#COVID19 Baada ya Kukubali Chanjo, na Rais Samia Kuchanja, Kiongozi yeyote anayepinga Chanjo hadharani ni 'Insubordination' na usaliti

Wanabodi,

Hii ni mada mwendelezo wa mada hii ya wiki iliyopita
Kumbe ni kwa maslahi ya taifa, mimi nilidhani ni afya na kujali maisha ya Mtanzania kwanza, tusilete siasa kwenye uhai wa mwanadamu, kama viongozi walivyo na haki ya kuisemea serikali basi pia turuhusu viongozi wawasemee wananchi kwa vile wanavyoona inafaa, kutoa maoni ni haki ya mtu yeyote, hakuna kifungu kinachosema ukipinga yale yanayotakiwa na serikali ukiwa kiongozi ni kosa, hakuna anayejua zaidi, sio sababu wewe ni kiongozi basi una akili na maarifa zaidi ya wengine, enzi za akina Mao Tse Tung na zidumu fikra za mwenyekiti zimeshapitwa na wakati.
 
Ushahidi!

Mbona aliyesema katesti mitambo hamjaomba ushahidi?

Double standards.[emoji1614][emoji276]
Halafu hawa wanaotoa mapovu mbona hawatuambii upande mwingine wa shilingi wa hiyo chanjo? ningewaona wa maana wangekuwa wanatoa na takwimu na walio athirika na hiyo chanjo kutoka kwa waliochanjwa, mfano wa yule aliyetetemeka jukwaani!
 
Ushahidi!

Mbona aliyesema katesti mitambo hamjaomba ushahidi?

Double standards.[emoji1614][emoji276]
Hicho ni kitu kinachofanyika kwa kiumbe chochote kizima hakihitaji ushahidi wa kimaabara tofauti na gwajima anayepotosha
 
Halafu hawa wanaotoa mapovu mbona hawatuambii upande mwingine wa shilingi wa hiyo chanjo? ningewaona wa maana wangekuwa wanatoa na takwimu na walio athirika na hiyo chanjo kutoka kwa waliochanjwa, mfano wa yule aliyetetemeka jukwaani!

Kwani alichanjwa?

Kama alichanjwa isisikike, hii ni operesheni ya kitaifa.[emoji2958]
 

Mchagueni huyu mtu aache kutusumbua
 
Uzi mzuri ..

Pascal, I agree with you 100% especially serikali inavyopaswa kuwachukulia hatua watumishi wake wanaoiponda chanjo waziwazi..

Namna ulivyoondolewa TBC binafsi imeniuma but that's life..POLE kwa yote Brother.
We una amini Pasco alipigwa Summary Dismissal? TISS Wana namna nyingi za kufanya vipenyo waonekane ni wenzetu. Shtuka!
 
We una amini Pasco alipigwa Summary Dismissal? TISS Wana namna nyingi za kufanya vipenyo waonekane ni wenzetu. Shtuka!
Mkuu Mzito Kabwela , kiukweli nimecheka asubuhi asubuhi. Hivyo inawezekana hata mtu alibandika bandiko hili
anaweza kuwa ni ofisa wao, akizungumzia ofisi yake mitandaoni tena kwa kutumia jina lake halisi ambalo ni verified?!.

Kama ni kweli, then kazi ipo !.

P
 
Gwajima mfufuaji watu na misukule angefukuzwa CCM na kushtakiwa kwa kumtukana na kumdharau rais Samia Suluhu Hassan, kuna wakati amesema amehongwa kuingiza chanjo nchini, kuna kipindi kasema apigwe chanjo zote zile millioni moja. Huyo tapeli Gwajima mfufuaji misukule aondolewe ubunge wa Kawe, ana matusi kwa viongozi wake wa CCM, Yaani kwa akili yake fupi anadhani kila mtu ni Makonda au Bashite......Huyo Gwajima aka mkono wa baunsa ni muongo, hafai kwenye jamii. AFUKUZWE UBUNGE NA KUSHTAKIWA.
 
Huyu Gwajizo anapotosha umma na kuhadaa napenda awe na ushahidi na tafiti aliyofanya sio kuhadaa watu hovyo. Mtu mwenyewe hana credibility ya mambo anayo fanya na kusimamia alichokisema, so anatafta kiki
Una uhakika gani km anapotosha umma wakati chanjo yenyewe huijui umeletewa tu na unaambiwa ni salama na watu ambao hawajaitengeneza wao..
 
Una uhakika gani km anapotosha umma wakati chanjo yenyewe huijui umeletewa tu na unaambiwa ni salama na watu ambao hawajaitengeneza wao..
Wewe umeshatumia machanjo na dose za nje nyingi plus Arv unazotumia mbona huoji hizo, plus technology unayotumia na magari pia
 
Wewe umeshatumia machanjo na dose za nje nyingi plus Arv unazotumia mbona huoji hizo, plus technology unayotumia na magari pia
Close minded...Laana ya elimu hii kwa kizungu wanaita curse of knowledge...dont close your mind mpendwa life changes everyday
 
Na anayepinga ndani kwa ndani kimya kimya ?

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Close minded...Laana ya elimu hii kwa kizungu wanaita curse of knowledge...dont close your mind mpendwa life changes everyday
Wewe ndio una laana maana kila kitu unatumia Cha wazungu kuanzia maandishi yet unatukana mhhhh fungua akili
 
Una uhakika gani km anapotosha umma wakati chanjo yenyewe huijui umeletewa tu na unaambiwa ni salama na watu ambao hawajaitengeneza wao..
Mkuu Micho , kwanza naunga mkono watu kuwa open minded na kuhoji kila kitu ili wajiridhishe ndipo wachanje, hilo jukumu la kuhoji liachwe kwa sisi wananchi wa kawaida, kwenye uongozi kuna kitu kinaitwa a Collective Responsibility, mkiisha kubaliana jambo, jambo hilo linakuwa ni jambo lenu wote, kama wewe hukubaliani nalo, una two options, ama unyamaze kimya uendelee kuwa mmoja wao, au ufanye kitu kinachoitwa à fall back position, kwa kujitoa ndipo upinge hadharani. You can't est your cake and have it. Gwajiboy lazima achague upande, its either with us or against us, he can't have both!.

"tunaokolewa kwa imani" kwa kuamini tunachoambiwa na Viongozi tunao waaminia. Samia ndie kiongozi wetu Mkuu, amechanja na ametushauri tuchanje kwa hiyari, tuchanje.

Kwa vile tunamuaminia Samia, na amechanja, kitendo cha Gwajiboy kupinga chanjo hadharani na kuhamasisha watu wakatae chanjo ni insubordination, ni kumsaliti Samia. Kitendo hicho ni dhambi ya usaliti, ni dhambi mbaya, hivyo soon wote tutashuhudia karma ya dhambi hiyo ya usaliti.
P
 
Pascal, ninapenda sana makala zako maana huwa unajitahidi kutoa maelezo yanayoeleweka na yanayojitosheleza, lakini kwa hili la chanjo napenda nitofautiane na wewe.
Kwa kuwa chanjo ni HIARI, Mtu ana uhuru wa kuamua jinsi anavyotaka. Hiyo ndiyo maana ya hiari.
Hata huko walikozitengeneza hizo chanjo bado wanachanganyana kwa kwenda mbele. Angalia hii ya kwenye open meeting, then judge for yourself kama wanaopinga ni insubordinate kwa jambo ambalo wana hiari ya kusema yes or no:
Your browser is not able to display this video.
 
Una uhakika gani km anapotosha umma wakati chanjo yenyewe huijui umeletewa tu na unaambiwa ni salama na watu ambao hawajaitengeneza wao..
Kwani hizo aspirin, chloroquine, Antibiotics hatukuletewa? Tumepewa chanjo nyingi tu, kwani hizo mlitengeneza ninyi wamatumbi? Acheni ujinga ninyi malofa, hakuna kitu Tanzania ilichoweza kutengeneza kuanzia sindano za kushona, hadi njiti za kibiriti kila kitu mmetengenezewa tu. Halafu mnajifanya mnajua....Ebu acheni ujinga na upuuzi ninyi watu. Tukubali tu hakuna tunachokijua hata kimoja, Niambie kitu gani waafrika au watanzania tumegundua? Kila kitu kina side effects zake, hata huo wali na ugali tunaokula unapitishwa kwenye ini ili ichujwe sumu. Hata usipokula dawa au kuchomwa chanjo, mwili unakuwa na madhara yake ndani kwa ndani kwa hiyo nyamaza tu kwani hujui chochote.
 
Mkuu UmkhontoweSizwe , kwanza asante sana kwa video clip hii, kiukweli ukiisikiliza na ukaamini anayosema ni kweli, hutachanja, yote aliyoyasema ni uongo . Tangu chanjo zianze kutolewa hakuna wanaokufa, mimi mwenyewe hapa nilipo na wife tumechanja, nina watoto 8, lakini baada ya kupata chanjo nikajikuta dose ya yale mambo yetu yale imeongezeka, wife ame miss her days for 14 days now!, that means nimedunga!.

Sina tatizo lolote na anti vex wa kawaida, natatizwa na anti vex Viongozi tena wa chama tawala!.

Kuna kitu kinaitwa utii kwa Viongozi wako. Wewe ni kiongozi wa umma, mbunge wa CCM. Rais wako anahamasisha watu wachanje, na rais mwenyewe anachanja, halafu wewe ni mbunge unahamasisha watu wasichanje. This is insubordination !. Ni usaliti !.

Kama wewe ni kiongozi wa CCM na huamini chanjo, na kwa vile chanjo ni hiyari, then tumia hiyari yako kutochanja kimya kimya na sio public. Kupinga chanjo publically kwa kiongozi wa CCM ni kumdharau Samia.

P
 
Mkuu, umenikumbusha mbali sana. Miaka Ile nikiwa pale Ikwiriri, Rufiji, nawe ukiwa pale TBC na ukiendesha Disco la nguvu. Sikujua sababu zilizokuondoa TBC Ila niliposoma hapo juu kwa kweli nimesikitishwa Sana na hayo yaliyojitokeza. Mungu ni Mwema na tunaona bado upo na hujatetereka. Kila la kheri Pasco.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…