Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

Tatizo la malezi na kuiga utandawazi wa jamii za magharibi , we fuatilia hata malezi ya mabinti wadogo katika familia nyingi uone bomu linalotengenezwa .
Plus hii ya haki sawa na kutaka kumvimbisha kichwa mwanamke achukue nafasi ya mwanaume katika familia .
Ni hatari sana
 
Tena mijanamke ya hivyo ukimpeleka kwao kama hivyo akifika huko atagawa mbususu kwa masela wa kijijini kwao waliokuwa wanamla kabla yako (wanawake huamini kwamba akigawa mbunye hovyo anakukomoa)
Utashangaa anarudi na mimba
 
Nyienyie usiombe uolewe na mwanaume bahiri na huna chakufanya aisee hakuna rangi utaacha ona wewe mkuu ni mbahiri ndomana inapigwa sachi
Ulifaa uolewe na kaka yangu akunyooshe hiyo tabia yako mpaka akili zikurudi
Kuna siku nimeenda kumtembelea Bro ,usiku nikapata kazi kubwa ya kumvuta na kumzuia asiendelee kushusha kipondo kwa shem ,kosa ilikuwa ni hiyo hiyo tabia ya udokozi halafu anaulizwa analeta uhuni , siku hiyo aliwekewa mtego mhuni kaacha pesa za noti kadhaa kwenye suruali halafu kavunga anaenda bafuni ,akarudi muda mfupi chumbani anakuta pesa hamna mfukoni ,wee kiliumana
 
Yaani dah..!!!!
Demu atagawa sana **** mpaka akirudi kwa mumewe kitu ishakuwa bwawa hugusi hata ukuta
 
Ukioa alafu uliemuoa akakupa nafasi kidogo ya kukuacha single mara nyingi yeye hupoteza ile nafasi mzima
 
Mwanamke yoyote ana akili ya maana hata kama ni mama yako mzazi ...tatizo linakuja mwanaume mwenye akili akioa mwanamke asiye na akili ....nibora mwanaume asiye na akili ndiyo afunge ndoa na mwanamke asiye na akili
 
Shame,walikomaa kwenye ndoa hawapigani hadharani unless wewe ndomwenye kiherehere chakuingilia mambo ya watu,kitendo cha kaka yako kuwa abusive asingeweza kuwa na mke kama me
 
Iwe jumla hiyo mkuu. Ndoa ni utapeli mkubwa ona sasa ulivyokuwa unatapeliwa mda mchache tu wa kuwa single umekuwa na amani. NDOA NI UTAPELI
Ndoa za sasa hivi zipo kwaajili ya kuwapunguzia mzigo wa matatizo upande wa kwa mwanamke, Nilimsikia Mama mmoja anasema huyu mwanaume tulijua amemuoa mtoto wetu ili kutupunguzia mzigo lakini naona ametuongzea mzigo kisa jamaa alijibu hana pesa baada ya kuombwa na Mama mkwe wake.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Safi sana hiyo.
 
Changamoto huwa haziishi na hutofautiana.
Mfano.
Umegundua mkeo anacheat, uendelee naye kwasababu ukiamuacha na kuwa na mwingine utapata anayecheat zaidi.
Maisha hayapo hivyo
Sio lazima uendelee nae. Wewe muache kama unaona ni sawa. Maisha ndo yapo hivyo kila mtu na akili zake
 
Kitu ambacho wazazi hawataki kukubali ni kwamba huo mzigo wa kuombwa hela,wanatakiwa wapewe list kabisa ya washikaji watakaochangia hayo mahitaji yao. Si wanagonga wengi? Iweje kisa anakaa kwako ndo ukasovu mambo yao? Juu ya wizi wa litoto lao? Linazoiba hizo liwe linawapa. Full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…