Baada ya Kukemea Ushoga tukemee hata Imani Potofu zote za Magharibi, nazo ni Mbaya Kama Ushoga, naongelea manabii wa uongo kina Zumaridi/Babu Loliondo

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Mambo mengi ya kukemea…

Naanza na kumpongeza KAGAME
1. Ufungui Dini Hovyo hovyo nchini kwake kwa Mgongo wa uhuru wa kuabudu lazima tuwaratibu hawa watu!

2. Kakataza Azana za Asubuhi ni Kelele anasema mwamba kupiga Kelele mijini imepitwa na wakati, mnapigia watu Kelele mitaani, akawasihi kutumia alarm ⏰

Nije kwanini Nataka haya mambo yakemewe pia kwetu

1. Hawa wanaojiita manabii na kuwadanganya watu kuwa wanafufua watu MFANO Gwajima, Kwamba anafufua alafu kipindi shujaa wake katangulia naye akalia, ni kuwahadaa watu na kuwaibia kwa mgongo wa SADAKA .

2. Wanawapotosha wagonjwa hadi kutoroshwa mahospitalini mfano Babu wa Loliondo eti alioteshwa! Watu wakahama hospitalin wakafia njiani

3. Kuna huyu anaitwa ZUMARIDI ndo shida hivi serikali inasubiri nini kufungia hawa watu ?

Britanicca
 
Wewe uko frustrated sasa unanataka kuleta,frustrations zako katika,maisha ya wengine.

Suala la kuabudu ni suala binafsi wewe nani zkiyekupa mamlaka ya kumuanulia mwingine aabudu vipi? Hata dhehebu lako linaweza kuwa la uongo wewe kuliamini sio kigezo cha hilo dhehebu kuwa la kweli.

Kana mtu kwa hiyari yake mwenyewe anaenda kwa mtu akiamini ni njia sahihi ya kupata maisha mema baada ya kifo chake wewe haikuhusu.

Huyo Zimaridi kila mtu anamparamia kwa sababu anaonekana mnyonge na hana wafuasi wengi.

Katika hayo hayo madhehebu/ dini unazosema za kweli kuna maovu lukuki yanafanyika kinyume na hata makatazo ya madhehebu hayo hayo.

Ili amani itawale acha kila mtu aabudu anakotaka mradi anaabudu kwa amani bila kumuingilia mwingine.
 
Mambo mengi ya kukemea…

Naanza na kumpongeza KAGAME
1. Ufungui Dini Hovyo hovyo nchini kwake kwa Mgongo wa uhuru wa kuabudu lazima tuwaratibu hawa watu!

2. Kakataza Azana za Asubuhi ni Kelele anasema mwamba kupiga Kelele mijini imepitwa na wakati, mnapigia watu Kelele mitaani, akawasihi kutumia alarm ⏰

Nije kwanini Nataka haya mambo yakemewe pia kwetu

1. Hawa wanaojiita manabii na kuwadanganya watu kuwa wanafufua watu MFANO Gwajima, Kwamba anafufua alafu kipindi shujaa wake katangulia naye akalia, ni kuwahadaa watu na kuwaibia kwa mgongo wa SADAKA .

2. Wanawapotosha wagonjwa hadi kutoroshwa mahospitalini mfano Babu wa Loliondo eti alioteshwa! Watu wakahama hospitalin wakafia njiani

3. Kuna huyu anaitwa ZUMARIDI ndo shida hivi serikali inasubiri nini kufungia hawa watu ?

Britanicca
Mimi na sema hiviii,hata wa Uirani walipo kuwa na Morality Police hawakukosea,kwani jamiii bila muongozo ni fujo na uhuni tu,hivyo hata sisi tunahitaji sheria ngumu kwenye mambo ya kuzuka na kuharibu jamii,japo bado tu nahitaji kwa lugha ya wenzetu flexibility/sijui kikwetu tuite unnyumbulifu/wepesi au wa pia kubalika kulingana na muda na mazingira
 
Umetumia kigezo gani kusema Zumaridi ni nabii wa uongo na kina Gwajima, Mwamposa, Pengo, Mzee wa Upako, Mwakasege n.k ni wa kweli??

Tunatakiwa kuchukua hatua bila kupepesa macho. Hapo ndio nampongeza kagame.
Zipo madhehebu za ukristo na uislaam za tangu kale zilishaanzishwa.
Enzi ya kuanzisha makanisa mapya ilishapita miaka mingi. Nasema makanisa maana huku ndiko matapeli wa imani ya kiroho wamejaa.
 
Umetumia kigezo gani kusema Zumaridi ni nabii wa uongo na kina Gwajima, Mwamposa, Pengo, Mzee wa Upako, Mwakasege n.k ni wa kweli??
Shida ni hivi hilo linavyoeleweka linategemea akili ya anayelipokea ingizo,imani ,umri,uelewa na hata changamoto,ziwe za kiuchumi,kiimani ,kifamilia,au hata ukatili wa kijamii, kimazingira na aina nyingine za hali ya mhusika🤔
 
Matapeli wengi wamekimibia chocho la dini, ni rahisi mno kumtapeli mtu kwa kutumia imani. unachohitaji tu ni mtaji mdogo, uwezo wa ushawishi, kujua mistari ya biblia na kujieleza kwa ufasaha.

Hizo sadaka na mafungu ya kumi utayazoa hadi uchoke.

Taifa tusipokuwa makini hili chaka litatufikisha pabaya na kingine ni vigumu mno kujua yupi Mchungaji wa ukweli na yupi ni tapeli.

Hata wanafunzi wa Jesus walimuuliza namna ya kuwajua watu hawa, nafikiri tuanzia hapa kama Taifa.

Matayo 7:15​

Manabii Wa Uongo​

15 “Jihadharini na manabii wa uongo wanaowajia wakiwa wamevaa ngozi ya kondoo, kumbe ndani ni mbwa mwitu wakali. 16 Mtawatambua kwa matunda yao.

Kwa mfano :- Mke wa mtu anakuchora wewe mchungaji wa kanisa Tatuu mgongoni kwake afu na wewe siku ya Ibada anakuambia na unaibariki - afu anakwambia pia ameachika kwa sababu hiyo na wewe unasema " hukuwa na mume, Yesu ndiyo mume wako kuanzia sasa"
AFU KANISA ZIMA LINAZIZIMA KWA NDEREMO NA VIFIJO.
 
1. Hawa wanaojiita manabii na kuwadanganya watu kuwa wanafufua watu MFANO Gwajima, Kwamba anafufua alafu kipindi shujaa wake katangulia naye akalia, ni kuwahadaa watu na kuwaibia kwa mgongo wa SADAKA .

Britanicca
Naunga mkono hoja,
Niliwahigi kuuliza humu Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Tarehe rasmi ya like tukio ilikuwa hii Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?
Inasemekana, Baba Askofu aliitwa kumfufua...
P
 
Upumbafu ni kutumia njia ile ile iliyotengeneza tatizo kutatua tatizo lile lile huku ukitarajia matokeo.
 
Nyie waabudu shetani mnatabu kweli watu wa Mungu wamekukoseeni nini
 
Serikali haina chombo kinachopima maudhui yatokayo na dini.
Dini suala binafsi la mtu
 
Kuna hawa wanapiga kelele kwenye nyumba za ibada. Makanisa yanafunga speaker kubwa kubwa
 
Zumaridi sio nabii wa uongo. Zumaridi ndio nabii wa Mungu.

Manabii wengine wote walishakufa tunasona hadithi zao lakini hatuna nafasi ya kuwahoji kutokana na maandiko yao ya kijuha.

Zumaridi tunaweza kumhoji na anarudi tena mbinguni akaja na majibu mapya

Binafsi ni bora nimuamini Zumaridi kuliko kuamini manabii wa zamani waliokufa, hakuna nafasi ya kuwahoji yale makatazo ya kijuha waliyatoa wapi.
 
CHAWA wake
 
Kama zumaridi ni nabii wa uongo nani nabii wa kweli , mana dini zote zimetoka kwa Hao wa Magharibi
Thibitisha kuwa Zumaridi ni muongo,kila mtu siku hizi anajiita nabii huwasemi kumbuka Imani ni jambo tofauti.Kasema alienda mbiguni sasa uongo wake upo wapi.
 
Mambo mengi ya kukemea…

Naanza na kumpongeza KAGAME
1. Ufungui Dini Hovyo hovyo nchini kwake kwa Mgongo wa uhuru wa kuabudu lazima tuwaratibu hawa watu!

2. Kakataza Azana za Asubuhi ni Kelele anasema mwamba kupiga Kelele mijini imepitwa na wakati, mnapigia watu Kelele mitaani, akawasihi kutumia alarm ⏰

Nije kwanini Nataka haya mambo yakemewe pia kwetu

1. Hawa wanaojiita manabii na kuwadanganya watu kuwa wanafufua watu MFANO Gwajima, Kwamba anafufua alafu kipindi shujaa wake katangulia naye akalia, ni kuwahadaa watu na kuwaibia kwa mgongo wa SADAKA .

2. Wanawapotosha wagonjwa hadi kutoroshwa mahospitalini mfano Babu wa Loliondo eti alioteshwa! Watu wakahama hospitalin wakafia njiani

3. Kuna huyu anaitwa ZUMARIDI ndo shida hivi serikali inasubiri nini kufungia hawa watu ?

Britanicca
Tanzania hatutaki ushoga. Kwanini unamuogopa Gwajima?
 
Utasema unapinga tamaduni za magharibi unaabudu dini zao..
Unajiita Anglican hujui mkuu wa Kanisa ni King Charles??
 
Back
Top Bottom