Baada ya kulitafakari sakata la DP World, nimegundua kuwa waislam walikuwa sahihi

Inasikitisha na kuonyesha uwezo wetu mdogo wa kujadili bila matusi yaani utakuta ni watu wazima lakini udini umewaingia kiasi yupo tayari kujishusha hata kwa wanaomuona wa maana
Very weird 😕
Unajua Kama hujawahi patiently kujifunza juu ya world religions na Mambo yanayofanana na hayo, then Kama hujajifunza kupingwa na kukosolewa Basi chochote kinachoenda contrary na matamanio au matarajio yako lazima uwatangazie watu madhaifu yako na Hali halisi ya afya ya akili yako!! Tuombeane hekima na busara katika kuwasilisha hoja zetu
 
Watawezaji wakati wao wanaendekeza wizi na ufisadi?
 
hivi hayo mambo amekwambia nan. Unawaza udini tu.stpd
 
Lazima mtetee ninyi wagalatia wapumbavu

Wakristo wangelikuwa wapumbavu dunia isingeliendelea hivi.
Dunia inachokifurahia leo ni kazi ya wakristo because there was time three quarters of the world it was steered by christendom.
Nitajie jambo moja jema lililoletwa na uislam Duniani then nitakanusha nilichokiandika
 
kitu kimoja unachokosea kufikiri ni kwamba, wakristo wote Tanzania ni wakatoliki. umesahau kuna idadi kubwa sana ya walokole, idadi kubwa sana ya walutherani, idadi kubwa sana ya African inland church huko mikoa ya wasukuma, idadi kubwa sana ya hao mitume na manabii wapigaji. wakatoliki Tanzania ni kama mil.10 na ushee tu, therest ni wakristo wengine. watanzania tupo 60 miliono. hivyo 50 million sio wakatoliki. ni either wakristo wengine au waislam au wapagani. kwahiyo unaleta hoja ya watu milioni kama 10 tu ili kuamua maisha ya 50m wengine waliobaki? unajiona una akili?

ukiongelea hospitali au shule, hata sisi wakristo tusio wakatoliki tukienda huko we are treated the same just like you others. kuna siku nilipeleka mtoto kufanay interview shule moja ya mapadre, the way yule padre alivyokuwa na roho ngumu sikuamini macho yangu. na wanataka mtoto wangu asali salamu maria analazimishwa kuwa mkatoliki ama la hata hawana shida, wanakwambia ondoka naye.
 
Taifa la Tanzania halina dini Ila raia wake wana dini zao.
Mashirika ya kidini yanayohudumia raia yakiendeshwa na raia hao wenye we ni muhimu sana katika jamii na taifa kwa ujumla.
DP world ni kampuni ya kibiashara na siyo shirika la kidini la kutoa huduma kam mashirika ya kanisa.
Wananchi wasigawanywe kwa sababu ya wapumbavu wachache wasiojua faida na hasara za dini.
Wananchi ni wamoja bila kujali dini tofauti, ambalo ni jambo la kujivunia kama taifa.
 

Hizo hospitali sio zake ni za kibiashara .
Hao catholic wanaweza kuzitumia hizo kujiimarisha wao kwenye biashara zao nyingine. Mf. Kuajili RC tu hivyo kuimarisha hata taasisi zao nyingine kama shule na vyuo.
Je, itakuwa sawa hii?? Wakati wanatumia Kodi ya umma ambayo ingeweza Jenga hospitali nyingine za serikali.
 

Umeona upumbavu wako sasa??? Hivi wewe kitendo cha mtoto wako kulazimishwa kusali sala za RC wakati so mkatoliki unaona ni sawa??
Halafu umeelewa nilichoandika vizuri??
Nimesema christians wanaweza wazidi katoliki lakini hawawezi merge kutokana na tofauti zao hivyo RC Bado ata control.
 

Kitu kikubwa ni kwamba christians hatutaki kusikia ukweli huu kwamba mou na makanisa ni upendeleo ulio wazi.
Fedha za Kodi ya umma yapaswa kuhudumia wananchi na sio biashara za watu.
 

Kama unakiri kuwa wewe huendekezi udini nijibu hapa.

Hospitali ya RC kufadhiliwa na pesa ya Kodi ni sawa??

Hospitali ni ya RC, hivi unadhani hawawezi weka upendeleo kwa watu wa dini Yao katika utoaji wa Ajira??

Vipi wakitumia asset zao kuimarisha biashara zao za Chini kama shule,vyuo,n.k, kutakuwa kuna haki hapo?? Kumbuka wanatumia Kodi na serikali hairuhusiwi kujenga hospitali nyingine kushindana nao. Serikali itakuwa inatenda haki hapo katika kuwaletea Ajira raia wake??
 
Ile MoU ya serikali na kanisa inayokataza serikali kujenga hospitali ktk maeneo yenye hospitali za kanisa ni uhuni mwingine wa RC kama kubariki mashoga. Hili jambo ni time bomb halitokubalika milele!
Sa wenye misikiti Wana umiliki wa hospitali ngapi nchi hii,rais mwinyi aliwahi kuwambia someni aisee acheni uswahili,,
 
🤣🤣🤣Sa nyie mna miliki hospitali ngapi??acha uboya,,hata penye nchi zinazoongozwa na dini hamna amani mfano Iraqi,libya,
 
Hii mijamaa mingi Ina mambo ya ajabu sana
 
Hakuna cha uislam wala ukristo na hata ungekuwepo usingeonekana kama serikali ingefata taratibu za kisheria kutafuta mwekezaji
 
Mjinga wewe. Eti serikali inadhamini kanisa , we ni mweupe. Alafu sio mkristo. Yani kifupi wewe huna akili. MoU hukijui unaongeaongea. Iweke hapa tuone. Majinga sana maislam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…