Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka wewe ni mwanasheria angalia tena tafsiri ya neno in surbodination.Wanabodi,
Hii ni mada mwendelezo wa mada hii ya wiki iliyopita
View attachment 1881240
Kwa vile zoezi la chanjo ya Uviko linaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa inaendelea kujikita kwenye chanjo, leo nikiangazia hoja ya uhiari wa Chanjo. Japo chanjo ni hiari, hiari ya chanjo ni hiari ya consent kama ilivyo kwenye mahusiano ya ndoa, ndoa ni hiari, na sio ule uhiari wa choice kama kwenye uchaguzi, mtu uko huru kujiandikisha kupiga kura, au kutokujiandikisha, na hata ukijiandikisha, bado uko huru kupiga kura au kutokupiga kura, hiyo na uhiari wa choice, lakini uhiari wa chanjo ni uhiari wa consent, kama ulivyo uhiari wa kuingia kwenye mahusiano ya ndoa, ukiisha ridhia kuingia kwenye ndoa, uhiari wa ndoa unaishi hapo, kinachofuata ni wajibu, kuihudumia ndoa sasa inakuwa sio hiyari tena, ni wajibu, mwanaume lazima awajibike kumhudumia mkewe, sio hiri ni wajibu, na wanandoa hao wana wajibu wa kuihudumia ndoa, ndia maana kwenye ndoa za kiafrika kuna baadhi ya malalamiko ya wanawake wa kizungu, huku kwetu huwezi kuyasikia. Wenzetu wazungu, hata baada ya kuingia kwenye ndoa, ili mwanandoa kupata huduma za kindoa, lazima aombe tena ruhusa, aridhiwe ndipo akubaliwe, hivyo hiari inaendelezwa hadi kwenye huduma wakati ni wajibu.
Hivyo ndivyo ulivyo uhiari wa kwenye hii chanjo ya Uviko, kwa vile lengo la chanjo ni kinga, kuzuia kuenea kwa uviko, una chanja ili kujikinga wewe na kuwakingi wengine, mtu unapokataa kuchanja, sio tuu unahatarisha maisha yako, bali una hatarisha kuwaambukiza wengine, hii ya kuwakinga wengine sasa sio choice, ni wajibu. Ili kupata chanjo ile hiari ni kwenye kuridhia tuu, yaani ku consent, na sio hiari ya choice kuamua uchanjwe au usichanje, hivyo baada ya nchi kukubali chanjo, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mhe Rais Samia Suluhu Hassan Kuchanja, akifuatiwa na viongozi, kitendo hicho japo ni hiari, hiyo ni silent marching order, amri ya kimya kimya, hivyo viongozi wote wa umma, wana wajibu wa kuchanja, sio hiari!. Jee viongozi wetu wote wa umma, wanajua, kuwa baada ya nchi kuibali chanjo na Rais Samia na viongozi wakuu kuchanja, kiongozi yoyote wa umma, anayeipinga chanjo hadharani, kitendo hicho ni Insubordination?. Tunamuomba Mhe Rais Samia, "Please stop this nonsense !"
True Story Yangu na Insubordination.
Mimi nilikuwa mtumishi wa umma pale TBC, enzi hizo TVT, nikiendesha vipindi vya siasa, "Ulingo wa Siasa", tayari nchi yetu ilikuwa ndani ya mfumo wa vyama vingi, hivyo mtu kuwa mtumishi wa umma, hakuna ulazima kuulizwa uko chama gani. Wakati Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2000, katika vipindi vyangu niliwakaribisha wanasiasa. Kwa vile CCM ndio chama tawala na Tanzania tunaingia chaguzi zote huku CCM ikiwa tayari na uhakika wa ushindi, hivyo nikiwaalika wagombea wa CCM kwenye urais, wanakuwa busy, after all si uhakika wa ushindi upo, ila ukiwaita wapinzani ni fasta.
Baadhi ya watu wakajenga dhana kuwa huyu mwendeshaji wa kipindi, Pasco Mayalla ni pro-oppostion, anawapendelea wapinzani!. Hawajui kuwa ukiwaalika CCM, wanakuwa busy. Nikaenda kupiga kambi Zanzibar, huko nako hali ni ile ile kwenye wagombea urais.
Baada ya uchaguzi, ikafanya tathmini, na wafanya tathmini, ikaonekana Pasco Mayalla ni kama alipendelea upinzani!. Wakatumwa watu kutoka huko walikotumwa, wakaja pale TBC, nikaitwa ofisini kwa Mkurugenzi, nikatambulishwa kwa wageni, na kuulizwa mimi ni chama gani?. Kwanza nilishangaa swali gani hili?!, kwani kuwa mtumishi wa umma, kuna takwa la chama?!. Nikawajibu watu wale ukweli wangu kabisa kuwa mimi Pasco Mayalla sina chama chochote!. Kumbe jibu hilo ni kama kosa!. Mahojiano yakaishia hapo. Baada ya muda, nikaletewa barua ya summary dismissal kwa kosa la insubordination!. Barua ya termination kabla haujakabidhiwa, yule mtu wa despatch anaanzia getini, anapewa FFU wawili wenye silaha, na kuja huku wameshika silaha standby!. Ndipo unakabidhiwa barua, kisha askari hao wanakusindikiza hadi kwenye meza yako. chukua kilicho chako, kabidhi ofisi, kisha unasindikizwa hadi nje ya geti!. Kiukweli nililia!.
Kesho yake nikaenda Utumishi kuuliza hiyo summary dismissal imekaaje, ndipo nikajulishwa kwa mujibu wa utumishi wa umma, ukifukuzwa kazi kwa insubordination, hata kama ni majungu, hakuna popote pa kwenda, you just pack and go!.
Kiongozi wa Umma Kupinga Chanjo Hadharani Sio Tuu ni Usaliti, Bali Pia ni Insubordination!.
Kwenye vita yoyote ya kitaifa, kama ilivyo vita ya Corona, ili kushinda vita, viongozi wote, lazima wasimame pamoja na kuwa kitu kimoja na kuzungumza kwa kauli moja. (must stand as one). Tanzania kama Taifa likiisha kubali Chanjo ya Covid Ndio Maslahi ya Taifa, Viongozi wote wa umma, wanakuwa bind na a collective responsibility clause, they must support, msimamo wa serikali.
Na kama kuna kiongozi yoyote wa umma, hukubaliani na chanjo, hakubaliani na msimamo huo wa serikali, wa kuhimiza Watanzania tuchanje, then kiongozi huyu unapaswa kunyamaza kimya. Kama rais anesema tuchanje, anahimiza Watanzania tujitokeze kwa wingi kwenda kuchanja, sio tuu ili kujikinga sisi wenyewe, bali kuwakinga wengine na kulikinga taifa, kitendo cha kiongozi yoyote wa umma, kujitokeza hadharani, kuwapotosha Watanzania tusichanje, huku ni kwenda kinyume cha rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni highest order of insubordination ambayo haipaswi kuvumiliwa au kufumbiwa macho.
Kitendo cha kupingana na msimamo wa serikali wazi wazi ni usaliti, mtu wa aina hii anatakiwa kushughulikiwa haraka iwezekanavyo kama wanavyoshughulikiwa wasaliti wengine wote, na jinsi kosa la insubordination linavyoshughulikiwa na hatua ya kwanza ni kiongozi wa aina hiyo, kuachia ngazi kama mtumishi wa umma.
Kama mtu aliweza kupewa summary dismissal kwa kudhaniwa tuu kuwa sio mwenzetu, jee mtu anayepingana na rais wazi wazi katika jambo lenye maslahi kwa taifa, anaachajwe kuendelea kuipotosha jamii?!. Au Tanzania tuna watu wa aina mbili, the touchables, na untouchables?. Tunakuomba sana Mhe, Presidaa SSH, P'se Stop This Nonsense!.
Wasalaam
Paskali
To me he is just another attention and self seeking being...Huwezi kufanikiwa kwa lolote ukiwa na selfish characters za namna hiiLazima mwandishi wa habari mkongwe kama wewe aweze kutofautisha kati ya kupinga na kutoa elimu. Wapo watu wengi sana wanaisema chanjo na faida zake,na wapo wachache sana wanaisema chanjo na hasara zake. Sisi tusiojua lolote tunapata wapi nguvu ya kusema huyu yupo sawa na yule anapotosha?
Kazi yetu sisi ni kuangalia ni upande upi umeuelewa zaidi chukua mlengo huo fanya maamuzi. Ni kwa nini mnataka kushinikiza watu wasioelewa la kufanya wapewe elimu moja tuu ya uzuri wa chanjo?
Kwanini kila anayefungua kinywa kutaja hasaza zake tunamuona msaliti?
Binafsi naona mh.rais ameishatimiza wajibu wake wa kuhakikisha kila mtanzania anapata anachokihitaji kwa hiari yake,
aliyechagua kuchanjwa achanjwe kwa kujua ni kwa nini anachanjwa,na atakayeamua kutochanjwa naye aelimishwe ni kwa nini asichanjwe
na tuiheshimu hiari ya wahusika.
"Kwa kisukuma maana ya mayala ni njaa'' mwisho wa kunukuu.
Hapo ndipo wanapoonekana wana lao....Wewe uliyechanjwa ndiyo eti unadai nitakuweka kwenye hatari, wakati wewe unadai unakinga tayari...Kwanini usiwaache walioamua kutokujikinga wabebe fharama ya maisha yao? Njia ya mwongo huwa fupi sana!Hahaha kuwalinda wengine kivipi jamani jamani wakati kuta kuwa na makundi mawili waliochanjwa "walio salama" na ambao hawajachanjwa sasa ambao hawaja chanjwa wanawaweka kwenye hatari kina nani sasa
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
ataambulia kura ya mkewe tuMi nashauri Gwajima avuliwe uanacha kisha kamati kuu ikuteue uwe mgombea wa Kawe.
kwani tunaongozwa au tunapelekeshwa?Kuongoza nchi sio kama kuongoza familia
kwanini wanaopima ni wale wale TEAM-JPM? think twiceMkuu inawezekana hata si ngenge, ni dhana tu tuliyojijengea ya kupima kina cha maji na ukiona ni kifupi unavuka hata kwa kuyakanyaga tu.
Vyovyote vile ila ndio hali tuliyo nayo kwa sasakwani tunaongozwa au tunapelekeshwa?
Mkuu,Waliposema kuchanja inabaki kuwa HIARI ya mtu, walijua uhuru wangu unaishia wapi..!! Nasema walijua na ndiyo maana wakasema hakuna atakayelazimishwa..!!! Usaliti ni pale tunapokubaliana jambo, halafu mmoja anakwenda tofauti na mlichokubaliana.. Lakini kama tumekubaliana kwamba iwe hiari, how come mimi ninayefuata makubaliano ionekane ni msaliti??? WANGESEMA BASI KUCHANJA NI LAZIMA NA ATAKAYEKATAA KUCHANJWA HUYO NDO MSALITI
BADO HUJANIPA JIBU KWANINI WALISEMA KUCHANJA NI HIARI?
Wanabodi,
Hii ni mada mwendelezo wa mada hii ya wiki iliyopita
View attachment 1881240
Kwa vile zoezi la chanjo ya Uviko linaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa inaendelea kujikita kwenye chanjo, leo nikiangazia hoja ya uhiari wa Chanjo. Japo chanjo ni hiari, hiari ya chanjo ni hiari ya consent kama ilivyo kwenye mahusiano ya ndoa, ndoa ni hiari, na sio ule uhiari wa choice kama kwenye uchaguzi, mtu uko huru kujiandikisha kupiga kura, au kutokujiandikisha, na hata ukijiandikisha, bado uko huru kupiga kura au kutokupiga kura, hiyo na uhiari wa choice, lakini uhiari wa chanjo ni uhiari wa consent, kama ulivyo uhiari wa kuingia kwenye mahusiano ya ndoa, ukiisha ridhia kuingia kwenye ndoa, uhiari wa ndoa unaishi hapo, kinachofuata ni wajibu, kuihudumia ndoa sasa inakuwa sio hiyari tena, ni wajibu, mwanaume lazima awajibike kumhudumia mkewe, sio hiri ni wajibu, na wanandoa hao wana wajibu wa kuihudumia ndoa, ndia maana kwenye ndoa za kiafrika kuna baadhi ya malalamiko ya wanawake wa kizungu, huku kwetu huwezi kuyasikia. Wenzetu wazungu, hata baada ya kuingia kwenye ndoa, ili mwanandoa kupata huduma za kindoa, lazima aombe tena ruhusa, aridhiwe ndipo akubaliwe, hivyo hiari inaendelezwa hadi kwenye huduma wakati ni wajibu.
Hivyo ndivyo ulivyo uhiari wa kwenye hii chanjo ya Uviko, kwa vile lengo la chanjo ni kinga, kuzuia kuenea kwa uviko, una chanja ili kujikinga wewe na kuwakingi wengine, mtu unapokataa kuchanja, sio tuu unahatarisha maisha yako, bali una hatarisha kuwaambukiza wengine, hii ya kuwakinga wengine sasa sio choice, ni wajibu. Ili kupata chanjo ile hiari ni kwenye kuridhia tuu, yaani ku consent, na sio hiari ya choice kuamua uchanjwe au usichanje, hivyo baada ya nchi kukubali chanjo, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mhe Rais Samia Suluhu Hassan Kuchanja, akifuatiwa na viongozi, kitendo hicho japo ni hiari, hiyo ni silent marching order, amri ya kimya kimya, hivyo viongozi wote wa umma, wana wajibu wa kuchanja, sio hiari!. Jee viongozi wetu wote wa umma, wanajua, kuwa baada ya nchi kuibali chanjo na Rais Samia na viongozi wakuu kuchanja, kiongozi yoyote wa umma, anayeipinga chanjo hadharani, kitendo hicho ni Insubordination?. Tunamuomba Mhe Rais Samia, "Please stop this nonsense !"
True Story Yangu na Insubordination.
Mimi nilikuwa mtumishi wa umma pale TBC, enzi hizo TVT, nikiendesha vipindi vya siasa, "Ulingo wa Siasa", tayari nchi yetu ilikuwa ndani ya mfumo wa vyama vingi, hivyo mtu kuwa mtumishi wa umma, hakuna ulazima kuulizwa uko chama gani. Wakati Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2000, katika vipindi vyangu niliwakaribisha wanasiasa. Kwa vile CCM ndio chama tawala na Tanzania tunaingia chaguzi zote huku CCM ikiwa tayari na uhakika wa ushindi, hivyo nikiwaalika wagombea wa CCM kwenye urais, wanakuwa busy, after all si uhakika wa ushindi upo, ila ukiwaita wapinzani ni fasta.
Baadhi ya watu wakajenga dhana kuwa huyu mwendeshaji wa kipindi, Pasco Mayalla ni pro-oppostion, anawapendelea wapinzani!. Hawajui kuwa ukiwaalika CCM, wanakuwa busy. Nikaenda kupiga kambi Zanzibar, huko nako hali ni ile ile kwenye wagombea urais.
Baada ya uchaguzi, ikafanya tathmini, na wafanya tathmini, ikaonekana Pasco Mayalla ni kama alipendelea upinzani!. Wakatumwa watu kutoka huko walikotumwa, wakaja pale TBC, nikaitwa ofisini kwa Mkurugenzi, nikatambulishwa kwa wageni, na kuulizwa mimi ni chama gani?. Kwanza nilishangaa swali gani hili?!, kwani kuwa mtumishi wa umma, kuna takwa la chama?!. Nikawajibu watu wale ukweli wangu kabisa kuwa mimi Pasco Mayalla sina chama chochote!. Kumbe jibu hilo ni kama kosa!. Mahojiano yakaishia hapo. Baada ya muda, nikaletewa barua ya summary dismissal kwa kosa la insubordination!. Barua ya termination kabla haujakabidhiwa, yule mtu wa despatch anaanzia getini, anapewa FFU wawili wenye silaha, na kuja huku wameshika silaha standby!. Ndipo unakabidhiwa barua, kisha askari hao wanakusindikiza hadi kwenye meza yako. chukua kilicho chako, kabidhi ofisi, kisha unasindikizwa hadi nje ya geti!. Kiukweli nililia!.
Kesho yake nikaenda Utumishi kuuliza hiyo summary dismissal imekaaje, ndipo nikajulishwa kwa mujibu wa utumishi wa umma, ukifukuzwa kazi kwa insubordination, hata kama ni majungu, hakuna popote pa kwenda, you just pack and go!.
Kiongozi wa Umma Kupinga Chanjo Hadharani Sio Tuu ni Usaliti, Bali Pia ni Insubordination!.
Kwenye vita yoyote ya kitaifa, kama ilivyo vita ya Corona, ili kushinda vita, viongozi wote, lazima wasimame pamoja na kuwa kitu kimoja na kuzungumza kwa kauli moja. (must stand as one). Tanzania kama Taifa likiisha kubali Chanjo ya Covid Ndio Maslahi ya Taifa, Viongozi wote wa umma, wanakuwa bind na a collective responsibility clause, they must support, msimamo wa serikali.
Na kama kuna kiongozi yoyote wa umma, hukubaliani na chanjo, hakubaliani na msimamo huo wa serikali, wa kuhimiza Watanzania tuchanje, then kiongozi huyu unapaswa kunyamaza kimya. Kama rais anesema tuchanje, anahimiza Watanzania tujitokeze kwa wingi kwenda kuchanja, sio tuu ili kujikinga sisi wenyewe, bali kuwakinga wengine na kulikinga taifa, kitendo cha kiongozi yoyote wa umma, kujitokeza hadharani, kuwapotosha Watanzania tusichanje, huku ni kwenda kinyume cha rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni highest order of insubordination ambayo haipaswi kuvumiliwa au kufumbiwa macho.
Kitendo cha kupingana na msimamo wa serikali wazi wazi ni usaliti, mtu wa aina hii anatakiwa kushughulikiwa haraka iwezekanavyo kama wanavyoshughulikiwa wasaliti wengine wote, na jinsi kosa la insubordination linavyoshughulikiwa na hatua ya kwanza ni kiongozi wa aina hiyo, kuachia ngazi kama mtumishi wa umma.
Kama mtu aliweza kupewa summary dismissal kwa kudhaniwa tuu kuwa sio mwenzetu, jee mtu anayepingana na rais wazi wazi katika jambo lenye maslahi kwa taifa, anaachajwe kuendelea kuipotosha jamii?!. Au Tazania tuna watu wa aina mbili, the touchables, na untouchables?. Tunakuomba sana Mhe, Presidaa SSH, P'se Stop This Nonsense!.
Wasalaam
Paskali
Naunga mkono hoja hoja, hili mimi pia nililizungumzia...Familia inaendeshwa kwa Amri ya mzazi ilimradi tu havunji sheria za nchi.
Mzazi anasema kesho kwa watakaokuwa na muda na nguvu twende shambani ni hiyari, anatokea mtoto mmoja katika familia anawaambia wenzie hakuna kwenda shambani, hakuna kufuata agizo la mzazi kwani hana nia nzuri na sisi anataka tukafie shambani, tena maneno hayo anawaambia wanafamilia waziwazi, halafu mzazi anabaki anakenua meno, huko ni kutokujielewa na familia hiyo itahesabika haina mzazi bali ina pambo tu.
Sifa mojawapo ya mzazi ni kuheshimika, mzazi ataheshimika pale atakapokuwa anajisimamia.
Familia inapokuwa na mzazi anayejielewa haiwezi kuwa na watoto wanaodharauliana na kumdharau mzazi.
Kwani mbunge ni kiongozi ?Wanabodi,
Hii ni mada mwendelezo wa mada hii ya wiki iliyopita
View attachment 1881240
Kwa vile zoezi la chanjo ya Uviko linaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa inaendelea kujikita kwenye chanjo, leo nikiangazia hoja ya uhiari wa Chanjo. Japo chanjo ni hiari, hiari ya chanjo ni hiari ya consent kama ilivyo kwenye mahusiano ya ndoa, ndoa ni hiari, na sio ule uhiari wa choice kama kwenye uchaguzi, mtu uko huru kujiandikisha kupiga kura, au kutokujiandikisha, na hata ukijiandikisha, bado uko huru kupiga kura au kutokupiga kura, hiyo na uhiari wa choice, lakini uhiari wa chanjo ni uhiari wa consent, kama ulivyo uhiari wa kuingia kwenye mahusiano ya ndoa, ukiisha ridhia kuingia kwenye ndoa, uhiari wa ndoa unaishi hapo, kinachofuata ni wajibu, kuihudumia ndoa sasa inakuwa sio hiyari tena, ni wajibu, mwanaume lazima awajibike kumhudumia mkewe, sio hiri ni wajibu, na wanandoa hao wana wajibu wa kuihudumia ndoa, ndia maana kwenye ndoa za kiafrika kuna baadhi ya malalamiko ya wanawake wa kizungu, huku kwetu huwezi kuyasikia. Wenzetu wazungu, hata baada ya kuingia kwenye ndoa, ili mwanandoa kupata huduma za kindoa, lazima aombe tena ruhusa, aridhiwe ndipo akubaliwe, hivyo hiari inaendelezwa hadi kwenye huduma wakati ni wajibu.
Hivyo ndivyo ulivyo uhiari wa kwenye hii chanjo ya Uviko, kwa vile lengo la chanjo ni kinga, kuzuia kuenea kwa uviko, una chanja ili kujikinga wewe na kuwakingi wengine, mtu unapokataa kuchanja, sio tuu unahatarisha maisha yako, bali una hatarisha kuwaambukiza wengine, hii ya kuwakinga wengine sasa sio choice, ni wajibu. Ili kupata chanjo ile hiari ni kwenye kuridhia tuu, yaani ku consent, na sio hiari ya choice kuamua uchanjwe au usichanje, hivyo baada ya nchi kukubali chanjo, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mhe Rais Samia Suluhu Hassan Kuchanja, akifuatiwa na viongozi, kitendo hicho japo ni hiari, hiyo ni silent marching order, amri ya kimya kimya, hivyo viongozi wote wa umma, wana wajibu wa kuchanja, sio hiari!. Jee viongozi wetu wote wa umma, wanajua, kuwa baada ya nchi kuibali chanjo na Rais Samia na viongozi wakuu kuchanja, kiongozi yoyote wa umma, anayeipinga chanjo hadharani, kitendo hicho ni Insubordination?. Tunamuomba Mhe Rais Samia, "Please stop this nonsense !"
True Story Yangu na Insubordination.
Mimi nilikuwa mtumishi wa umma pale TBC, enzi hizo TVT, nikiendesha vipindi vya siasa, "Ulingo wa Siasa", tayari nchi yetu ilikuwa ndani ya mfumo wa vyama vingi, hivyo mtu kuwa mtumishi wa umma, hakuna ulazima kuulizwa uko chama gani. Wakati Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2000, katika vipindi vyangu niliwakaribisha wanasiasa. Kwa vile CCM ndio chama tawala na Tanzania tunaingia chaguzi zote huku CCM ikiwa tayari na uhakika wa ushindi, hivyo nikiwaalika wagombea wa CCM kwenye urais, wanakuwa busy, after all si uhakika wa ushindi upo, ila ukiwaita wapinzani ni fasta.
Baadhi ya watu wakajenga dhana kuwa huyu mwendeshaji wa kipindi, Pasco Mayalla ni pro-oppostion, anawapendelea wapinzani!. Hawajui kuwa ukiwaalika CCM, wanakuwa busy. Nikaenda kupiga kambi Zanzibar, huko nako hali ni ile ile kwenye wagombea urais.
Baada ya uchaguzi, ikafanya tathmini, na wafanya tathmini, ikaonekana Pasco Mayalla ni kama alipendelea upinzani!. Wakatumwa watu kutoka huko walikotumwa, wakaja pale TBC, nikaitwa ofisini kwa Mkurugenzi, nikatambulishwa kwa wageni, na kuulizwa mimi ni chama gani?. Kwanza nilishangaa swali gani hili?!, kwani kuwa mtumishi wa umma, kuna takwa la chama?!. Nikawajibu watu wale ukweli wangu kabisa kuwa mimi Pasco Mayalla sina chama chochote!. Kumbe jibu hilo ni kama kosa!. Mahojiano yakaishia hapo. Baada ya muda, nikaletewa barua ya summary dismissal kwa kosa la insubordination!. Barua ya termination kabla haujakabidhiwa, yule mtu wa despatch anaanzia getini, anapewa FFU wawili wenye silaha, na kuja huku wameshika silaha standby!. Ndipo unakabidhiwa barua, kisha askari hao wanakusindikiza hadi kwenye meza yako. chukua kilicho chako, kabidhi ofisi, kisha unasindikizwa hadi nje ya geti!. Kiukweli nililia!.
Kesho yake nikaenda Utumishi kuuliza hiyo summary dismissal imekaaje, ndipo nikajulishwa kwa mujibu wa utumishi wa umma, ukifukuzwa kazi kwa insubordination, hata kama ni majungu, hakuna popote pa kwenda, you just pack and go!.
Kiongozi wa Umma Kupinga Chanjo Hadharani Sio Tuu ni Usaliti, Bali Pia ni Insubordination!.
Kwenye vita yoyote ya kitaifa, kama ilivyo vita ya Corona, ili kushinda vita, viongozi wote, lazima wasimame pamoja na kuwa kitu kimoja na kuzungumza kwa kauli moja. (must stand as one). Tanzania kama Taifa likiisha kubali Chanjo ya Covid Ndio Maslahi ya Taifa, Viongozi wote wa umma, wanakuwa bind na a collective responsibility clause, they must support, msimamo wa serikali.
Na kama kuna kiongozi yoyote wa umma, hukubaliani na chanjo, hakubaliani na msimamo huo wa serikali, wa kuhimiza Watanzania tuchanje, then kiongozi huyu unapaswa kunyamaza kimya. Kama rais anesema tuchanje, anahimiza Watanzania tujitokeze kwa wingi kwenda kuchanja, sio tuu ili kujikinga sisi wenyewe, bali kuwakinga wengine na kulikinga taifa, kitendo cha kiongozi yoyote wa umma, kujitokeza hadharani, kuwapotosha Watanzania tusichanje, huku ni kwenda kinyume cha rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni highest order of insubordination ambayo haipaswi kuvumiliwa au kufumbiwa macho.
Kitendo cha kupingana na msimamo wa serikali wazi wazi ni usaliti, mtu wa aina hii anatakiwa kushughulikiwa haraka iwezekanavyo kama wanavyoshughulikiwa wasaliti wengine wote, na jinsi kosa la insubordination linavyoshughulikiwa na hatua ya kwanza ni kiongozi wa aina hiyo, kuachia ngazi kama mtumishi wa umma.
Kama mtu aliweza kupewa summary dismissal kwa kudhaniwa tuu kuwa sio mwenzetu, jee mtu anayepingana na rais wazi wazi katika jambo lenye maslahi kwa taifa, anaachajwe kuendelea kuipotosha jamii?!. Au Tanzania tuna watu wa aina mbili, the touchables, na untouchables?. Tunakuomba sana Mhe, Presidaa SSH, P'se Stop This Nonsense!.
Wasalaam
Paskali
Yes, that is naked truth. Limetolewa tamko la rais na amiri jeshi mkuu amelipitisha na amelifanya, halafu kuna taahira mmoja ambaye hajielewi kila jumapili anaongea jambo hilo hilo la kupinga badala ya kutumia muda wake kuhubiri anachotakiwa kuhubiri, yeye chanjo inamhusu nini? Kama hataki asifanye lakini umekuwa wimbo wa taifa wa kila jumapili kanisani kwake. Yaani huo ni zaidi ya ushamba na ujinga. Nashangaa kwanini serikali kwanini hadi sasa haijamkamata na kumfungulia mashtaka huyo mjinga anayejifanya anajua kila kitu? Serikali kamateni huyo anayeua watu kwa maneno yake. Anasema alimuombea Magufuli....Mbona Magufuli hakupona?????Wanabodi,

Kwamba msimamo wa Rais ni msimamo wa serikali! Kupinga msimamo wa 'serikali' ni usaliti! Just based on your so called insubordination!
Mpigeni risasi na huyo.
Wewe ni jiitu la hovyo kuliko shetani.Yes, that is naked truth. Limetolewa tamko la rais na amiri jeshi mkuu amelipitisha na amelifanya, halafu kuna taahira mmoja ambaye hajielewi kila jumapili anaongea jambo hilo hilo la kupinga badala ya kutumia muda wake kuhubiri anachotakiwa kuhubiri, yeye chanjo inamhusu nini? Kama hataki asifanye lakini umekuwa wimbo wa taifa wa kila jumapili kanisani kwake. Yaani huo ni zaidi ya ushamba na ujinga. Nashangaa kwanini serikali kwanini hadi sasa haijamkamata na kumfungulia mashtaka huyo mjinga anayejifanya anajua kila kitu? Serikali kamateni huyo anayeua watu kwa maneno yake. Anasema alimuombea Magufuli....Mbona Magufuli hakupona?????
Naunga mkono hoja kwa tuliofiwa na wapendwa wetu kisa hii delta tunaelewa hali ilivo ngumu na huu ujinga wa gwajima kupotosha watu kuhusu huu ugonjwa akamatwe na atoe ushahidi wa kisayansi Bila hivo apate adhabu Kali. Huyu hafai kazidi kiherehere akatwe tu hizo pende zilizoota kupita kiasiYes, that is naked truth. Limetolewa tamko la rais na amiri jeshi mkuu amelipitisha na amelifanya, halafu kuna taahira mmoja ambaye hajielewi kila jumapili anaongea jambo hilo hilo la kupinga badala ya kutumia muda wake kuhubiri anachotakiwa kuhubiri, yeye chanjo inamhusu nini? Kama hataki asifanye lakini umekuwa wimbo wa taifa wa kila jumapili kanisani kwake. Yaani huo ni zaidi ya ushamba na ujinga. Nashangaa kwanini serikali kwanini hadi sasa haijamkamata na kumfungulia mashtaka huyo mjinga anayejifanya anajua kila kitu? Serikali kamateni huyo anayeua watu kwa maneno yake. Anasema alimuombea Magufuli....Mbona Magufuli hakupona?????
Naunga mkono hoja kwa tuliofiwa na wapendwa wetu kisa hii delta tunaelewa hali ilivo ngumu na huu ujinga wa gwajima kupotosha watu kuhusu huu ugonjwa akamatwe na atoe ushahidi wa kisayansi Bila hivo apate adhabu Kali. Huyu hafai kazidi kiherehere akatwe tu hizo pende zilizoota kupita kiasi
Naunga mkono hoja hoja, hili mimi pia nililizungumzia...
katika muktadha mbili
1. A Collective Responsibility Clauses
#COVID19 - Kama Taifa limekubali chanjo ndio maslahi ya Taifa, Viongozi wote wanakuwa Bind na A Collective Responsibility Clause. Must support, Shut up or quit!
Wanabodi, Nimemsikia Mbunge wangu Mhe. Askofu Gwajima akipinga chanjo ya Covid na sio tu kuhamasisha watu waikatae bali hadi kutishia kwa kuwahukumu kifo, wote watakao wachanja watu! Askofu wetu anahitaji kuelimishwa, kwanza yeye, kama Mbunge, ni mtumishi wa umma wa Watanzania wote, kisha ndio...www.jamiiforums.com
2. Insubordination
#COVID19 - Baada ya Kukubali Chanjo, na Rais Samia Kuchanja, Kiongozi yeyote anayepinga Chanjo hadharani ni 'Insubordination' na usaliti
Wanabodi, Hii ni mada mwendelezo wa mada hii ya wiki iliyopita Kwa vile zoezi la chanjo ya Uviko linaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa inaendelea kujikita kwenye chanjo, leo nikiangazia hoja ya uhiari wa Chanjo. Japo chanjo ni hiari, hiari ya chanjo ni hiari ya consent kama ilivyo kwenye...www.jamiiforums.com
P