#COVID19 Baada ya Kukubali Chanjo, na Rais Samia Kuchanja, Kiongozi yeyote anayepinga Chanjo hadharani ni 'Insubordination' na usaliti

Haha eti mtakuwa mnawaweka kwenye hatari wakati watakuwa na chanjo zao jamani
 
The return of Pascal Mayalla
 
Kaka Paskali, hili napinga na wewe kwa more than 100%
Labda naomba unijibu hili...WALIMAANISHA NINI WALIPOSEMA KUCHANJA NI HIARI?
 
Uzi mzuri ..

Pascal, I agree with you 100% especially serikali inavyopaswa kuwachukulia hatua watumishi wake wanaoiponda chanjo waziwazi..

Namna ulivyoondolewa TBC binafsi imeniuma but that's life..POLE kwa yote Brother.
Aliondolewa ndio
Ila nae huu uonaji wake wa kuwa unatakiwa kufuata kwa asilimia mia kila agizo la kiongozi wako ambae nae ni binadamu namshangaa

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Siku 150 zilizipita chanjo ilikiwa marufuku, Barakoa za kushona na Nyungu kwa kwenda mbele, maombi kutokomeza corona ni taifa zima

Baada ya siku 120, chanjo muhimu, Barakoa zote zipo salama na nyungu is an option ( si muhimu). Maombi si ya kitaifa tena.

Kauli mbili kinzani ndani ya siku 120, ndani ya taifa moja.. hapa wananchi wana haki ya kudata.
 
CCM na Serikali yake inamuogopa sana Askofu Rashid Gwajima.
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote kaka Pascal Mayalla . Ni tabia mbaya kupingana na kiongozi wako ndani ya chama chako na serikali yako.
Lakini wewe na Pascal Mayalla si ni wasomi tena nasikia ni wanasheria ?! Kwanini mnalazimisha mawazo ya kiongozi yawe sahihi ktk afya za watu ?! Mnatuletea U communist .

Maswali muhimu kuhusu Corona na chanjo yake yaulizwe na yajibiwe. Ili watu wachome hii chanjo kwa hiyari yao na mapenzi.
 
My brother, you are absolutely wrong to propagate and interpret that upon the head of state recently getting vaccinated it implies that her subordinates MUST fall the suit-are you serious and objective? This is coercive compliance as opposed to voluntary consent that was recommended by the committee. There is no binding docket that when the head of state decides to take quinine therapy it becomes a decree to be legally observed by the chicks.

Revisit your article and distance from drumming up the myths you won't venture in............

'Chanjo ni Hiari' according to the president's committee recommendation regardless of whether you are a government, public servant, cleric, pagan or normal citizen
Avoid coercive influence to achieve your goals inadvertently.

Respect others' decision to refrain from taking the myth dose.
 
Unasema tuheshimu na tutii misimamo ya serikali. Serikali hii hii ya mwendazake walituaminisha kitu fulani haya sahivi mmetugeuza.
Hata wewe waweza shikamana na mtu asiye na msimamo??
 
Pascal Mayalla unisamehe sana, tena nisamehe. Your post is one from a stupid, shallow-thinking person. Unajua kuwa All men are fallible? No man is Infallible. Samia anaweza kawa kwenye makosa, tumfuate hata kama yuko kwenye makosa? Akiua watu bila mamlaka nasi tumshangilie kwa vile ni Rais? Issue ya chanjo ni sensitive sana, umati wote unawez kuathrika/kufa in the future kama imekosewa, acha watu watoe mawazo. We need informed consent!
Pascal njaa isikupeleke kuwa takataka! Unajishishia heshima uliyojijengea mika mingi. Angalia wanavyo comment katika post zako. Unapotez acredibility yako!
 
Chanjo zenyewe milioni MOJA tu, tena za msaada…. tukihamasika wote mtaambia nini watu?
 
Ulimchongea Kabendera sasa ni zamu ya Gwajima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…