Tafiti zinaonesha kuwa ni 2% tu ya waliopata wenza wa ndoto zao. 98% mmoja au wote 2 wanaishi na "ili mradi ni mke/mume", baada ya kukosa kwa sababu mbalimbali ywale waliowatarajia akilini mwao .
Wengi walitaka kumpata mwenzao mwenye package hii: msomi, tajiri, mrefu, mweupe, umbo namba 8, mwenye 6 packs, mcha Mungu na asiye mlevi.
Lkn wakawakosa, na kuamua kujiokotea tu mwenye umbo la nguruwe, meno ya carrot, kifupi nyundo, mlalahoi, mcharuko, mlevi na darasa la 7.
Kwahiyo kwa vijana mnaochipukia , msihangaike kutafuta, jiokoteeni yeyote tu. Kwasbb hata mkitafuta hamtawapata wenye sifa zote mnazozitaka.
Na hii ndiyo inasababisha visa na mikasa mingi kutokea kwenye ndoa. Maana ndoa za miaka hii ni ushirika wa watu 2 wasiokubaliana kihisia kwa pamoja. (Mmoja kakuballi ili mradi, wakati mwingine anamshukuru Mungu kwa zawadi).