Iko hivi mr alikua mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Nikitu kimekua cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya muda anaendelea tena
Kuna siku nikakuta anachati na mdada tunafahamiana kabisa tena sms za mapenz wakati huo mimi ndani tunamaliza hata mwezi bila kusex iliniuma sana nikajikuta namtakia neno hili.
Nanukuu
Kwann unaniabisha hivi tangu umenioa haujawahi kuniridhisha unafanya dakika 1 umemaliza mimi ni mkeo nakupenda nimekubali udhaifu wako.
Huyo wa nje unafikiri atakufichia hii aibu? Au ndio atakutangaza tuaibike mtaani? Baada ya kumwambia hivyo alisitisha tendo nadhani mpaka sasa miez 4 bila bila anadai baada ya kumwambia hivyo hisia na mimi zilikata haoni kama tunaweza fanya chochote.
Je nifanyeje? Mi hasira zilinipanda mtu ndan sex unapimiwa halafu kutwa ni kuchat na wanawake tu.