Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

sina details sn ila nahisi unambana sana waifu wako, kiasi anakosa visenti vya matumizi yake madogomadogo (hadi akuibie). hiyo sio poa, maana mwingine akianza kumpa, ndio itakuwa tamati ya hiyo ndoa.

hayo ya kuangalia tv, ni madogo, huna haja ya kushindana nao, ww una options nyingi. wape space, na hizo ndo sacrifice za ndoa.

hayo mengine ya kurudisha mke kwao ndo nayaskia leo, hivi bado yapo miaka hii? ili kitokee nini? na je akipata sweet baby mwingine huko? utarudi hapa kufungua uzi mwingine au utaendeleza huu?
Cheap excuses. Naamini aloeleza ndugu hapo juu ni mfano tu wa mlolongo wa mambo yanayomnkosesha amani nyumbani kwake. Kama unamjua vizuri mtu mwenye gubu utaelewa. Ndiyo, anaweza tu kuangalia taarifa ya habari chumbani pekeyake, unadhani hiyo ni nzuri? Yaani mwanamke hawezi kusucrifice dakika 15 za tv kwa amani akakaa na mumewe na watoto sebleni kwa amani? Hizo pesa angekuwa hampi unafikiri angekaa? Ni tamaa, mama wanyumbani anakuwa na michezo yapesa upatu kila kona, matokeo ni wizi na umalaya.
 
Inawezekana ni kati ya wale wababa wabinafsi ambao akiwepo nyumbani wengine hawaangalii TV ni yeye tu anajipendelea.
Ubinafsi? Yani kumuwekea mumeo taarifa ya habari angalie kwa dakika 50 ni ubinafsi? Wewe siku nzima unaangalia mpaka marudio ila mumeo kuomba saa moja tu ya kuangalia unaita ubinafsi?

Sasa hapo mbinafsi ni nani? Wewe mwanamke uliyeangalia TV mchana mzima kwa masaa zaidi ya 12 ila bado unavuta domo au mumeo anayeomba kuangalia TV kwa dakika 50 tu
 
Ndugu. Nimetumia neno inawezekana maana wapo wanaume ambao nimewaongelea hapo.
Kwa case ya huyu mwenzetu..kama mkewe anafoka akiangalia hata taarifa ya habari basi mke ana tatizo.
 
Ubinafsi? Yani kumuwekea mumeo taarifa ya habari angalie kwa dakika 50 ni ubinafsi? Wewe siku nzima unaangalia mpaka marudio ila mumeo kuomba saa moja tu ya kuangalia unaita ubinafsi?

Sasa hapo mbinafsi ni nani? Wewe mwanamke uliyeangalia TV mchana mzima kwa masaa zaidi ya 12 ila bado unavuta domo au mumeo anayeomba kuangalia TV kwa dakika 50 tu
huyu anamtetea mwenye tabia kama zake mkuu.
 
Back
Top Bottom