Hapana. Anayeweza kuiba yai,hata nzagamba ataiba. Mwizi ni mwizi tuUnaacha pesa ndogo achen nyingi kila mara mtu hatodokoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana. Anayeweza kuiba yai,hata nzagamba ataiba. Mwizi ni mwizi tuUnaacha pesa ndogo achen nyingi kila mara mtu hatodokoa
NakaziaKiongozi bora angebaki tu nyumbani na utumie njia nyingine kumrekebisha.
Huko ulikompeleka ndipo alipokulia na akawa hivyo alivyo. Hapo umeenda tu kumuongezea maujuzi na kumkutanisha na vibwana vyake vya kitaa.
Hapo umeongeza tatizo lingine Atarudi papuchi imechakaa
wenzako wanatoa zaidi ya hiyo sasa...pambana tu mkuu...life sio fairHumo piga hesabu ya dada poa wa buku 5 kwa siku. Una baki na chenji sh ngapi? Yaani umpe mwanamke kilo 2? Utakuwa na laana
awwwwwww....Mimi navyofahamu wanaume huwa hatukai nyumbani kuangalia TV.
ukute mume anahis amemkomoa kumbe kajikomoa mwenyewe...na siku akimuona mkewe kanawiriiiSawa. Kimemkuta nini sasa? Si mwizi? 40 yake imefika. Ova
ni wote tu mkuu...tena nyie mmezidi kwa ubovu wa malezihasa kwa wanawake
Ulioa kanyampuzi na kibaka! Pole sana!Umuofia kwenu!!
Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake;
1. Leo kwa mara ya kwanza, katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu, nimefanikiwa kutulia nyumbani saa mbili usiku na kuangalia taarifa ya habari mwanzo mwisho. Kabla, ilikuwa sikai maana nikibadilisha channel tu na kuweka kituo changu pendwa cha Star TV kuangalia taarifa basi manung'uniko yenye kukera huanza kukimbizana kutoka nje ya kinywa chake.
"Tutaacha vp kubadilishiwa channel wakati TV sio yetu na hata bei yake hatuijui..."
"Hata kuzima we zima tu, nini kubalisha channel" Dah
2. Nimepumzika kushuhudia mabega na makwapa ya mke wangu yakionwa na watoto muda wote awapo nyumbani. Jitihada za kumrekebisha ili aendane na desturi yangu, daima huenda sambamba na ugomvi.
3. Nimepumzika kuona sura ya kununanuna pale ninapotoa maelekezo.
4. Udokozi wa vielfu tano tano vyangu katika tigopesa yangu utakoma kwa muda.
5. Nitapumzika kusikia matusi kama 'nyoko we' n.k yanayotolewa kwa watoto kila siku.
6. Nitafurahia vichenji vinavyobaki katika matumizi madogomadogo na kuziweka mezani. Kwa kawaida hivi hutoweka dakika moja tu baaada ya kuviweka, hata kama akiwa amelala basi huamka ghafla na kuvichukua kisha kulala tena.
Mbona nina furaha sana sasa?!!! Atarudi kweli? Arudi ili nije kupata stress tena?
Ndoa..........mh!
What if hiyo nyingi haipo kwa muda huo au kwa muda mrefu?Nyingi tu apate na matumizi yake binafsi sasa wali maharage tu mnadhan mtu anatosha
Kabla ya kufika huko kwenye ndoa tunaanza kwenye mapenzi hukuhuku mkuu.Sawa si mpenzi ukiamua kumuacha hata akichelewa kuja siku ya appointment unamuacha hapa tunazungumzia Ndoa sio wapenzi faza sehemu uliyolipia unatambulika na Serikali na jamii nzima...
Asee huyo kafuga kibaka ndani kwake . Hakuna mke hapoUlifaa uolewe na kaka yangu akunyooshe hiyo tabia yako mpaka akili zikurudi
Kuna siku nimeenda kumtembelea Bro ,usiku nikapata kazi kubwa ya kumvuta na kumzuia asiendelee kushusha kipondo kwa shem ,kosa ilikuwa ni hiyo hiyo tabia ya udokozi halafu anaulizwa analeta uhuni , siku hiyo aliwekewa mtego mhuni kaacha pesa za noti kadhaa kwenye suruali halafu kavunga anaenda bafuni ,akarudi muda mfupi chumbani anakuta pesa hamna mfukoni ,wee kiliumana
Hakuna utakachojua huku wengi wanafunika majani kutojua tabia zao halisi...Kabla ya kufika huko kwenye ndoa tunaanza kwenye mapenzi hukuhuku mkuu.
Ni kweli mkuu.Hakuna utakachojua huku wengi wanafunika majani kutojua tabia zao halisi...
Jamaa amemchoka mwenzake sasa ametafuta sababu ya kutengana nayeUzi ufungwe
Wanaotoa si ndo hayo yanayowakuta?wenzako wanatoa zaidi ya hiyo sasa...pambana tu mkuu...life sio fair
Hivyo vyote 1-6 muda si mrefu utaanza kuvimiss na utamuoita kurudi.Umuofia kwenu!!
Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake;
1. Leo kwa mara ya kwanza, katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu, nimefanikiwa kutulia nyumbani saa mbili usiku na kuangalia taarifa ya habari mwanzo mwisho. Kabla, ilikuwa sikai maana nikibadilisha channel tu na kuweka kituo changu pendwa cha Star TV kuangalia taarifa basi manung'uniko yenye kukera huanza kukimbizana kutoka nje ya kinywa chake.
"Tutaacha vp kubadilishiwa channel wakati TV sio yetu na hata bei yake hatuijui..."
"Hata kuzima we zima tu, nini kubalisha channel" Dah
2. Nimepumzika kushuhudia mabega na makwapa ya mke wangu yakionwa na watoto muda wote awapo nyumbani. Jitihada za kumrekebisha ili aendane na desturi yangu, daima huenda sambamba na ugomvi.
3. Nimepumzika kuona sura ya kununanuna pale ninapotoa maelekezo.
4. Udokozi wa vielfu tano tano vyangu katika tigopesa yangu utakoma kwa muda.
5. Nitapumzika kusikia matusi kama 'nyoko we' n.k yanayotolewa kwa watoto kila siku.
6. Nitafurahia vichenji vinavyobaki katika matumizi madogomadogo na kuziweka mezani. Kwa kawaida hivi hutoweka dakika moja tu baaada ya kuviweka, hata kama akiwa amelala basi huamka ghafla na kuvichukua kisha kulala tena.
Mbona nina furaha sana sasa?!!! Atarudi kweli? Arudi ili nije kupata stress tena?
Ndoa..........mh!
hawayakuti bwana weWanaotoa si ndo hayo yanayowakuta?
Na mimi nimemuonea uwivuNayaonea wivu hayo mapumziko yako.