Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

Nakazia
 
Ulioa kanyampuzi na kibaka! Pole sana!
 
Sawa si mpenzi ukiamua kumuacha hata akichelewa kuja siku ya appointment unamuacha hapa tunazungumzia Ndoa sio wapenzi faza sehemu uliyolipia unatambulika na Serikali na jamii nzima...
Kabla ya kufika huko kwenye ndoa tunaanza kwenye mapenzi hukuhuku mkuu.
 
Asee huyo kafuga kibaka ndani kwake . Hakuna mke hapo
 
Hivyo vyote 1-6 muda si mrefu utaanza kuvimiss na utamuoita kurudi.
 
tabia za wanawake huwa zinafanana fanana kama huwa wameambizana vile...

huyu unaemuelezea namuona kama mke wangu vile.

Political is just liKe a war always, BOOST YOUR CONFIDENE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…