Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa vyama viwili tu vinaweza kupanga mipango ya kuisukuma serikali kuridhia takwa la Katiba mpya. navyo ni TLP na NCCR- Mageuzi.Kile kikosi kazi cha demokrasia ni tofauti kabisa na ile Tume ya Warioba ya akina Polepole.
Zitto Kabwe na Mkandala hawawezi kushughulikia katiba mpya bali watakuwa wanapiga danadana na vikao vyao huku wakilipwa posho na Serikali.
Wanawafanyia watanzania dhambi kubwa sana.
CHADEMA endeleeni na harakati za kuidai katiba mpya kivyenu wananchi watawaelewa tu.
After all wananchi ndio wenye katiba.
Pia soma > Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya vyama vingi vya siasa
Maendeleo hayana vyama!
Nyie si ndio mlimuita hadi Mh mungu , mara yesu au sio nyie?Wewe ulishangaa nini 17/3?
Ukoo wenu wote mko hai? Yaani nyie hamfagi huko kwenu?
Wenye nchi hawawezi kubali uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ufanyike BILA katiba mpya!!!Hicho ndicho kilichosahihi kukifanya,na kwa bahati mbaya hiyo ndiyo furaha ya CCM kutugawa na kutawaliwe.
Yote haya tunayoyaona ni premeditated, vyama vyote visivyo na mvuto wala kukubalika na Watanzania wenye akili wamewekwa kapu moja huku CCM wanapiga muziki beat soft wao Kazi yao kuimba na kucheza huku CCM wakila vinono.
Jambo hili ni kinyume na ubinadamu.
Upatikanaji Wa Katiba mpya upo mikononi mwa CHADEMA wakiungwa mkono na wananchi wazalendo huku wakipingwa na CCM na Mamluki wao.
Unafikiri nani mshindi?
Yaani kweli tusubiri tena uporaji kama ule Wa 2019&2020 ufanyike ndiyo tuandike Katiba mpya?
Seriously? Hapana,sitaki kuamini kama kuna Watanzania wataunga mkono pendekezo hilo.
Wakitaka tupige kura ya mlolongo tuone muitikio Wa wananchi.
Ushauri:Kwa kuwa uchaguzi Wa 2024/2025 umeshaibwa na CCM itapita bila kupingwa na wengine wamekubali kujisalimisha;
Tusiandae uchaguzi Wa SM na Uchaguzi Mkuu na badala yake tuwaache waendelea kutawala Ila waruhusu sisi wananchi kuendelea kuandika Katiba ili ikikamilika ndiyo tufanye chaguzi.
Vinginevyo hata tukisema uchaguzi ufanyike kwa Katiba hii mbovu matokeo yatawaleta CCM kutawala huku tukipata hasara ya fedha na muda Wa wananchi.
Sijasahau Mh Kikwete alipoahirisha mchakato Wa Katiba kupisha chaguzi za 2014&2015 alisema,"Twendeni kwenye uchaguzi na baada ya hapo mrithi wake aendeleze mchakato "Je,mrithi alipopatikana alisemaje?
CCM watawale nasi wananchi tuandike Katiba yetu mpya na Mara ikikamilika tunaanua Matanga rasmi.
Leo "dawa" inafanya kazi yake vizuri! Hongera!Kile kikosi kazi cha demokrasia ni tofauti kabisa na ile Tume ya Warioba ya akina Polepole.
Zitto Kabwe na Mkandala hawawezi kushughulikia katiba mpya bali watakuwa wanapiga danadana na vikao vyao huku wakilipwa posho na Serikali.
Wanawafanyia watanzania dhambi kubwa sana.
CHADEMA endeleeni na harakati za kuidai katiba mpya kivyenu wananchi watawaelewa tu.
After all wananchi ndio wenye katiba.
Pia soma > Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya vyama vingi vya siasa
Maendeleo hayana vyama!
Kwani CHADEMA wamesema "watawapatia" waTanzania katiba mpya? Wataitoa wapi?Ninaamini hata Chadema hawawezi kutupatia katiba tunayoihitaji.
Kama tunafikiri kuna chama cha siasa kitatupatia katiba tunayoihitaji tunajidanganya..
Dah et Putin wasiemjua😀😂Nchi ngumu sana.
Watu washapata ajira bwashee.
Tena wazee watupu vijana akina Nondo wanapambana na Putin wasiyemjua mitandaoni!
Daaah,,tena wanajifanya wanajua kila kitu,,hata corona walikuwa wanaijua kuliko Madaktari...Nchi ngumu sana.
Watu washapata ajira bwashee.
Tena wazee watupu vijana akina Nondo wanapambana na Putin wasiyemjua mitandaoni!
Duh!Wameulizwa na mh Rais Samia, nchi jirani zina Tume Huru ya uchaguzi je hazina migogoro?
Wakabaki wanacheka cheka tu kwa aibu.
Ha ha ha haNchi ngumu sana.
Watu washapata ajira bwashee.
Tena wazee watupu vijana akina Nondo wanapambana na Putin wasiyemjua mitandaoni!
ThubutuuKwani zitto sio member humu?
Aje apokee mawe wanayompopoa huku
Wananchi ndio wenye katiba. Viongozi wa siasa wana amsha amsha ari tu.Kile kikosi kazi cha demokrasia ni tofauti kabisa na ile Tume ya Warioba ya akina Polepole.
Zitto Kabwe na Mkandala hawawezi kushughulikia katiba mpya bali watakuwa wanapiga danadana na vikao vyao huku wakilipwa posho na Serikali.
Wanawafanyia watanzania dhambi kubwa sana.
CHADEMA endeleeni na harakati za kuidai katiba mpya kivyenu wananchi watawaelewa tu.
After all wananchi ndio wenye katiba.
Pia soma > Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya vyama vingi vya siasa
Maendeleo hayana vyama!
Kweli Zitto amefilisika.Zito amefikia malengo yake binafsi, na Rais amemhakikishia kuwa kwa miaka 9 atakuwa analipwa posho kama mjumbe wa kamati mchongo ya katiba.
Zito lengo lake kuu ni kuwepo kwenye payroll ya Serikali, na amekwishafanikiwa.
Kwakweli huwezi amini kwamba haya yanafanywa na Zitto kwambwe.Anawatendea WaTz dhambi kubwa sana
Uchu wa madaraka ubunge unamfanya anakosa utu
Kesho Yetu Ni Fumbo
Tutaendelea kuwa elimishaJambo baya zaidi ni wananchi kudhani/kuhisi/ kufikiri kuwa suala la Katiba mpya ni la CHADEMA.....
Elimu Elimu Elimu