Baada ya kumsikiliza Profesa Mukandala, nakubaliana na CHADEMA kwamba wadai Katiba Mpya "kivyao"

Hapa vyama viwili tu vinaweza kupanga mipango ya kuisukuma serikali kuridhia takwa la Katiba mpya. navyo ni TLP na NCCR- Mageuzi.
 
Wewe ulishangaa nini 17/3?

Ukoo wenu wote mko hai? Yaani nyie hamfagi huko kwenu?
Nyie si ndio mlimuita hadi Mh mungu , mara yesu au sio nyie?

Mkasema atakuwepo kwenye urais hadi achoke atake asitake?😂😂
 
Wenye nchi hawawezi kubali uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ufanyike BILA katiba mpya!!!

lazima atapatikana wa kuleta katiba mpya tusubiri Tuone!!
 
Leo "dawa" inafanya kazi yake vizuri! Hongera!
 
Nchi ngumu sana.

Watu washapata ajira bwashee.

Tena wazee watupu vijana akina Nondo wanapambana na Putin wasiyemjua mitandaoni!
Daaah,,tena wanajifanya wanajua kila kitu,,hata corona walikuwa wanaijua kuliko Madaktari...

Pumbavu kabsaaa
 
Wameulizwa na mh Rais Samia, nchi jirani zina Tume Huru ya uchaguzi je hazina migogoro?

Wakabaki wanacheka cheka tu kwa aibu.
Duh!

Kwa hiyo hii ndiyo iwe sababu ya sisi kutokuwa na "Tume Huru"?

Lakini pengine sijakuelewa wewe, maana ya kuweka haya maneno hapa. Una maana rais haoni sababu ya kuwepo kwa Tume Huru, kwa vile haiondoi migogoro?

Sasa rais anataka iweje: tuendelee tu na tume hiyo hiyo iliyopo sasa, kwa vile haijasababisha uwepo wa migogoro hapa? Hivyo ndivyo anavyoamini rais?
 
Wananchi ndio wenye katiba. Viongozi wa siasa wana amsha amsha ari tu.

Mkandala amekwama tena🤣🤣
 
Zito amefikia malengo yake binafsi, na Rais amemhakikishia kuwa kwa miaka 9 atakuwa analipwa posho kama mjumbe wa kamati mchongo ya katiba.

Zito lengo lake kuu ni kuwepo kwenye payroll ya Serikali, na amekwishafanikiwa.
Kweli Zitto amefilisika.
 
Anawatendea WaTz dhambi kubwa sana
Uchu wa madaraka ubunge unamfanya anakosa utu

Kesho Yetu Ni Fumbo
Kwakweli huwezi amini kwamba haya yanafanywa na Zitto kwambwe.

Yeye anadhani anawakomoa Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…