Umewaelewa wanawake vizuri,Mimi nimefikiri kama weweAnalia maana hakujiandaa na pa kwenda kuishi bila kuweweseka, Siku akijihakikishia hilo atakupiga tukio kiasi kwamba utakuja hapa kutuandikia uzi mwingine ukiwa umelewa.
๐ Una majaribu mkuuSawa ntakuja badae acha tu mlango wazi.
Ukishafikia hatua hio ya kuwaelewa kiasi hicho basi jua umekaribia kufaUmewaelewa wanawake vizuri,Mimi nimefikiri kama wewe
fanya hivyo hivyo msamaha na huruma inapokutuma na Mungu atakubariki sana ๐Wakuu naanza kumuonea huruma huyu mke wangu baada ya kumpiga chini sasa amenza kulia na kusaga meno yaani napata na huruma aisee na mimi naanza kulia na kusaga meno nakumbuka zile moment lakini moment nyingi zilikuwa za mimi kupigwa,kuchambwa na kutukanwa aiseee lakini sio kesi
Wakuu nifanyeje?
Sio Sawa kabisa ndio maana Mimi nimeoa Skanka sisikii vichambo kabisa wala kupigwa sijawahi,Mwanamke unaanzaje kumpiga mumeo?
Hata kama umemkinai,kumchamba baba wa watoto wako?
Njoo kwangu unachotaka nitakupaSawa ntakuja badae acha tu mlango wazi.
Simba Dume au Jike? Au Simba hii Kolowizard?Mwanaume yakupasa uwe na roho ya simba
Never trust women, anaweza akauliza mpka katoa machozi lakini akawa bado anaigizaWakuu naanza kumuonea huruma huyu mke wangu baada ya kumpiga chini sasa amenza kulia na kusaga meno yaani napata na huruma aisee na mimi naanza kulia na kusaga meno nakumbuka zile moment lakini moment nyingi zilikuwa za mimi kupigwa,kuchambwa na kutukanwa aiseee lakini sio kesi
Wakuu nifanyeje?
Sawa ntakuja nipateNjoo kwangu unachotaka nitakupa
Angwisa
๐๐๐ Nakwambia acha tu๐ Una majaribu mkuu
Eeeeh nataka macho yatoke yamekwiva haswaYaan ukilia nakuingiza ndani nikakulize zaidi
Angwisa
Eeeeh yani kilio chenyewe achana na hiki hiiihiiiihiiiPale uliposema unataka kulia zaidi ndio nimepaelewa
Hapo unajua sanaYaan mtwangio ugonge kwenye kinu sauti isikike kwa kishindo mpaka majirani wajue huko leo huyo mtwangaji anatwanga ๐
Alafu inapalia vibaya eeeh wacha๐๐๐ Nimecheka sana hadi nmepaliwa na Skanka
๐๐๐๐๐ mapaaaaaaaaaaaaaaziiiiaaaaa๐๐Mtajuana wenyewe huko. Poleeni sana.
mtu wa maana kabisa weweMwanaume anaelialia ovyo nikilia mhhh huyo hapana ban.
Mie nataka nikilia nibebwe juu juu nikachapwe Zaid nilie Zaid.
Mrudie mkeo anzeni upya