Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote


najua bas shogangu alichotupia! ohh umesema kweli !so alitupia vidoe gan! pole yake zaid zaidi HONGERA YAKE
 
Kabla hujaoa jitahidi sana kumchunguza mtu unayeenda kufunga nae ndoa.

Siku moja mzee wa upako alisema hawa wanawake wanaojifanya wanaharakati wa kupigania haki za kina mama hawafai kabisa,tena nakumbuka alikuwa katika mahojiano na huyu Joyce!

Hii ni hasara!
 
Inasikitisha sana...

Huyu mwanamke ana mambo mengi sana ya ajabu...

Na anapotosha sana wanawake wenzake wakati ya kwake yanamshinda...


Cc: mahondaw
Halafu nashangaa haombi talaka Kama anavyoshaur .au ampeleki Mahakaman huyo mume wake kwa Kosa la kumpiga kama alivyokuwa anashupalia waume wa wenzake.
 
Kupapaswa kidogo tu kwa vibao kelele nyiiingi,je akipigwa itakuwaje? Wanawake ni viumbe wa ajabu sana,akimzidi mumewe kipato tu basi inakuwa nongwa,kwani Joyce hana wajibu wa kuitunza familia yake ikiwa ni pamoja na kulipa kodi ya nyumba? Yeye apambane na hali yake kwa kumtunza huyo KARAI kula kulala wake...!!!
 
Sio wote Mkuu Sema baadhi ya......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…