Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

Wanawake wana mambo sana, kuna siku kwenye daladala mama mmoja akapiga simu alikuwa anaongea na house girl nadhani, akamuuliza baba kakupata sh ngapi ya matumizi....akaendelea basi sawa tumia elfu saba tu hyo elfu tatu weka pale tunapowekaga. Nilichoka na kuchoka mke anashirikiana na house girl kula ganchi kwa mumewe.
Mke wa aina hii ni majanga na siku akipata bwana pembeni wanaweza shirikiana hata kukuua warithi nyumba!
 
Kwani hapa tunajadili mada au tunaambiana kwamba ndo huwa tunafanya. Kwanini uchukulie personal kwangu?
kwa sababu unatumia nguvu kubwa kumtetea huyo mwanamke aliyekuwa anashirikiana na hg kula ganchi kwa mumewe, kama ulisoma comment yangu ya kwanza na kuilewa, concern yangu kwa hyo mama wa kwenye daladala sio kula ganchi au kubana hela, kilichonichosha ni yeye kushirikiana na hg kula ganchi ya hela ya matumizi.
WEKA PALE TUNAPOWEKAGA.
 
Kwamba ulitaka kila unalosema kila mtu asapoti na kukubaliana na wewe? Inawezekana vipi?

Sijatumia nguvu yoyote bali najaribu kuwaza scenario nyingine. Kama nilikosea kutoa mawazo yangu basi am sorry naishina hapa.
 
ubahili ndiyo unaomsumbua huyu. Hiyo tigopesa anapata vipi fedha kama hakumpa password mwenyewe?

Hayo ya watoto kutoa matusi alitakiwa na yeye awe na msimamo asiruhusu hivyo vitu.
Mke anapewa password ili achukue pesa pale mume anapokuwa hawezi kufanya miamala. Aidha mume akiwa taabani kitandani hajiwezi. Na sio kuchukua pesa kiholela kwa kuiba iba bila kuomba
 
Umuofia kwenu!!

Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake;........

1. Leo kwa mara ya kwanza, katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu, nimefanikiwa kutulia nyumbani saa mbili usiku na kuangalia taarifa ya habari mwanzo mwisho. Kabla, ilikuwa sikai maana nikibadilisha channel tu na kuweka kituo changu pendwa cha StarTv kuangalia taarifa basi manung'uniko yenye kukera huanza kukimbizana kutoka nje ya kinywa chake.......
"Tutaacha vp kubadilishiwa channel wakati TV sio yetu na hata bei yake hatuijui..."
"Hata kuzima we zima tu, nini kubalisha channel" Dah

2. Nimepumzika kushuhudia mabegi na makwapa ya mke wangu yakionwa na watoto muda wote awapo nyumbani. Jitihada za kumrekebisha ili aendane na desturi yangu, daima huenda sambamba na ugomvi....

3. Nimepumzika kuona sura ya kununanuna pale ninapotoa maelekezo....

4. Udokozi wa vielfu tano tano vyangu katika tigopesa yangu utakoma kwa muda....

5. Nitapumzika kusikia matusi kama 'nyoko we' n.k yanayotolewa kwa watoto kila siku....

6. Nitafurahia vichenji vinavyobaki katika matumizi madogomadogo na kuziweka mezani. Kwa kawaida hivi hutoweka dakika moja tu baaada ya kuviweka.....hata kama akiwa amelala basi huamka ghafla na kuvichukua kisha kulala tena.

Mbona nina furaha sana sasa?!!! Atarudi kweli?!!!!! Arudi ili nije kupata stress tena?!!!!!!!

Ndoa..........mh!
Hao ni kina Mwajuma Ndaka Ndefu, mwanamke anaye tukana matusi machafu kwa watoto mala nyingi hua ni wale wa uswazi
 
Bado mna utoto.Mmeoana mwaka mmoja tu ndiyo unaweweseka?Mkwe bado haujakua.
Hivi ukikua kumbe mwenza kukosa uaminifu inakuwa poa tu? Mwebza matusi, gubu kukununia na kufanya ujose amani nyumbani ni poa tuu. Ninyi ndiyo wazee mnaotoka kazini mnapitiliza bar, kurudi nyumbani saa6 mkali kama mbogo watoto wanatetemeka vitandani. Ok, nyie ndiyo wazee wakomavu na ni mfuano wa kuigwa[emoji3061]
 
Kwamba ulitaka kila unalosema kila mtu asapoti na kukubaliana na wewe? Inawezekana vipi?

Sijatumia nguvu yoyote bali najaribu kuwaza scenario nyingine. Kama nilikosea kutoa mawazo yangu basi am sorry naishina hapa.
kuna vtu vingine unatakiwa kutumia common sense tu, kuna mambo ambayo hata kama unafanya kwa mumeo hutakiwi kumshirikisha mtoto au hg, hukipingana na hilo tunahisi na wewe ni mmoja wao, period
 
Basi atulie asilalamike. Nimemfungua tu mawazo inawezekana uwezo wa kununua Tv mbili anao lkn hakuwahi kufikiria hilo.

Inawezekana ni kati ya wale wababa wabinafsi ambao akiwepo nyumbani wengine hawaangalii TV ni yeye tu anajipendelea.

ni sawa mke ana mdomo lakini ukute anaongea kitu cha kweli.
Anaweza kuweka Tv mbili na bado akaja kufanyiwa vitimbi huko chumbani.

Kuna baadhi ya wanawake wanapenda tu vayolensi bila sababu ya msingi.
 
Hivi ukikua kumbe mwenza kukosa uaminifu inakuwa poa tu? Mwebza matusi, gubu kukununia na kufanya ujose amani nyumbani ni poa tuu. Ninyi ndiyo wazee mnaotoka kazini mnapitiliza bar, kurudi nyumbani saa6 mkali kama mbogo watoto wanatetemeka vitandani. Ok, nyie ndiyo wazee wakomavu na ni mfuano wa kuigwa[emoji3061]
Kukua si umri.Ni kuenenda na mazingira bila kelele na watu kuhisi paradiso ipo kwenye himaya yao.Pia ni kukubali kuumia wakati dunia inajizungusha bila grisi kwenye muhimili wake.Yaani "you don't bother much"!
 
Back
Top Bottom