mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
[emoji120]Shukran mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji120]Shukran mkuu.
Kumbe ni kwa maslahi ya taifa, mimi nilidhani ni afya na kujali maisha ya Mtanzania kwanza, tusilete siasa kwenye uhai wa mwanadamu, kama viongozi walivyo na haki ya kuisemea serikali basi pia turuhusu viongozi wawasemee wananchi kwa vile wanavyoona inafaa, kutoa maoni ni haki ya mtu yeyote, hakuna kifungu kinachosema ukipinga yale yanayotakiwa na serikali ukiwa kiongozi ni kosa, hakuna anayejua zaidi, sio sababu wewe ni kiongozi basi una akili na maarifa zaidi ya wengine, enzi za akina Mao Tse Tung na zidumu fikra za mwenyekiti zimeshapitwa na wakati.Wanabodi,
Hii ni mada mwendelezo wa mada hii ya wiki iliyopita
Halafu hawa wanaotoa mapovu mbona hawatuambii upande mwingine wa shilingi wa hiyo chanjo? ningewaona wa maana wangekuwa wanatoa na takwimu na walio athirika na hiyo chanjo kutoka kwa waliochanjwa, mfano wa yule aliyetetemeka jukwaani!Ushahidi!
Mbona aliyesema katesti mitambo hamjaomba ushahidi?
Double standards.[emoji1614][emoji276]
Hicho ni kitu kinachofanyika kwa kiumbe chochote kizima hakihitaji ushahidi wa kimaabara tofauti na gwajima anayepotoshaUshahidi!
Mbona aliyesema katesti mitambo hamjaomba ushahidi?
Double standards.[emoji1614][emoji276]
Halafu hawa wanaotoa mapovu mbona hawatuambii upande mwingine wa shilingi wa hiyo chanjo? ningewaona wa maana wangekuwa wanatoa na takwimu na walio athirika na hiyo chanjo kutoka kwa waliochanjwa, mfano wa yule aliyetetemeka jukwaani!
Wanabodi,
Hii ni mada mwendelezo wa mada hii ya wiki iliyopita
View attachment 1881240
Kwa vile zoezi la chanjo ya Uviko linaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa inaendelea kujikita kwenye chanjo, leo nikiangazia hoja ya uhiari wa Chanjo. Japo chanjo ni hiari, hiari ya chanjo ni hiari ya consent kama ilivyo kwenye mahusiano ya ndoa, ndoa ni hiari, na sio ule uhiari wa choice kama kwenye uchaguzi, mtu uko huru kujiandikisha kupiga kura, au kutokujiandikisha, na hata ukijiandikisha, bado uko huru kupiga kura au kutokupiga kura, hiyo na uhiari wa choice, lakini uhiari wa chanjo ni uhiari wa consent, kama ulivyo uhiari wa kuingia kwenye mahusiano ya ndoa, ukiisha ridhia kuingia kwenye ndoa, uhiari wa ndoa unaishi hapo, kinachofuata ni wajibu, kuihudumia ndoa sasa inakuwa sio hiyari tena, ni wajibu, mwanaume lazima awajibike kumhudumia mkewe, sio hiri ni wajibu, na wanandoa hao wana wajibu wa kuihudumia ndoa, ndia maana kwenye ndoa za kiafrika kuna baadhi ya malalamiko ya wanawake wa kizungu, huku kwetu huwezi kuyasikia. Wenzetu wazungu, hata baada ya kuingia kwenye ndoa, ili mwanandoa kupata huduma za kindoa, lazima aombe tena ruhusa, aridhiwe ndipo akubaliwe, hivyo hiari inaendelezwa hadi kwenye huduma wakati ni wajibu.
Hivyo ndivyo ulivyo uhiari wa kwenye hii chanjo ya Uviko, kwa vile lengo la chanjo ni kinga, kuzuia kuenea kwa uviko, una chanja ili kujikinga wewe na kuwakingi wengine, mtu unapokataa kuchanja, sio tuu unahatarisha maisha yako, bali una hatarisha kuwaambukiza wengine, hii ya kuwakinga wengine sasa sio choice, ni wajibu. Ili kupata chanjo ile hiari ni kwenye kuridhia tuu, yaani ku consent, na sio hiari ya choice kuamua uchanjwe au usichanje, hivyo baada ya nchi kukubali chanjo, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mhe Rais Samia Suluhu Hassan Kuchanja, akifuatiwa na viongozi, kitendo hicho japo ni hiari, hiyo ni silent marching order, amri ya kimya kimya, hivyo viongozi wote wa umma, wana wajibu wa kuchanja, sio hiari!. Jee viongozi wetu wote wa umma, wanajua, kuwa baada ya nchi kuibali chanjo na Rais Samia na viongozi wakuu kuchanja, kiongozi yoyote wa umma, anayeipinga chanjo hadharani, kitendo hicho ni Insubordination?. Tunamuomba Mhe Rais Samia, "Please stop this nonsense !"
True Story Yangu na Insubordination.
Mimi nilikuwa mtumishi wa umma pale TBC, enzi hizo TVT, nikiendesha vipindi vya siasa, "Ulingo wa Siasa", tayari nchi yetu ilikuwa ndani ya mfumo wa vyama vingi, hivyo mtu kuwa mtumishi wa umma, hakuna ulazima kuulizwa uko chama gani. Wakati Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2000, katika vipindi vyangu niliwakaribisha wanasiasa. Kwa vile CCM ndio chama tawala na Tanzania tunaingia chaguzi zote huku CCM ikiwa tayari na uhakika wa ushindi, hivyo nikiwaalika wagombea wa CCM kwenye urais, wanakuwa busy, after all si uhakika wa ushindi upo, ila ukiwaita wapinzani ni fasta.
Baadhi ya watu wakajenga dhana kuwa huyu mwendeshaji wa kipindi, Pasco Mayalla ni pro-oppostion, anawapendelea wapinzani!. Hawajui kuwa ukiwaalika CCM, wanakuwa busy. Nikaenda kupiga kambi Zanzibar, huko nako hali ni ile ile kwenye wagombea urais.
Baada ya uchaguzi, ikafanya tathmini, na wafanya tathmini, ikaonekana Pasco Mayalla ni kama alipendelea upinzani!. Wakatumwa watu kutoka huko walikotumwa, wakaja pale TBC, nikaitwa ofisini kwa Mkurugenzi, nikatambulishwa kwa wageni, na kuulizwa mimi ni chama gani?. Kwanza nilishangaa swali gani hili?!, kwani kuwa mtumishi wa umma, kuna takwa la chama?!. Nikawajibu watu wale ukweli wangu kabisa kuwa mimi Pasco Mayalla sina chama chochote!. Kumbe jibu hilo ni kama kosa!. Mahojiano yakaishia hapo. Baada ya muda, nikaletewa barua ya summary dismissal kwa kosa la insubordination!. Barua ya termination kabla haujakabidhiwa, yule mtu wa despatch anaanzia getini, anapewa FFU wawili wenye silaha, na kuja huku wameshika silaha standby!. Ndipo unakabidhiwa barua, kisha askari hao wanakusindikiza hadi kwenye meza yako. chukua kilicho chako, kabidhi ofisi, kisha unasindikizwa hadi nje ya geti!. Kiukweli nililia!.
Kesho yake nikaenda Utumishi kuuliza hiyo summary dismissal imekaaje, ndipo nikajulishwa kwa mujibu wa utumishi wa umma, ukifukuzwa kazi kwa insubordination, hata kama ni majungu, hakuna popote pa kwenda, you just pack and go!.
Kiongozi wa Umma Kupinga Chanjo Hadharani Sio Tuu ni Usaliti, Bali Pia ni Insubordination!.
Kwenye vita yoyote ya kitaifa, kama ilivyo vita ya Corona, ili kushinda vita, viongozi wote, lazima wasimame pamoja na kuwa kitu kimoja na kuzungumza kwa kauli moja. (must stand as one). Tanzania kama Taifa likiisha kubali Chanjo ya Covid Ndio Maslahi ya Taifa, Viongozi wote wa umma, wanakuwa bind na a collective responsibility clause, they must support, msimamo wa serikali.
Na kama kuna kiongozi yoyote wa umma, hukubaliani na chanjo, hakubaliani na msimamo huo wa serikali, wa kuhimiza Watanzania tuchanje, then kiongozi huyu unapaswa kunyamaza kimya. Kama rais anesema tuchanje, anahimiza Watanzania tujitokeze kwa wingi kwenda kuchanja, sio tuu ili kujikinga sisi wenyewe, bali kuwakinga wengine na kulikinga taifa, kitendo cha kiongozi yoyote wa umma, kujitokeza hadharani, kuwapotosha Watanzania tusichanje, huku ni kwenda kinyume cha rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni highest order of insubordination ambayo haipaswi kuvumiliwa au kufumbiwa macho.
Kitendo cha kupingana na msimamo wa serikali wazi wazi ni usaliti, mtu wa aina hii anatakiwa kushughulikiwa haraka iwezekanavyo kama wanavyoshughulikiwa wasaliti wengine wote, na jinsi kosa la insubordination linavyoshughulikiwa na hatua ya kwanza ni kiongozi wa aina hiyo, kuachia ngazi kama mtumishi wa umma.
Kama mtu aliweza kupewa summary dismissal kwa kudhaniwa tuu kuwa sio mwenzetu, jee mtu anayepingana na rais wazi wazi katika jambo lenye maslahi kwa taifa, anaachajwe kuendelea kuipotosha jamii?!. Au Tanzania tuna watu wa aina mbili, the touchables, na untouchables?. Tunakuomba sana Mhe, Presidaa SSH, P'se Stop This Nonsense!.
Wasalaam
Paskali
We una amini Pasco alipigwa Summary Dismissal? TISS Wana namna nyingi za kufanya vipenyo waonekane ni wenzetu. Shtuka!Uzi mzuri ..
Pascal, I agree with you 100% especially serikali inavyopaswa kuwachukulia hatua watumishi wake wanaoiponda chanjo waziwazi..
Namna ulivyoondolewa TBC binafsi imeniuma but that's life..POLE kwa yote Brother.
Mkuu Mzito Kabwela , kiukweli nimecheka asubuhi asubuhi. Hivyo inawezekana hata mtu alibandika bandiko hiliWe una amini Pasco alipigwa Summary Dismissal? TISS Wana namna nyingi za kufanya vipenyo waonekane ni wenzetu. Shtuka!
Gwajima mfufuaji watu na misukule angefukuzwa CCM na kushtakiwa kwa kumtukana na kumdharau rais Samia Suluhu Hassan, kuna wakati amesema amehongwa kuingiza chanjo nchini, kuna kipindi kasema apigwe chanjo zote zile millioni moja. Huyo tapeli Gwajima mfufuaji misukule aondolewe ubunge wa Kawe, ana matusi kwa viongozi wake wa CCM, Yaani kwa akili yake fupi anadhani kila mtu ni Makonda au Bashite......Huyo Gwajima aka mkono wa baunsa ni muongo, hafai kwenye jamii. AFUKUZWE UBUNGE NA KUSHTAKIWA.No noo just use your common sense achana na " personality cults" kama JPM na utawala uliopita walikuwa wana nia njema wasingepiga marufuku data za covid na kutoa vitisho kwa atakaetoa data.
Na kuna " tetesi" kwamba hata waliokufa Covid madaktari waliambiwa waandike pneumonia.
Huenda walificha kwa nia njema kwamba baada ya muda covid ita evoporate kama kesi nyingine. Lakini covid haitoki haraka kiasi hicho. Jamaa walikuwa very short sighted sasa wana dhambi ya kuuwa watu wengi.
Ile chanjo ya Sputnick sawa ni controversial ingawa kwao wanachanja na Zanzibar wanachanja aina hiyo.
Warussi walitaka EU wainunue waitumie wakaenda Lab point to point na Warussia wakakosa kutoa majibu na data za walivyofanya research na analysis mpaka leo. You can check it even on google.
Lakini wa russia wanawalaumu EU kwa kuwa na Russophobia wakati wao wameshindwa kutoa maelezo na data.
Kwa hiyo Mkuu kuna umakini kwenye hii kitu. Ila ni hiari kwenye maamuzi, bahati mbaya nchi hii watu wasioenda shule wana influence kubwa kwenye masuala ya kitaifa na wasomi wanawashabikia.
Gwajima ana Degree za Juu za theolojia lakini yeye nchi hii ndio mtalaam wa 5G ,na COVID 19.
Utawala uliopita mbaya zaidi wakatuaminisha wtz ugonjwa umeisha. With no data na wasemaji wakila kitu wakiwa wao.
Uwe nuetral bro kwa ajili yako na family sio gwajima ndio awe source, data zake nyingi zipo kwenye open internet.
Akiitwa kwenye panel la watalaam wa biomedical sciences atakuwa hana la kusema kubwabwaja kanisani ni kitu kingine kwenda point by point kwenye sample na data na analysis na kitu kingine.
Imagine anazungumzia barcode na serial #. Conspiracy theories.
Kwamba kuna watu huko Europe wana ni track mimi nilechan kupitia ile barcode na serial number ya code kwenye kile kichupa cha sindano.
Yaani alitaka iwe blank. No barcode no serial number.
Mtu wa ajabu sana.
Una uhakika gani km anapotosha umma wakati chanjo yenyewe huijui umeletewa tu na unaambiwa ni salama na watu ambao hawajaitengeneza wao..Huyu Gwajizo anapotosha umma na kuhadaa napenda awe na ushahidi na tafiti aliyofanya sio kuhadaa watu hovyo. Mtu mwenyewe hana credibility ya mambo anayo fanya na kusimamia alichokisema, so anatafta kiki
Wewe umeshatumia machanjo na dose za nje nyingi plus Arv unazotumia mbona huoji hizo, plus technology unayotumia na magari piaUna uhakika gani km anapotosha umma wakati chanjo yenyewe huijui umeletewa tu na unaambiwa ni salama na watu ambao hawajaitengeneza wao..
Close minded...Laana ya elimu hii kwa kizungu wanaita curse of knowledge...dont close your mind mpendwa life changes everydayWewe umeshatumia machanjo na dose za nje nyingi plus Arv unazotumia mbona huoji hizo, plus technology unayotumia na magari pia
Jamaa ni mpinzani wa Jadi wa ndani kwa ndani bado anakitaka jimboMimi nashauri Gwajima avuliwe uanachama kisha kamati kuu ikuteue uwe mgombea wa Kawe.
Na anayepinga ndani kwa ndani kimya kimya ?Wanabodi,
Hii ni mada mwendelezo wa mada hii ya wiki iliyopita
View attachment 1881240
Kwa vile zoezi la chanjo ya Uviko linaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa inaendelea kujikita kwenye chanjo, leo nikiangazia hoja ya uhiari wa Chanjo. Japo chanjo ni hiari, hiari ya chanjo ni hiari ya consent kama ilivyo kwenye mahusiano ya ndoa, ndoa ni hiari, na sio ule uhiari wa choice kama kwenye uchaguzi, mtu uko huru kujiandikisha kupiga kura, au kutokujiandikisha, na hata ukijiandikisha, bado uko huru kupiga kura au kutokupiga kura, hiyo na uhiari wa choice, lakini uhiari wa chanjo ni uhiari wa consent, kama ulivyo uhiari wa kuingia kwenye mahusiano ya ndoa, ukiisha ridhia kuingia kwenye ndoa, uhiari wa ndoa unaishi hapo, kinachofuata ni wajibu, kuihudumia ndoa sasa inakuwa sio hiyari tena, ni wajibu, mwanaume lazima awajibike kumhudumia mkewe, sio hiri ni wajibu, na wanandoa hao wana wajibu wa kuihudumia ndoa, ndia maana kwenye ndoa za kiafrika kuna baadhi ya malalamiko ya wanawake wa kizungu, huku kwetu huwezi kuyasikia. Wenzetu wazungu, hata baada ya kuingia kwenye ndoa, ili mwanandoa kupata huduma za kindoa, lazima aombe tena ruhusa, aridhiwe ndipo akubaliwe, hivyo hiari inaendelezwa hadi kwenye huduma wakati ni wajibu.
Hivyo ndivyo ulivyo uhiari wa kwenye hii chanjo ya Uviko, kwa vile lengo la chanjo ni kinga, kuzuia kuenea kwa uviko, una chanja ili kujikinga wewe na kuwakingi wengine, mtu unapokataa kuchanja, sio tuu unahatarisha maisha yako, bali una hatarisha kuwaambukiza wengine, hii ya kuwakinga wengine sasa sio choice, ni wajibu. Ili kupata chanjo ile hiari ni kwenye kuridhia tuu, yaani ku consent, na sio hiari ya choice kuamua uchanjwe au usichanje, hivyo baada ya nchi kukubali chanjo, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mhe Rais Samia Suluhu Hassan Kuchanja, akifuatiwa na viongozi, kitendo hicho japo ni hiari, hiyo ni silent marching order, amri ya kimya kimya, hivyo viongozi wote wa umma, wana wajibu wa kuchanja, sio hiari!. Jee viongozi wetu wote wa umma, wanajua, kuwa baada ya nchi kuibali chanjo na Rais Samia na viongozi wakuu kuchanja, kiongozi yoyote wa umma, anayeipinga chanjo hadharani, kitendo hicho ni Insubordination?. Tunamuomba Mhe Rais Samia, "Please stop this nonsense !"
True Story Yangu na Insubordination.
Mimi nilikuwa mtumishi wa umma pale TBC, enzi hizo TVT, nikiendesha vipindi vya siasa, "Ulingo wa Siasa", tayari nchi yetu ilikuwa ndani ya mfumo wa vyama vingi, hivyo mtu kuwa mtumishi wa umma, hakuna ulazima kuulizwa uko chama gani. Wakati Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2000, katika vipindi vyangu niliwakaribisha wanasiasa. Kwa vile CCM ndio chama tawala na Tanzania tunaingia chaguzi zote huku CCM ikiwa tayari na uhakika wa ushindi, hivyo nikiwaalika wagombea wa CCM kwenye urais, wanakuwa busy, after all si uhakika wa ushindi upo, ila ukiwaita wapinzani ni fasta.
Baadhi ya watu wakajenga dhana kuwa huyu mwendeshaji wa kipindi, Pasco Mayalla ni pro-oppostion, anawapendelea wapinzani!. Hawajui kuwa ukiwaalika CCM, wanakuwa busy. Nikaenda kupiga kambi Zanzibar, huko nako hali ni ile ile kwenye wagombea urais.
Baada ya uchaguzi, ikafanya tathmini, na wafanya tathmini, ikaonekana Pasco Mayalla ni kama alipendelea upinzani!. Wakatumwa watu kutoka huko walikotumwa, wakaja pale TBC, nikaitwa ofisini kwa Mkurugenzi, nikatambulishwa kwa wageni, na kuulizwa mimi ni chama gani?. Kwanza nilishangaa swali gani hili?!, kwani kuwa mtumishi wa umma, kuna takwa la chama?!. Nikawajibu watu wale ukweli wangu kabisa kuwa mimi Pasco Mayalla sina chama chochote!. Kumbe jibu hilo ni kama kosa!. Mahojiano yakaishia hapo. Baada ya muda, nikaletewa barua ya summary dismissal kwa kosa la insubordination!. Barua ya termination kabla haujakabidhiwa, yule mtu wa despatch anaanzia getini, anapewa FFU wawili wenye silaha, na kuja huku wameshika silaha standby!. Ndipo unakabidhiwa barua, kisha askari hao wanakusindikiza hadi kwenye meza yako. chukua kilicho chako, kabidhi ofisi, kisha unasindikizwa hadi nje ya geti!. Kiukweli nililia!.
Kesho yake nikaenda Utumishi kuuliza hiyo summary dismissal imekaaje, ndipo nikajulishwa kwa mujibu wa utumishi wa umma, ukifukuzwa kazi kwa insubordination, hata kama ni majungu, hakuna popote pa kwenda, you just pack and go!.
Kiongozi wa Umma Kupinga Chanjo Hadharani Sio Tuu ni Usaliti, Bali Pia ni Insubordination!.
Kwenye vita yoyote ya kitaifa, kama ilivyo vita ya Corona, ili kushinda vita, viongozi wote, lazima wasimame pamoja na kuwa kitu kimoja na kuzungumza kwa kauli moja. (must stand as one). Tanzania kama Taifa likiisha kubali Chanjo ya Covid Ndio Maslahi ya Taifa, Viongozi wote wa umma, wanakuwa bind na a collective responsibility clause, they must support, msimamo wa serikali.
Na kama kuna kiongozi yoyote wa umma, hukubaliani na chanjo, hakubaliani na msimamo huo wa serikali, wa kuhimiza Watanzania tuchanje, then kiongozi huyu unapaswa kunyamaza kimya. Kama rais anesema tuchanje, anahimiza Watanzania tujitokeze kwa wingi kwenda kuchanja, sio tuu ili kujikinga sisi wenyewe, bali kuwakinga wengine na kulikinga taifa, kitendo cha kiongozi yoyote wa umma, kujitokeza hadharani, kuwapotosha Watanzania tusichanje, huku ni kwenda kinyume cha rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni highest order of insubordination ambayo haipaswi kuvumiliwa au kufumbiwa macho.
Kitendo cha kupingana na msimamo wa serikali wazi wazi ni usaliti, mtu wa aina hii anatakiwa kushughulikiwa haraka iwezekanavyo kama wanavyoshughulikiwa wasaliti wengine wote, na jinsi kosa la insubordination linavyoshughulikiwa na hatua ya kwanza ni kiongozi wa aina hiyo, kuachia ngazi kama mtumishi wa umma.
Kama mtu aliweza kupewa summary dismissal kwa kudhaniwa tuu kuwa sio mwenzetu, jee mtu anayepingana na rais wazi wazi katika jambo lenye maslahi kwa taifa, anaachajwe kuendelea kuipotosha jamii?!. Au Tanzania tuna watu wa aina mbili, the touchables, na untouchables?. Tunakuomba sana Mhe, Presidaa SSH, P'se Stop This Nonsense!.
Wasalaam
Paskali
Wewe ndio una laana maana kila kitu unatumia Cha wazungu kuanzia maandishi yet unatukana mhhhh fungua akiliClose minded...Laana ya elimu hii kwa kizungu wanaita curse of knowledge...dont close your mind mpendwa life changes everyday
Mkuu Micho , kwanza naunga mkono watu kuwa open minded na kuhoji kila kitu ili wajiridhishe ndipo wachanje, hilo jukumu la kuhoji liachwe kwa sisi wananchi wa kawaida, kwenye uongozi kuna kitu kinaitwa a Collective Responsibility, mkiisha kubaliana jambo, jambo hilo linakuwa ni jambo lenu wote, kama wewe hukubaliani nalo, una two options, ama unyamaze kimya uendelee kuwa mmoja wao, au ufanye kitu kinachoitwa à fall back position, kwa kujitoa ndipo upinge hadharani. You can't est your cake and have it. Gwajiboy lazima achague upande, its either with us or against us, he can't have both!.Una uhakika gani km anapotosha umma wakati chanjo yenyewe huijui umeletewa tu na unaambiwa ni salama na watu ambao hawajaitengeneza wao..
Pascal, ninapenda sana makala zako maana huwa unajitahidi kutoa maelezo yanayoeleweka na yanayojitosheleza, lakini kwa hili la chanjo napenda nitofautiane na wewe.Kiongozi wa Umma Kupinga Chanjo Hadharani Sio Tuu ni Usaliti, Bali Pia ni Insubordination!.
Kwenye vita yoyote ya kitaifa, kama ilivyo vita ya Corona, ili kushinda vita, viongozi wote, lazima wasimame pamoja na kuwa kitu kimoja na kuzungumza kwa kauli moja. (must stand as one). Tanzania kama Taifa likiisha kubali Chanjo ya Covid Ndio Maslahi ya Taifa, Viongozi wote wa umma, wanakuwa bind na a collective responsibility clause, they must support, msimamo wa serikali.
Kwani hizo aspirin, chloroquine, Antibiotics hatukuletewa? Tumepewa chanjo nyingi tu, kwani hizo mlitengeneza ninyi wamatumbi? Acheni ujinga ninyi malofa, hakuna kitu Tanzania ilichoweza kutengeneza kuanzia sindano za kushona, hadi njiti za kibiriti kila kitu mmetengenezewa tu. Halafu mnajifanya mnajua....Ebu acheni ujinga na upuuzi ninyi watu. Tukubali tu hakuna tunachokijua hata kimoja, Niambie kitu gani waafrika au watanzania tumegundua? Kila kitu kina side effects zake, hata huo wali na ugali tunaokula unapitishwa kwenye ini ili ichujwe sumu. Hata usipokula dawa au kuchomwa chanjo, mwili unakuwa na madhara yake ndani kwa ndani kwa hiyo nyamaza tu kwani hujui chochote.Una uhakika gani km anapotosha umma wakati chanjo yenyewe huijui umeletewa tu na unaambiwa ni salama na watu ambao hawajaitengeneza wao..
Mkuu UmkhontoweSizwe , kwanza asante sana kwa video clip hii, kiukweli ukiisikiliza na ukaamini anayosema ni kweli, hutachanja, yote aliyoyasema ni uongo . Tangu chanjo zianze kutolewa hakuna wanaokufa, mimi mwenyewe hapa nilipo na wife tumechanja, nina watoto 8, lakini baada ya kupata chanjo nikajikuta dose ya yale mambo yetu yale imeongezeka, wife ame miss her days for 14 days now!, that means nimedunga!.Pascal, ninapenda sana makala zako maana huwa unajitahidi kutoa maelezo yanayoeleweka na yanayojitosheleza, lakini kwa hili la chanjo napenda nitofautiane na wewe.
Kwa kuwa chanjo ni HIARI, Mtu ana uhuru wa kuamua jinsi anavyotaka. Hiyo ndiyo maana ya hiari.
Hata huko walikozitengeneza hizo chanjo bado wanachanganyana kwa kwenda mbele. Angalia hii ya kwenye open meeting, then judge for yourself kama wanaopinga ni insubordinate kwa jambo ambalo wana hiari ya kusema yes or no:
View attachment 1900783
Mkuu, umenikumbusha mbali sana. Miaka Ile nikiwa pale Ikwiriri, Rufiji, nawe ukiwa pale TBC na ukiendesha Disco la nguvu. Sikujua sababu zilizokuondoa TBC Ila niliposoma hapo juu kwa kweli nimesikitishwa Sana na hayo yaliyojitokeza. Mungu ni Mwema na tunaona bado upo na hujatetereka. Kila la kheri Pasco.Wanabodi,