Mwambie ilikuwa ni hasira tu ndio maana nikajibu vile, samahani mpenzi kama nilikukwaza ila haikuwa maana yangu kufanya hivyo, mimi huwa unaniridhisha sana ila nina wivu sihitaji mali yangu iliwe na mwingine.
Aah mengine utaongezea mwenyewe hapo kujazia nyama nyama za ulaghai hadi akuelewe, mapenzi ni ulaghai tu kitandani na sisi wanaume kinacho tufanya tunaswe na malaya huko mitaani ni ulaghai wao kitandani, mtu unamgusa tu shingo anatoa kimguno cha kimahaba na kulegeza jicho kama anataka kukata roho na hicho ndicho sisi tunataka yaani uonekane kidume mbele ya mkeo ila ukionekana kama kero basi hata ham haiwezi kuja tena.
Tatizo mabebe zetu unamla huku unapokea masimango kibao mara utasikia "eeh humalizi tu nawewe mi nimechoka, au fanya haraka bhana umalize tulale, mwingine una mla huku anakusimulia story za madeni yake", yaani full stress hadi mzuka unakata.