britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Mambo mengi ya kukemea…
Naanza na kumpongeza KAGAME
1. Ufungui Dini Hovyo hovyo nchini kwake kwa Mgongo wa uhuru wa kuabudu lazima tuwaratibu hawa watu!
2. Kakataza Azana za Asubuhi ni Kelele anasema mwamba kupiga Kelele mijini imepitwa na wakati, mnapigia watu Kelele mitaani, akawasihi kutumia alarm ⏰
Nije kwanini Nataka haya mambo yakemewe pia kwetu
1. Hawa wanaojiita manabii na kuwadanganya watu kuwa wanafufua watu MFANO Gwajima, Kwamba anafufua alafu kipindi shujaa wake katangulia naye akalia, ni kuwahadaa watu na kuwaibia kwa mgongo wa SADAKA .
2. Wanawapotosha wagonjwa hadi kutoroshwa mahospitalini mfano Babu wa Loliondo eti alioteshwa! Watu wakahama hospitalin wakafia njiani
3. Kuna huyu anaitwa ZUMARIDI ndo shida hivi serikali inasubiri nini kufungia hawa watu ?
Britanicca