Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuzika ama watakusafirisha?Nikiwa na miaka 21 kuna mwanaume mtu mzima (39) amekuwa akionesha nia ya dhati ya kutaka kunioa.
Mm nilimpa masharti kuwa siko tayari kwa ndoa lkn akaning'ang'ania. Nikawa mtoto wa kike nikikohoa tu muamala unasoma, nikilia shida muamala unasoma na nikiwa na uhitaji wowote ule muamala unasoma.
Ni mwaka wa 3 sasa tangu anigande lkn sikuwahi hata kutoka naye out ya lunch wala dinner, achilia mbali utelezi ndiyo aliogopa hata kugusia. Kwasabb nilmwambia kama ana nia ya dhati ya kunioa asubiri ndoa.
Hivi sasa kanikomalia anataka akatoe posa lkn mm naona hatuendani maana yeye sasa ana 42 na mm 24. Nimebuni mbinu ya kumpiga chini pasipo maumivu.
Nimemwambia nikamtambulishe kwanza kwa wazazi kabla ya posa. Lkn nimekula dili na mama kuwa amkatae siku akija home. Tukifika tu home mama anune na awe mkali haswaa!
Kisha mama ataniandikia sms ya mchongo ya kumkataa. Halafu nitamuonesha ama kumtunlmia hiyo sms.
Mliosoma Cuba mpo?
Mtarajiwa namsoma tu ajaribu aoneAlichokipanda atavuna
Wanaume na genye ni samaki na maji sasa kama huyo jamaa eti zaidi ya miaka 3 hajamgegeda kazi ni kumlia hela tu, unahisi jamaa yupo sawa huyo.kwanini boss unakuwa na hofu
Halafu ukifika 30 huna mchumba utaanza kwenda kukesha kwa Mwamposa unaomba mume.Nikiwa na miaka 21 kuna mwanaume mtu mzima (39) amekuwa akionesha nia ya dhati ya kutaka kunioa.
Mm nilimpa masharti kuwa siko tayari kwa ndoa lkn akaning'ang'ania. Nikawa mtoto wa kike nikikohoa tu muamala unasoma, nikilia shida muamala unasoma na nikiwa na uhitaji wowote ule muamala unasoma.
Ni mwaka wa 3 sasa tangu anigande lkn sikuwahi hata kutoka naye out ya lunch wala dinner, achilia mbali utelezi ndiyo aliogopa hata kugusia. Kwasabb nilmwambia kama ana nia ya dhati ya kunioa asubiri ndoa.
Hivi sasa kanikomalia anataka akatoe posa lkn mm naona hatuendani maana yeye sasa ana 42 na mm 24. Nimebuni mbinu ya kumpiga chini pasipo maumivu.
Nimemwambia nikamtambulishe kwanza kwa wazazi kabla ya posa. Lkn nimekula dili na mama kuwa amkatae siku akija home. Tukifika tu home mama anune na awe mkali haswaa!
Kisha mama ataniandikia sms ya mchongo ya kumkataa. Halafu nitamuonesha ama kumtunlmia hiyo sms.
Mliosoma Cuba mpo?
Kama nilivyoandika kwenye uzi wangu, aliniganda sanaDunia inazunguka hii, isije ikafika siku utakayohitaji hata babu wa 50 akuoe na asitokee(karma), kama humpendi mtu mwambie ukweli na usichukue/usikubali vitu vyake ili amove on. Jiepushe na kula vitu vya watu binti.
Ningekua mimi ningedinya woteWewe na huyo mama yako Ni kopo na mfuniko
Nikiwa na miaka 21 kuna mwanaume mtu mzima (39) amekuwa akionesha nia ya dhati ya kutaka kunioa.
Mm nilimpa masharti kuwa siko tayari kwa ndoa lkn akaning'ang'ania. Nikawa mtoto wa kike nikikohoa tu muamala unasoma, nikilia shida muamala unasoma na nikiwa na uhitaji wowote ule muamala unasoma.
Ni mwaka wa 3 sasa tangu anigande lkn sikuwahi hata kutoka naye out ya lunch wala dinner, achilia mbali utelezi ndiyo aliogopa hata kugusia. Kwasabb nilmwambia kama ana nia ya dhati ya kunioa asubiri ndoa.
Hivi sasa kanikomalia anataka akatoe posa lkn mm naona hatuendani maana yeye sasa ana 42 na mm 24. Nimebuni mbinu ya kumpiga chini pasipo maumivu.
Nimemwambia nikamtambulishe kwanza kwa wazazi kabla ya posa. Lkn nimekula dili na mama kuwa amkatae siku akija home. Tukifika tu home mama anune na awe mkali haswaa!
Kisha mama ataniandikia sms ya mchongo ya kumkataa. Halafu nitamuonesha ama kumtunlmia hiyo sms.
Mliosoma Cuba mpo?
Heee😝Ningekua mimi ningedinya wote