Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

Kuna Kitu kikubwa Sana hapa. Sometimes Kuna tabia tunaziona ni za kawaida Sana wakati wa uchumba Ila zinakuja kukomaa na hazizuiliki Tena. Nina mfano japo nilikimbia mbio.
Huyo mke ni mwizi na mbinafsi! Unaiba hela ya mume wako ili iweje.. ni sawa na kujiibia wewe mwenyewe.

Na mume itakua ana shida, mwanamke inakuaje hadi anakua mjeuri kwako
 
Hili ni libahili ukionaga majitu hayanaga shukrani ujue haya.

1. Libahili
2. Halijui kubembeleza mwanamke ukimwona anavaa kiuchi uchi anakutega ila hujui mapenzi nini ,hujui kuwa mke anataka nini wewe ni ugomvi tu.

3. Unamchepuko unayemtunza ndio maana mkeo akifanya hivyoo unaona keroo.

So acha umalaya tulia kwa mkeo . Uenjoy maisha ya ndoa
Mwizi ni mwizi hata akiwa na mamilioni akiona ten imening'inia ataanza kudondosha udenda.
 
Na pia anadokoa kwa sababu hana kazi, huyo lazima awe GoalKeeper, Mwanamke anayeshinda nyumbani asubuhi hadi jioni 24/7, wanakuwaga na visirani sana. Wanawake nao wasipende kuolewa bila kuwa na vyanzo vya mapato vya kukidhi haja zao maana wanavunjiwa sana heshima, mtu anarudishwa tu nyumbani kama kifurushi, upumbavu sana.
Naona imekuuma Sana vipi una dada wengi au mabinti wengi mkuu ....?
 
Huyo jamaa ni immature tu. Likizo kwenye ndoa means mnaenda wote as in vacation, more likely inatakiwa iwe kama fungate, mnaenda mnapumzika pamoja na kuyaongea yale ambayo yanawakwaza kwa utaratibu na kuona whats a way forward ili ndoa isiwe chungu to both of you. Sasa mmoja kati yao akienda kwao inasaidia nini..? Utoto tu
Inategemea na kupato cha mtu. Kama mtu analalamika kuibiwa aftatu unadhani hela ya fungate ipo kweli. Sio wote wana uwezo huo.
 
Huyo jamaa ni immature tu. Likizo kwenye ndoa means mnaenda wote as in vacation, more likely inatakiwa iwe kama fungate, mnaenda mnapumzika pamoja na kuyaongea yale ambayo yanawakwaza kwa utaratibu na kuona whats a way forward ili ndoa isiwe chungu to both of you. Sasa mmoja kati yao akienda kwao inasaidia nini..? Utoto tu
Mwanamke mwizi na mdokozi ni hafai atawafundisha nini wanao....?

Kama anashida na hela kwa nini asiombe hadi adokoe...?

Je anajua hizo hela anazo dokoa zilikua kwenye bajeti gani...?

Nilicho gundua wewe jamaa ufeminist umekuteka na hufurukuti ndio maana unatumia hisia kwenye mambo ya akili
 
Na pia anadokoa kwa sababu hana kazi, huyo lazima awe GoalKeeper, Mwanamke anayeshinda nyumbani asubuhi hadi jioni 24/7, wanakuwaga na visirani sana. Wanawake nao wasipende kuolewa bila kuwa na vyanzo vya mapato vya kukidhi haja zao maana wanavunjiwa sana heshima, mtu anarudishwa tu nyumbani kama kifurushi, upumbavu sana.
Wengine hawataki wake zao wafanye kazi yoyote ya kumuingizia kipato, lazima wadokolewe
 
Back
Top Bottom