- Thread starter
- #281
Unakusanya dots mkuu 😂😂😂😂Udokozi wa vielfu tano tano vyangu katika tigopesa yangu utakoma kwa muda....[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakusanya dots mkuu 😂😂😂😂Udokozi wa vielfu tano tano vyangu katika tigopesa yangu utakoma kwa muda....[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Sent using Jamii Forums mobile app
😳😳😳 mkuu unanitishaWewe umeoa gube gube. Huyo hata umuweke kwao miaka 10 hatoacha tabia yake.
Usitarajie mabadiliko yeyote toka kwao maana huko ndio chimbuko la tabia zake mbovu. Cha zaidi tarajia kuongezeka kwa tabia mbaya akirudi maana sasa yupo mafunzoni.
Oh, sasa nifanyaje mkuu?!!Kama ana tabia ya kukwapua vijichenji vyako sidhani kama atakuja kuacha, hiyo ndio tabia yake inaonekana halafu anaonekana ni mtu ambae hana malezi bora kabisa, itachukua miaka mingi sana mpaka aje abadilike.
Aisee!!!!Wanawake wana mambo sana, kuna siku kwenye daladala mama mmoja akapiga simu alikuwa anaongea na house girl nadhani, akamuuliza baba kakupata sh ngapi ya matumizi....akaendelea basi sawa tumia elfu saba tu hyo elfu tatu weka pale tunapowekaga. Nilichoka na kuchoka mke anashirikiana na house girl kula ganchi kwa mumewe.
Unamaanisha nini hapa?!! HahahahahaaaaNayaonea wivu hayo mapumziko yako.
hivi kweli watoto watatoa matusi kama utakuwa mkali wa kutosha? Au ndiyo akina nyinyi munaogopa watoto?Unaongea kama vile jambo rahisi rahisi tu kambadili tabia mtu mzima.
Hapo hata aweke msimamo vipi hayo matusi ni tabia ipo kwenye ubongo na damu.
AmiIdisha msimamo wata achana tu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umuofia kwenu!!
Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake;
1. Leo kwa mara ya kwanza, katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu, nimefanikiwa kutulia nyumbani saa mbili usiku na kuangalia taarifa ya habari mwanzo mwisho. Kabla, ilikuwa sikai maana nikibadilisha channel tu na kuweka kituo changu pendwa cha Star TV kuangalia taarifa basi manung'uniko yenye kukera huanza kukimbizana kutoka nje ya kinywa chake.
"Tutaacha vp kubadilishiwa channel wakati TV sio yetu na hata bei yake hatuijui..."
"Hata kuzima we zima tu, nini kubalisha channel" Dah
2. Nimepumzika kushuhudia mabegi na makwapa ya mke wangu yakionwa na watoto muda wote awapo nyumbani. Jitihada za kumrekebisha ili aendane na desturi yangu, daima huenda sambamba na ugomvi.
3. Nimepumzika kuona sura ya kununanuna pale ninapotoa maelekezo.
4. Udokozi wa vielfu tano tano vyangu katika tigopesa yangu utakoma kwa muda.
5. Nitapumzika kusikia matusi kama 'nyoko we' n.k yanayotolewa kwa watoto kila siku.
6. Nitafurahia vichenji vinavyobaki katika matumizi madogomadogo na kuziweka mezani. Kwa kawaida hivi hutoweka dakika moja tu baaada ya kuviweka, hata kama akiwa amelala basi huamka ghafla na kuvichukua kisha kulala tena.
Mbona nina furaha sana sasa?!!! Atarudi kweli? Arudi ili nije kupata stress tena?
Ndoa..........mh!
Itasaidia kuacha tabia?!!!Acha pesa kidogo kwenye suluari Kama elfu 20 hivi.
Jifanye huna habari nazo kabisa.
Usiwe siriaz stori zako ziwe za furaha furaha tu.
Hapo utapata habari za nguo kufuliwa vizuri na kupigwa pasi iliyonyooka sana.
Acha kabisa, lakini kubwa zaidi ni tamaa nafikiriMkuu hiyo yote ni umasikini wa kipato kwa wanawake wake wetu, chanzo chake kutoka kwenye familia yao huko, Yani ata mumewe awe na uchumi wa kati bado mke angemuibia tu.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Una hoja mkuu, si unajua tena umri ukienda na mashinikizo pia huongezeka.....unajipa imani kuwa mambo yataenda sawa tu mkiwa ndaniKipindi cha uchumba ulidharau baadhi ya vijitabia vyake, Madhara ndo hayo
Una hoja mkuu, si unajua tena umri ukienda na mashinikizo pia huongezeka.....unajipa imani kuwa mambo yataenda sawa tu mkiwa ndani.Kipindi cha uchumba ulidharau baadhi ya vijitabia vyake, Madhara ndo hayo
Katika vitu nimejiandaa kuingia navyo kwenye mahusiano ni kumiliki uchumi wangu binafsi wa kifedha.Lamomy umefikiwa
Si utoto na wala si mwaka mmoja, hicho kipindi ni tangu pale nilipoamua kuzikabili changamoto kwa kukaa mbali. Ndo maana nikasema nina mwaka na nusu sijaangalia TV kwa ukamilifu.Bado mna utoto.Mmeoana mwaka mmoja tu ndiyo unaweweseka?Mkwe bado haujakua.
Aende zake kabisa😃Katika vitu nimejiandaa kuingia navyo kwenye mahusiano ni kumiliki uchumi wangu binafsi wa kifedha.
Nitazinguana na mwenzi wangu kwa issue nyingine sio za kifedha, Inshort mwenyewe najimudu. Hizo zake ni km za ziada.
Mwanamke anayesachi pesa kwenye suruali ya mumewe namshauri atoke maghetoni.