Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

Si utoto na wala si mwaka mmoja, hicho kipindi ni tangu pale nilipoamua kuzikabili changamoto kwa kukaa mbali. Ndo maana nikasema nina mwaka na nusu sijaangalia TV kwa ukamilifu.
Kaza roho.Kuishi na mtu mwenye magego yalikwishakukomaa ni changamoto.
 
wapi wakoloni wa kataa ndoa sijui waliona nini kwa kweli. Ila kuishi mwenyewe kunaboa ukiweka ndani ndio matatizo utayaona, manake kunatabia hadi mzazi wake haijui wewe ndio utaijua. Vidole havilingani kwa kweli.
 
Hiyo ni tabia yake na hawezi kubadilika, furaha yako Ni ya muda mfupi akirudi yanaendelea Yale Yale.
 
Mwanaume ananuna kisa hajaangalia Tv [emoji276]mimi tangia ninunue Tv niliitest tu home kama ipo fresh mwaka wa pili huu sijawasha tena [emoji28]
 
Mkuu wanawake wanajifunika sana majani kipindi cha uchumba kila mtu akiongea matatizo yake hapa utashangaa ni vile Wanaume wengi wana kifua kizito wanakufa na matatizo yao tena tunawaacha Wanawake maana wao hawana kifua...
Ndio maana Mimi nikimuagiza mpenzi wangu Kijiko akaleta bakuli inatosha kabisa kuachana nae.
 
Ndio maana Mimi nikimuagiza mpenzi wangu Kijiko akaleta bakuli inatosha kabisa kuachana nae.
Sawa si mpenzi ukiamua kumuacha hata akichelewa kuja siku ya appointment unamuacha hapa tunazungumzia Ndoa sio wapenzi faza sehemu uliyolipia unatambulika na Serikali na jamii nzima...
 
Back
Top Bottom