Hizi chanjo hazipingwi kwa kuwa ni chanjo. Kinachopingwa kinapingika kimsingi.
Chanjo huchukua miaka 10 or zaidi kutambua short, mid and long term effects zake. Hizi chanjo hazijapitia uangalizi huo.
Zimetengenezwa under emergence na kiuhalisia zinazo nyingi za hizi chanjo zimeshaonesha aina nyungi za effects kana: damu kuganda.
Ndio maana, mashirika yaliyotengeneza chanjo hizi, kwa kuhofia kushtakiwa, wanalazimisha serikali wanaxo supply kujaza form ya serikali zina nunua kwa their own risk. Ba serikali zote wanalazimisha watu kujaza "consent form"
View attachment 1896963
Hata hayo makampuni yanayo tengeneza hizi chanjo hayajui short, mid na long term effects za hizi chanjo kwakua hazijakua tested enough, hivyo usalama wake ni mashaka.
Sasa wanao ongea waachwe waongee kwakua ni haki yao kimsingi na pia wana hoja za msingi.