Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Si huwa anasema wawe na usawa, sasa imefika zamu yake kulipa kodi na bill za maji na umeme anaona hawezi.

Basi kuanzia leo asilalamike kuhusu usawa na haki kwa wanawake

Halafu yale matamshi ya Beijing naona yanawatokea puani
 
Watu wa ndani wamegusia kuwa hali tete Kiuchumi pia imemkumba Yerico Nyerere ambae siku za karibuni amekuwa akiuza vitabu ili kuweza kujikimu.
naomba nimtetee ndugu Yericko Nyerere,hiyo ni talent yake UANDISHI,si kwasababu ya hali mbaya ya uchumi.
Watu kama nyie ndo mnauaga talents za watu kwa vijimambo vya kipuuzi kama hivi.
 
Mhh kwani huyu mama ndo nani??mbona naona kama kuna jinsi haikutakiwa kiwa ilivyo hata kama.
 
Mwanaume habadilishwi kwa malalamiko ya mitandaon yeye Kama anaona Maisha yameshabadilika angeomba talaka baada ya hapo yeye Kama mwanaharakati angetoa Hiyo video ya blah blah zake kuwashaur wanawake wasikae Kwenye ndoa za mateso wafanye maamuzi magumu .

Hivi kila mwanamke akiaza kujirecord nakutupia matatizo yake na mume wake kwenye mitandao si patakuwa hapatoshi.
Naona una vimaneno vya busara kwa mbaaaali
 
Basi tiba kapata ,saizi utapokea kipigo kikali bila kuharibika usoni wala kuvunjika popote .nipe no yake pm ,nakuahidi hatojutia muda na pesa yake. Mwanamke sura bana
Nimekupm now mkuu
 
Kwa hiyo hadi Da Mange kasikitika, jamani Chadema mnamuumiza Da Mange.
 
Joyce uliingia kwenye ndoa bila Kutambua misingi na Nidhamu ya Ndoa.....sidhani kama wewe ni mwerevu sana kusema mambo ya Ndoa yako katika mitandao pendwa ila kwa akili yako ya kipuuzi nadhani unafikiri umeonekana/utaonekana Shujaa....!!naomba nikukumbushe kitu kimoja maana najua utasoma tu...Kumbuka Umetuletea sisi mitandaoni huku ukiwa umesahau sisi tunapita Na victim wa Milele ni watoto wako na huyo Mmeo....Usianike matatizo yako ya Ndoa yenye watoto Katika mitandao ya kijamii kumbuka watoto Wanakua hawatabaki hivyo unavyowaona leo....Watakua na watakuta haya maneno yako na mavideo yako unayoamini leo unafanya ushujaaa...
 
Mange Kimambi ameshangazwa na hali ya Kiuchumi ya makamanda na kuhoji kwa nini makamanda wanaojitoa kwa moyo wote hawathaminiwi kwa kulipwa mishahara.

Mange ametoa rai hiyo kufuatia hali mbaya ya KIFEDHA inayowasumbua makamanda wengi akiwemo HENRY KILEWO ambaye mke wake JOYCE KIRIA (Mwanaharakati wa haki za wanawake) amelalamika kuhusu ukata unavyoisumbua familia huku majukumu muhimu kama ada na chakula yakitimizwa na Joyce bila msaada wa KILEWO.

Baadhi ya majirani wa HENRY KILEWO wamepata mashaka kuwa iwapo KILEWO atapata ubunge Mwanga 2020 iwapo atawahudumia wananchi au tumbo lake. Watu wa ndani wamegusia kuwa hali tete Kiuchumi pia imemkumba Yerico Nyerere ambae siku za karibuni amekuwa akiuza vitabu ili kuweza kujikimu.

Hali tete Kiuchumi kutokana na kutothaminiwa kwa makamanda kumepelekea baadhi ya makamanda kujiona kama makarai na kuamua kuacha siasa au kuhamia vyama vingine.
MANGE KIMAMBI ameitaka CHADEMA kuwaingiza kwenye Payroll makamanda na kuacha kuwakatisha tamaa huku Watu wachache wakinufaika.
Wakati Hemedi yule alieenda na Lowassa alipewa shavu la kukaa na mgonjwa Tundu Lisu kwa miezi 3 anakula tu perdiem hapo Nairobi
 
Siku hizi hakuna wanandoa maana mnagombana chumbani mnashitakiana kwenye mitandao na vyombo vya habari shuani
Mashetani kama hawa ndo wanaishushia hadhi tasisi ya ndoa
 
Baada ya Kupost Video yake Kwenye mtandao wa Kijamii Instagram , kulalamika anapigwa na mumewe wakati yeye Ndio anasimamia kila kitu ndani ya nyumba mpaka kodi ya nyumba wanayoishi analipa yeye.

Wadau mbalimbali waliotoa mtazamo wao kwa alichokifanya Ila mwanaharakati huyu wa wanawake alisema Hataki ushaur wa namna yoyote ile.

Nb
**Kama hawa Ndio mfano wa aina ya wanaharakati tulionao wanawake, Basi wanawake tunasafari ndefu Sana.

View attachment 681349
Pamoja na yote she dosent deserve kupigwa...
 
Back
Top Bottom