Umemuelewa Heche lakini?
Kuna vichwa sana Mkuu, alivyopotea Ben Saanane aliyekuwa PA wa Freeman Mbowe. Akaibuka Martin Malanja Masese naye ni kichwa kweliSi Heche na Lissu tu , CDM imesheheni vijana vichwa, makini na wazalendo wa kweli.
CDM si CCM iliyojaza vijana michawa kibao...mamaaa mamaaa ili ipenye kura za maoni..afu isaidiwe na tume ya uchaguzi kuiba kura.
Hujitambui wewe Uholanzi ni Matunda na Mbogamboga na mnaenda kutembeza bakuli kule, Yaani hii Nchi ina wajinga wengi sana mmojawapo ni wewenhahahahah.....yaani maziwa tu tumpe nchi doh
Mungu atamwezesha.Mimi sina chama
Ila Heche ni kichwa sana
Pia hana papara na mihemko .
Anajua kujenga hoja, pia kwa speech zake anaonekana ni mtu mwenye mapenzi mema na hii nchi .
I wish siku moja ashike nafasi kubwa za kiuongozi nchini.
nhahahaah, nakubali mwerewa wa maziwa na matundaHujitambui wewe Uholanzi ni Matunda na Mbogamboga na mnaenda kutembeza bakuli kule, Yaani hii Nchi ina wajinga wengi sana mmojawapo ni wewe
mwafirika na mambo ya ofisini ni vitu viwili tofauti, sisi zetu ngoma na mbususuHujitambui wewe Uholanzi ni Matunda na Mbogamboga na mnaenda kutembeza bakuli kule, Yaani hii Nchi ina wajinga wengi sana mmojawapo ni wewe