Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kaza roho.Kuishi na mtu mwenye magego yalikwishakukomaa ni changamoto.Si utoto na wala si mwaka mmoja, hicho kipindi ni tangu pale nilipoamua kuzikabili changamoto kwa kukaa mbali. Ndo maana nikasema nina mwaka na nusu sijaangalia TV kwa ukamilifu.
Hapana mkuuUtajisajili chaputa na kuchukua Sheria mkononi kwa muda.....
Acha kabisa mkuu!!Kumbe kila mtu anachangamoto zake katika ndoa!
🤣🤣🤣Jipe moyo mwanangu, mkeo huyo ulimpenda mwenyewe
HahahahahahahaaaMkuu pole sana kwa kuoa uzaramuni🤣 wao tabia za kihuni kwao ni kawaida. Ameenda mafunzo huyo akirudi kinawaka tena atakagua kama umesajili koloni jipya.
Unaambiwaje,binadamu siku zote ana shauku na "kitu kipya" chenye tabia tofauti na zake![emoji1787]Na kuna wanaume wanaowapata wanawake ambao hawana tabia hata moja hapo halafu wao ndio wanazingua.
Maisha hayana usawa!
Huyo mwanamke angekuwa na pesa na anajimudu, huyo mjinga asingekuwa na guts za kumwambia aende kwao!!!Aende zake kabisa😃
Hapo sasa,......mmmmh nahisi kitu hapa!Na kuna wanaume wanaowapata wanawake ambao hawana tabia hata moja hapo halafu wao ndio wanazingua.
Maisha hayana usawa!
Changamoto huwa haziishi na hutofautiana.Bora abaki single nakwambia atapata product nyingine yenye changamoto zingine mpyaaaaa
Ndio maana Mimi nikimuagiza mpenzi wangu Kijiko akaleta bakuli inatosha kabisa kuachana nae.Mkuu wanawake wanajifunika sana majani kipindi cha uchumba kila mtu akiongea matatizo yake hapa utashangaa ni vile Wanaume wengi wana kifua kizito wanakufa na matatizo yao tena tunawaacha Wanawake maana wao hawana kifua...
Uzi ufungwenimebaini ni kama huyo mwenzako umemchoka.
Wanasema ukimchoka mtu utamtafutia visababu ila mradi usiweze kuishi naye.
Soma uelewe, hakuna aliyenunaMwanaume ananuna kisa hajaangalia Tv [emoji276]mimi tangia ninunue Tv niliitest tu home kama ipo fresh mwaka wa pili huu sijawasha tena [emoji28]
Sawa si mpenzi ukiamua kumuacha hata akichelewa kuja siku ya appointment unamuacha hapa tunazungumzia Ndoa sio wapenzi faza sehemu uliyolipia unatambulika na Serikali na jamii nzima...Ndio maana Mimi nikimuagiza mpenzi wangu Kijiko akaleta bakuli inatosha kabisa kuachana nae.
🤣🤣🤣Nayaonea wivu hayo mapumziko yako.
Hahahahah........huyu jamaa Tigo yake ilikuwa inaibiwa kila wakati. Daah?! Mwanamke anafanyia nini Tigo?😡Udokozi wa vielfu tano tano vyangu katika tigopesa yangu utakoma kwa muda....[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Sent using Jamii Forums mobile app