Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

Kiongozi bora angebaki tu nyumbani na utumie njia nyingine kumrekebisha.
Huko ulikompeleka ndipo alipokulia na akawa hivyo alivyo. Hapo umeenda tu kumuongezea maujuzi na kumkutanisha na vibwana vyake vya kitaa.
Hapo umeongeza tatizo lingine Atarudi papuchi imechakaa
Nakazia
 
Umuofia kwenu!!

Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake;

1. Leo kwa mara ya kwanza, katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu, nimefanikiwa kutulia nyumbani saa mbili usiku na kuangalia taarifa ya habari mwanzo mwisho. Kabla, ilikuwa sikai maana nikibadilisha channel tu na kuweka kituo changu pendwa cha Star TV kuangalia taarifa basi manung'uniko yenye kukera huanza kukimbizana kutoka nje ya kinywa chake.

"Tutaacha vp kubadilishiwa channel wakati TV sio yetu na hata bei yake hatuijui..."

"Hata kuzima we zima tu, nini kubalisha channel" Dah

2. Nimepumzika kushuhudia mabega na makwapa ya mke wangu yakionwa na watoto muda wote awapo nyumbani. Jitihada za kumrekebisha ili aendane na desturi yangu, daima huenda sambamba na ugomvi.

3. Nimepumzika kuona sura ya kununanuna pale ninapotoa maelekezo.

4. Udokozi wa vielfu tano tano vyangu katika tigopesa yangu utakoma kwa muda.

5. Nitapumzika kusikia matusi kama 'nyoko we' n.k yanayotolewa kwa watoto kila siku.

6. Nitafurahia vichenji vinavyobaki katika matumizi madogomadogo na kuziweka mezani. Kwa kawaida hivi hutoweka dakika moja tu baaada ya kuviweka, hata kama akiwa amelala basi huamka ghafla na kuvichukua kisha kulala tena.

Mbona nina furaha sana sasa?!!! Atarudi kweli? Arudi ili nije kupata stress tena?

Ndoa..........mh!
Ulioa kanyampuzi na kibaka! Pole sana!
 
Sawa si mpenzi ukiamua kumuacha hata akichelewa kuja siku ya appointment unamuacha hapa tunazungumzia Ndoa sio wapenzi faza sehemu uliyolipia unatambulika na Serikali na jamii nzima...
Kabla ya kufika huko kwenye ndoa tunaanza kwenye mapenzi hukuhuku mkuu.
 
Ulifaa uolewe na kaka yangu akunyooshe hiyo tabia yako mpaka akili zikurudi
Kuna siku nimeenda kumtembelea Bro ,usiku nikapata kazi kubwa ya kumvuta na kumzuia asiendelee kushusha kipondo kwa shem ,kosa ilikuwa ni hiyo hiyo tabia ya udokozi halafu anaulizwa analeta uhuni , siku hiyo aliwekewa mtego mhuni kaacha pesa za noti kadhaa kwenye suruali halafu kavunga anaenda bafuni ,akarudi muda mfupi chumbani anakuta pesa hamna mfukoni ,wee kiliumana
Asee huyo kafuga kibaka ndani kwake . Hakuna mke hapo
 
Umuofia kwenu!!

Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake;

1. Leo kwa mara ya kwanza, katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu, nimefanikiwa kutulia nyumbani saa mbili usiku na kuangalia taarifa ya habari mwanzo mwisho. Kabla, ilikuwa sikai maana nikibadilisha channel tu na kuweka kituo changu pendwa cha Star TV kuangalia taarifa basi manung'uniko yenye kukera huanza kukimbizana kutoka nje ya kinywa chake.

"Tutaacha vp kubadilishiwa channel wakati TV sio yetu na hata bei yake hatuijui..."

"Hata kuzima we zima tu, nini kubalisha channel" Dah

2. Nimepumzika kushuhudia mabega na makwapa ya mke wangu yakionwa na watoto muda wote awapo nyumbani. Jitihada za kumrekebisha ili aendane na desturi yangu, daima huenda sambamba na ugomvi.

3. Nimepumzika kuona sura ya kununanuna pale ninapotoa maelekezo.

4. Udokozi wa vielfu tano tano vyangu katika tigopesa yangu utakoma kwa muda.

5. Nitapumzika kusikia matusi kama 'nyoko we' n.k yanayotolewa kwa watoto kila siku.

6. Nitafurahia vichenji vinavyobaki katika matumizi madogomadogo na kuziweka mezani. Kwa kawaida hivi hutoweka dakika moja tu baaada ya kuviweka, hata kama akiwa amelala basi huamka ghafla na kuvichukua kisha kulala tena.

Mbona nina furaha sana sasa?!!! Atarudi kweli? Arudi ili nije kupata stress tena?

Ndoa..........mh!
Hivyo vyote 1-6 muda si mrefu utaanza kuvimiss na utamuoita kurudi.
 
tabia za wanawake huwa zinafanana fanana kama huwa wameambizana vile...

huyu unaemuelezea namuona kama mke wangu vile.

Political is just liKe a war always, BOOST YOUR CONFIDENE
 
Back
Top Bottom