwadanganya watu kuwa wanafufua watu MFANO Gwajima, Kwamba anafufua alafu kipindi shujaa wake katangulia naye akalia, ni kuwahadaa watu na kuwaibia kwa mgongo wa SADAKA .
2. Wanawapotosha wagonjwa hadi kutoroshwa mahospitalini mfano Babu wa Loliondo eti alioteshwa! Watu wakahama hospitalin wakafia njiani
3. Kuna huyu anaitwa ZUMARIDI ndo shida hivi serikali inasubiri nini kufungia hawa watu ?
Britanicca
Kuna huyu wa pale Mwenge Mpakani anaitwa James Nyakia ni tapeli mkubwa anawaibia watu mchana kweupe. Analaza wagonjwa hata sijui kama Wizara ya afya wamempa kibali.
Anawauzia waumini wake kachupa ka asali ka ml 10 kwa shilingi 300,000/- mwenyewe anaita package ,ila watu wamezidi ubwege kutangatanga kwenye makanisa wacha wanyooshweKuna huyu wa pale Mwenge Mpakani anaitwa James Nyakia ni tapeli mkubwa anawaibia watu mchana kweupe. Analaza wagonjwa hata sijui kama Wizara ya afya wamempa kibali.
NamKama zumaridi ni nabii wa uongo nani nabii wa kweli , mana dini zote zimetoka kwa Hao wa Magharibi
Kama mtu anaombewa na anapona, unapomkataza asimfuate mtume wake unataka afe?Tunatakiwa kuchukua hatua bila kupepesa macho. Hapo ndio nampongeza kagame.
Zipo madhehebu za ukristo na uislaam za tangu kale zilishaanzishwa.
Enzi ya kuanzisha makanisa mapya ilishapita miaka mingi. Nasema makanisa maana huku ndiko matapeli wa imani ya kiroho wamejaa.
Tena zumaridi alikua ndani mama alipoingia. Wahuni bila shaka wakashauri ni kinyume na uhuru wa kuabudu. Tukaona zumaridi akiachiwa na kupewa tunguri zake aendelee kuhadaa watu huku kama taifa tunajua watu wetu wengi bado ni wajinga.Mambo mengi ya kukemea…
Naanza na kumpongeza KAGAME
1. Ufungui Dini Hovyo hovyo nchini kwake kwa Mgongo wa uhuru wa kuabudu lazima tuwaratibu hawa watu!
2. Kakataza Azana za Asubuhi ni Kelele anasema mwamba kupiga Kelele mijini imepitwa na wakati, mnapigia watu Kelele mitaani, akawasihi kutumia alarm ⏰
Nije kwanini Nataka haya mambo yakemewe pia kwetu
1. Hawa wanaojiita manabii na kuwadanganya watu kuwa wanafufua watu MFANO Gwajima, Kwamba anafufua alafu kipindi shujaa wake katangulia naye akalia, ni kuwahadaa watu na kuwaibia kwa mgongo wa SADAKA .
2. Wanawapotosha wagonjwa hadi kutoroshwa mahospitalini mfano Babu wa Loliondo eti alioteshwa! Watu wakahama hospitalin wakafia njiani
3. Kuna huyu anaitwa ZUMARIDI ndo shida hivi serikali inasubiri nini kufungia hawa watu ?
Britanicca
Aheri hadaa za wanasiasa kuliko za manabii. Amini usiamini.Hakuna tofauti ya manabii na wanasiasa, wote kimsingi wanatutapeli sana.
Hizi kauli za wanasiasa za anaupiga mwingi zina tofauti gani na matendo ya manabii, athali zake kwa jamii zina tofauti gani.