Baada ya kulitafakari sakata la DP World, nimegundua kuwa waislam walikuwa sahihi

Unaongea kama una ubongo halafu unajichomoa.
Kama unanibishia hapa ukiwa unaegemea dini basi usinijibu Tena. Lakini kama unatumia akili Yako jibu.

Unasema zote biashara ila tofauti ni gharama,je gharama za serikali na private ni sawa??
Private ni kubwa sababu ni biashara Bali serikali gharama ni ndogo sababu inatimiza wajibu wake Kwa wananchi wake.
Sasa kutoa pesa za wananchi kwenda kusapoti biashara za watu ni sawa hiyo??

Sijasema kama ni tatizo Kwa makanisa kutoa huduma. Bali kutumia pesa ya umma kusapoti biashara za watu hasa hasa ya kidini,hili si haki.
 
Kwa nini wewe unataka serikali ijenge Hospitali za kushindana na Hospitali za binafsi wakati kuna maeneo ambayo hayana hata Hospitali au madaktari kabisa kwa kuanzia??
Mimi sijasema serikali ishindane Bali nasema serikali itimize wajibu wake.
Iache ku sponsor hizo biashara za watu kwani pia in long run Ina effect hata kwenye biashara zao nyingine.

Hospitali ya katoliki, wakisema wanaajili wakatoliki tu utabisha??
Wakisema wanaajili waliosoma shule zao tu, utabisha??
Huoni wanaweza kuzitumia kujiimarisha kibiashara hapo??
At the same time serikali haitakiwi kujenga hospitali nyingine kushindana nao.
Hii ni haki??
 
😄😄😄 Allahu Akbar
 
Kwa hiyo pale Bugando serikali iache kulipa mishahara? Si waislamu watafute mlima mwingine kama wa Bugando wajenge libugando lao halafu waajili wafanyakazi then waiombe serikali iwasaidie kulipa mishahara.
 
Hivi hizi Hospitali RC wangeamua tu kuikabidhi Serikali kama sadaka kuna shida gani?. Je hizi hospitali matibabu yake ni bure? Kama sio bure kwanini zisijiendeshe zenyewe bila ruzuku ya Serikali?.

RC kwanini wasiwe wanatoa huduma bure kwenye hospitali hizi kama wako kwa ajili ya kusaidia? na sadaka za waumini ndio ziwe zinaendesha hizi hospitali? maana hizo hospitali bado gharama za matibabu masikini wa Tanzania hawaziwezi.
 
Kwa hiyo pale Bugando serikali iache kulipa mishahara? Si waislamu watafute mlima mwingine kama wa Bugando wajenge libugando lao halafu waajili wafanyakazi then waiombe serikali iwasaidie kulipa mishahara.

kwani mwenye jukumu la kukusanya kodi ni nani,? mwenye jukumu la kujenga hospitali na kutoa huduma nafuu kwa wananchi ni nani?

Kwako ni sawa kwa taasisi za dinj kujenga mahospitali na serikali iwe inazihudumia huku mapato yakiwa mali ya taasisi za dini.

Kama Serikalo imejenga Mloganzila pale Dar, inashindwaje kujenga mahospigali makubwa kadhaa pale Mwanza, Kilimanjaro nk? na hizo Bugando na KCMC zikabaki mali ya kanisa na kuhudiwa na kanisa sio Serikali.?
 
..sasa kwanini Bakwata nao wasitengeneze MOU sawa na waliotengenezewa Wakristo?

..Binafsi naona sio sahihi kulalamikia MOU tangu wakati wa Mkapa mpaka sasa hivi wakati wa Samia, jumla ni miaka 27.
 
Hoja zako hazina ushahid eleza ni vipi Kodi zetu zinadhamini shughuli za kanisa.
 
..sasa kwanini Bakwata nao wasitengeneze MOU sawa na waliotengenezewa Wakristo?

..Binafsi naona sio sahihi kulalamikia MOU tangu wakati wa Mkapa mpaka sasa hivi wakati wa Samia, jumla ni miaka 27.

Yaani Kosa lirekebishwe kwa kosa?

Solution hapa ni serikali kuona iliingia mkataba wa kufanya kazi ya kanisa. Hilo halirekebishwi kwa serikali kufanya kazi ya msikiti!
 
Yaani Kosa lirekebishwe kwa kosa?

Solution hapa ni serikali kuona iliingia mkataba wa kufanya kazi ya kanisa. Hilo halirekebishwi kwa serikali kufanya kazi ya msikiti!

..Uko sahihi.

..Lakini serikali ya Ccm huwa haikosei.

..Kwa hiyo kuliko Waislamu kulaumu kwa miaka 27, ni afadhali na wao wangetengeneza "MOU" na serikali.
 
Kwa hiyo pale Bugando serikali iache kulipa mishahara? Si waislamu watafute mlima mwingine kama wa Bugando wajenge libugando lao halafu waajili wafanyakazi then waiombe serikali iwasaidie kulipa mishahara.
Ni halali Kodi ya wananchi kulipa biashara za watu wengine??
 
..Uko sahihi.

..Lakini serikali ya Ccm huwa haikosei.

..Kwa hiyo kuliko Waislamu kulaumu kwa miaka 27, ni afadhali na wao wangetengeneza "MOU" na serikali.
"Serikali ya ccm huwa haikosei" hivi wewe platnum member unawezaje kuandika upumbavu kama huu??

Hiyo ni biashara ya watu. Suala ninalosema hapa ni serikali kuacha ku sponsor biashara za watu ambazo ni religion oriented hasa katika nchi yetu ambayo ni secular.
 
Hoja zako hazina ushahid eleza ni vipi Kodi zetu zinadhamini shughuli za kanisa.

Inaonekana wewe ni mgeni nchi hii. Hivi ulikuwepo wakati sakata la DP world lina trend??
Sasa fanya homework,tafuta google mou ya serikali na makanisa. Utaona results nyingi ni kipindi DP world saga Ina trend.
Fuatilia baadhi ya thread utapata mwanga. Halafu tumia ubongo wako sawasawa bila kuweka udini mbele ku judge.
 
Akisoma huu mchango amini nakwambia jamaa atatamani aufute uzi wake kukwepa aibu ya ku expose ubongo wake hewa.
 
Nini kilitokea baada ya serikali kuzichukua shule za makanisa ? Zilinganishe shule ambazo Nyerere alizataifisha kutoka kwa makanisa na shule ambazo zinamililiwa sasa na kanisa. Hivyo ndivyo itakuwa kwa hizo hospitali pia zikichukuliwa na serikali.
 
Je, kama ni msikiti au kanisa linataka kujenga penye hospitali ya kanisa au msikiti, itakuwaje?
 
Je, kama ni msikiti au kanisa linataka kujenga penye hospitali ya kanisa au msikiti, itakuwaje?
Kanisa au msikiti hata wakiamua kuzitupa pesa zao au kugawa kwa wapita njia barabarani hayo ni mambo yao binafsi na waumini wao.
 
Kipindi kizuri cha kushughulikia katiba ni punde tu baada ya uchaguzi mkuu huu wa 2025. Kipindi hicho tutakuwa hatuna pressure ya uchaguzi. Hivyo tutafanya jambo letu tukiwa na utulivu wa akili. Maana tukumbuke, katiba si uchaguzi tu, bali inahusiana na mambo mengi sana. Hilo litatusaidia kutonaswa kwenye mtego wa kudhani katiba ni sheria ya uchaguzi hivi kwamba tunaweka kando mambo mengine yote na kufikiria katiba itakavyoelekeza uchaguzi.
 
Hiyo MoU inanufaisha makanisa gani? Kwa maana siku hizi kuna jamii kubwa sana ya wakristo wasio wakatoliki na walutheri. Je kwa staili hiyo ya MoU kati ya serikali na kanisa DP World ndiyo MoU kwa waislam? Kwa hiyo watasapoti miradi ya waislam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…