Baada ya kumsikiliza John Heche nimegundua ndo anafaa kuwa Rais wa Tanzania jamaa ana akili sana.

John Heche ni hazina kubwa Sana na yupo mbele Sana ya Muda. Huyu ndo anafaa kuwa Rais.

Mimi sina chama
Ila Heche ni kichwa sana
Pia hana papara na mihemko .
Anajua kujenga hoja, pia kwa speech zake anaonekana ni mtu mwenye mapenzi mema na hii nchi .
I wish siku moja ashike nafasi kubwa za kiuongozi nchini.
 
Pesa inayotumika sasa kuipakata kuilea kuilisha kuihudumia Chauma ubwabwa cha chawa cha ibirisi wa ccm ni pesa nyingi sana ni wizi wa pesa za walipa kodi na laiti hiyo pesa ingekuwa ikitumika kuleta maendeleo kujenga hospital vyou mashule barabara huduma za maji kila kata mda huu ccm ingekuwa inajiuza na kupendwa na jamii, lakini cha ajabu chawaccm Amos makala mbowe na wenzao humchochea mama mkoloni kaburu wa Zanzibar afanye mambo ya hovyo, kuwabambikia kesiza uongo kuwateka kuwaua wapinzani, wakiona watanzania wanapiga kelele wanaenda kwa mama mkoloni kuomba mabilioni kwa kisingizio cha kutuliza joto la kisiasa, Ni wizi mpya wa pesa za umma kwa kivuli cha Uonevu kwa Lisu , Muungano ufe Tanganyika idai uhuru wake
 
John Heche ni hazina kubwa Sana na yupo mbele Sana ya Muda. Huyu ndo anafaa kuwa Rais.

Alafu wakina Lucas mwangomola Dr wa Manesi johnthebaptist gallow bird vitu vidogo kama hivi kuvielewa bado hawavielewi wameamuwa kuendekeza unazi wa kiboya tu. Na ndio maana tunataka Reforms ili hawa Chadema wakipata ridhaa ya kuongoza hii nchi walete mikakati ya maendeleo maana hata jinsi vile uongozi wao wa Chama upo kwenye muundo wa Kikanda na hii naona iko vizuri sana kwa mustakabali wa kiuendeshaji na ita fasten maendeleo kwa kila Kanda na ni naamini itasaidia kuwa na uaharaka wa maendeleo maana kila Kanda ina resources zake na hizo resources zikitumika kwa ajili ya kuendeleza maendeleo ya Watu wa Kanda husika hatutaona Wauza Kahawa na Kashata kutoka Kigoma wanajazana Jijini. Au Mahausigeli kutoka Iringa huko wanakuja kufanya kazi za ndani watabaki huko huko watakuwa hata vibarua kwenye mashamba ya Chai au Nyanya.
 
Kwa sasa mahouse girls wengi ni Warombo sijui Kwanini

Kwako Benjamin Netanyahu 😂
 
Back
Top Bottom