Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Ooh. Buddy,I'm fine. How are you?
Hiyo maneno ya mwisho ndio ina maana gani?
I worried about you !! Where you are ,and how are you !!. So km upo fine ,then its cool !!

Ya lyublyu tebya ni Maneno ya kirusi ambayo maana yake ( nakupenda sana ).

Mwanamke kumjibu mwanaume anasema Ya vas lyublyu .

Bongo bahat mbaya ...njoo huku St.Petersburg tule kitabu na raha.
 
Ndo Maana Wazo La Kuoa Limeshanitoka Moyoni Mwangu Kwasasa Napambana Na Hali Yangu Tu
 
Usiwe kahaba, ila usiweke moyo kwa mtu mmoja kuwa na kama 3 unaowachunguza! Sema hapo uwe na uhusiano makini sio yale mahusiano ya kulala pamoja week hahha utakosa wote. Ushauri huu nimekupa kulingana na context yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najikuta natamani kuwa kahaba tu kwakuto kupata mwanaume wa kweli naombeni ushauri wenu maana nimesha kata tamaa na hawa wanaume

Unataka kuwa malaya, wakati wewe teyari malaya? Unajua ni idadi ya wanaume wangapi ulotembea nao mwaka huu ukitafuta mr perfect?
 
Unataka mwanaume mkweli awe amesoma awe na gari na nyumba awe handsome mrefu awe anajua mapenzi akuridhishe awe na kazi ya maana asiwe mbahili awe na moyo wa kujitolea kusomesha nduguzo na kusaidia wazazi wako kumalizia nyumba yao walioanza msingi 1994 my dear hizo Robbot nazikia china karibu zinatoka wai kuweka order
 
I worried about you !! Where you are ,and how are you !!. So km upo fine ,then its cool !!

Ya lyublyu tebya ni Maneno ya kirusi ambayo maana yake ( nakupenda sana ).

Mwanamke kumjibu mwanaume anasema Ya vas lyublyu .

Bongo bahat mbaya ...njoo huku St.Petersburg tule kitabu na raha.
St Petersburg ya chato?
 
Back
Top Bottom