#COVID19 Baada ya kumaliza Maombolezo ya kumuaga mpendwa wetu Magufuli, tujiandae na maambukizi mapya ya COVID-19

watu wanajazana kwenye mabasi na kariakoo hamsemi, kwenye kuaga mwili ndio mnakuja na ngonjera. kwanza si naskia watu walikuwa kidogo sana.
Aende Tanganyika Packers kwa Mwamposa, aone nyomi la watu.
 
Beberu weeee !! Tanzania hakuna corona
 
Haya maneno wewe sio wa kwanza asee.
Mnatamani sana lakini Muumba anatulinda kwakweli.
Rejea mikusanyiko ya nyuma kwenye soka,kampeni n,k
Hata Profesa alikuwa mbishi kuliko wewe keshaanza kutinga barakoa... unadhani corona inapenda kubishiwa? Ipo na inaua... changanya na zako kabla hujafa kibudu.
 
Kwaiyo ukivaa Barakoa hupati Corona au autokufa?
Hizi ni akili zako Mkuu? Werevu hawaachi milango wazi kutegemea kudra za Mungu bali huifunga milango yao ili wasimjaribu Mungu.
Tutakapoona ID yako haijibujibu tutajua ushapigiwa hodi... acha ujuba chukua tahadhari...
 
Mdio mko kazini mnapandikiza virusi au?
Swain!
 
Hata Profesa alikuwa mbishi kuliko wewe keshaanza kutinga barakoa... unadhani corona inapenda kubishiwa? Ipo na inaua... changanya na zako kabla hujafa kibudu.
Mwambie huyu MATAGA labda atakuelewa
 
Mkuu unajua watu wengi wameaminishwa kuwa hakuna Corona Tanzania, na hakuna anayekufa kwa Corona. Wanaenda kwa imani hiyohiyo mpaka leo. Hatari sana.
Watu wanakufa kila siku tanzania kwa magonjwa tofauti....kwa nini ukomalie korona tu?
Valisha barakoa familia yako na ji-lock down nayo pia...
 
Mi naona watu wafe wengi angalau 1000 kwa siku ili akili zirudi
 
Hebu acha kutisha watu! Magu ameizika corona! Hapa nchini trace ya corona iliyopo ni ile yenye ku'behave'! Mungu ataendelea kutulinda! Ww shona barakola yako na uivae kama huna imani!
 
Hizi ni akili zako Mkuu? Werevu hawaachi milango wazi kutegemea kudra za Mungu bali huifunga milango yao ili wasimjaribu Mungu.
Tutakapoona ID yako haijibujibu tutajua ushapigiwa hodi... acha ujuba chukua tahadhari...
Sawa,ila tusitabiriane mabaya eti,next week watu watakufa wengi kwa Corona kwasababu ya msongamano wa pale taifa jana na leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…