Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza (Wahenga). Mbona wapo bwelele tu, ila ungeweka nawe sifa zako, hata picha ukificha uso wanaume waone nawo ulivyoumbika..
 
Habari zenu wanachama wa JF,

Natafuta mwanaume ambae Mungu akitujalia awe mwana ndoa wangu, umri kuanzia miaka 27 kuendelea, awe na kazi yoyote inayo weza kumuingizia kipato kujituma maji ya kunde urefu futi 5, Mkiristo awe na mapenzi ya dhati.

Kwa upande wangu sijawahi zaa, sijawahi olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti mengine kuhusu mimi pm.

Tafadhari kama ujumbe huta upenda usinitafute pm
Karibuni mliovutiwa na ujumbe wangu
Mungu awabariki sana
 
una watoto wangapi?
 
ID maalumu kwa ajili ya kutafuta mchumba,

yaani since Saturday
 
Dada bdo hujampata tuu, mana hii ni thread ya pili sasa, ukimkosa pambana na hali yako


 
vjana wa miaka 27-30 hawanampango wa kuoa jarb kubadilisha vgezo dada

sent from aifoni seveni plasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…