Tatizo la malezi na kuiga utandawazi wa jamii za magharibi , we fuatilia hata malezi ya mabinti wadogo katika familia nyingi uone bomu linalotengenezwa .Kuishi mwenyewe ni bora zaidi, kuna wanawake kazi yao ni kukupa stress 24/7, unakuta jitu libinafsi na wala halina shukrani hata ulifanyie nini!
Mimi wangu alianza chokochoko za naenda kwetu, huo ukawa wimbo kila muda. Kuna siku akajichanganya, naomba nauli naondoka, nikampa chaap, asubuhi nikampeleka Ubungo. Sasa mwaka wa 3 huu maisha yamekuwa na amani sana, kila siku analilia kurudi..huwa nawaza arudi kunipa stress tena?
NB: Mnaotaka kuoa mjitafakari mara mbili, kuna muda wale jamaa wa KATAA NDOA, wana hoja!
Plus hii ya haki sawa na kutaka kumvimbisha kichwa mwanamke achukue nafasi ya mwanaume katika familia .
Ni hatari sana