Baada ya kumchuna miaka 3, nimekula dili na mama amkatae siku ya kumtambulisha

Mkirogwa mnaanza kukimbilia kwa mwamposa ovyooo
Usile cha mtu kama unabana utekezi
 
Yupo sahihi olewa na chaguo lako Ili upate furaha ya moyo. Ila kuchuna mtu ni wizi pia
 
Miaka 21 kwa 39 ndio ndoa nzuri.Umri wake ndio sahihi kwa umri wako.Kama umekusudia kumfanyia hivyo na yeye alikusubiria hivyo.Subiri laana ya maisha. Hutaolewa na ukiolewa utapata mume bomu utamtafuta na yeye hakutaki tena.
 
Waambie kabisa ndugu zako siku wakiona umevaa pichu kichwani kama kofia wajue jamaa keshafanya yake.
 
uzuri ni kwamba mavuno ulichokipanda yatakuwa makubwa kuliko mbegu uliyoipanda. Hivyo subiri muda wa mavuno utakapofika.
 
Subiri kuliwa kimasihala........utawekewa mkojo kwenye dompo haafu tuta tatua marinda yote...**** nyoko zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…