Huyo mke ni mwizi na mbinafsi! Unaiba hela ya mume wako ili iweje.. ni sawa na kujiibia wewe mwenyewe.Kuna Kitu kikubwa Sana hapa. Sometimes Kuna tabia tunaziona ni za kawaida Sana wakati wa uchumba Ila zinakuja kukomaa na hazizuiliki Tena. Nina mfano japo nilikimbia mbio.
Mwizi ni mwizi hata akiwa na mamilioni akiona ten imening'inia ataanza kudondosha udenda.Hili ni libahili ukionaga majitu hayanaga shukrani ujue haya.
1. Libahili
2. Halijui kubembeleza mwanamke ukimwona anavaa kiuchi uchi anakutega ila hujui mapenzi nini ,hujui kuwa mke anataka nini wewe ni ugomvi tu.
3. Unamchepuko unayemtunza ndio maana mkeo akifanya hivyoo unaona keroo.
So acha umalaya tulia kwa mkeo . Uenjoy maisha ya ndoa
Mmh hapana mtu akipewa hela wizi atauachaMwizi ni mwizi hata akiwa na mamilioni akiona ten imening'inia ataanza kudondosha udenda.
Akili ni mali kila mtu anautahira wake na ndio huu wa mtoa madaNdoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu.
Naona imekuuma Sana vipi una dada wengi au mabinti wengi mkuu ....?Na pia anadokoa kwa sababu hana kazi, huyo lazima awe GoalKeeper, Mwanamke anayeshinda nyumbani asubuhi hadi jioni 24/7, wanakuwaga na visirani sana. Wanawake nao wasipende kuolewa bila kuwa na vyanzo vya mapato vya kukidhi haja zao maana wanavunjiwa sana heshima, mtu anarudishwa tu nyumbani kama kifurushi, upumbavu sana.
Inategemea na kupato cha mtu. Kama mtu analalamika kuibiwa aftatu unadhani hela ya fungate ipo kweli. Sio wote wana uwezo huo.Huyo jamaa ni immature tu. Likizo kwenye ndoa means mnaenda wote as in vacation, more likely inatakiwa iwe kama fungate, mnaenda mnapumzika pamoja na kuyaongea yale ambayo yanawakwaza kwa utaratibu na kuona whats a way forward ili ndoa isiwe chungu to both of you. Sasa mmoja kati yao akienda kwao inasaidia nini..? Utoto tu
Mwanamke mwizi na mdokozi ni hafai atawafundisha nini wanao....?Huyo jamaa ni immature tu. Likizo kwenye ndoa means mnaenda wote as in vacation, more likely inatakiwa iwe kama fungate, mnaenda mnapumzika pamoja na kuyaongea yale ambayo yanawakwaza kwa utaratibu na kuona whats a way forward ili ndoa isiwe chungu to both of you. Sasa mmoja kati yao akienda kwao inasaidia nini..? Utoto tu
Una uhakika?Ukioa hayo ma UTI utayasikia kwa jirani.
%zoteUna uhakika?
Yes, na hii ni kwasababu akili za mwanaume ndo zinazotakiwa kutumika kwenye Ndoa, ndo maana ukiona ndoa imedumu miaka 20+ ujue na akili za mwanaume zimeanza kuchoka kwasababu zimetumika sana.Ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na nikiunga hapa natoa upepo
Endelea kulea upuuzi, unless huna mpango wa kumuoaYaani hapa duniani ni tafrani tupu
Naangalia upuuzi alionao grl friend wangu naoshia kucheka tu
na mvua hiyoo, kazi nnayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapo walio kwenye ndoa lakini wanaletewa gono na hata UKIMWI na wenza wao%zote
Alichomiss hapo ni kupikiwa chakula na kufuliwa nguo😀😀Natamani nipewe likizo🤣🤣🤣 nikitoka asubuhi, Ile jioni nikirudi namkuta mume kakonda, analalamika amenimiss🤣🤣🤣
Wengine hawataki wake zao wafanye kazi yoyote ya kumuingizia kipato, lazima wadokoleweNa pia anadokoa kwa sababu hana kazi, huyo lazima awe GoalKeeper, Mwanamke anayeshinda nyumbani asubuhi hadi jioni 24/7, wanakuwaga na visirani sana. Wanawake nao wasipende kuolewa bila kuwa na vyanzo vya mapato vya kukidhi haja zao maana wanavunjiwa sana heshima, mtu anarudishwa tu nyumbani kama kifurushi, upumbavu sana.
Kweli.Wapo walio kwenye ndoa lakini wanaletewa gono na hata UKIMWI na wenza wao
Kwa wale wenye Tv vyumbani hili tatizo la ugomvi wa rimoti halipo.Mwanamke mwenye adabu mume akifika sebuleni anamkabidhi remote....He is a King of the house.