Baada ya kumuacha mke wangu amelia sana, naanza kumuonea huruma, nifanyeje?


Fala wewe,

Mchukue tena ndo utajua hujui. Hakuna mwanamke fala., Akirudi anakuja kukumalizia kabisa na upopoma wako.
 

Mwanaume mwenyewe hadi na period unapata, aaah upigwe tu kudadeki zako......
 

Kwa hiyo mpumbavu wewe ulimuacha bila sababu ya msingi?
 
Kama amekiri kujirekebisha mrudie, kama mna Watoto itapendeza zaidi mkilea wote kwa pamoja.
 
Songa mbele mjuba,
huruma huleta dhambi wakati mwingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…