Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Tafuta mume wa mtu ambaye ni mstaarabu, akuweke bize
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Astaghafirulilah laadhim...
Basi nami naenda mlimani kukuombea.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kweli uliniponza Aiseeee...sirudiii
Hii naikubali kabisa. Kuna sehemu huwa napiga kazi mpaka najishangaa imekuwaje. Pia kuna baadhi naharibu kabisa dakika tu nimemaliza.Kama ulivyomvunja confidence yake basi jaribu kuijenga tena. Anzia mbali kwa msg za mahaba akiwa kazini, kumwambia jinsi gani umemmiss hiyo miezi minne. Epuka lawama na kukumbushia madhaifu yake, taratibu atakuomba utamu.
Asilimia kubwa wanaoamini wana upungufu wa nguvu za kiume kiuhalisia ni kukosa kujiamini tu. Hata wanaume wengi tukijichunguza kuna sehemu tunapiga show mpaka wenyewe tunajishangaa na kwingine ukienda unaweza nyonywa hadi ubongo na ngoma isiinuke. Hii yote huchangiwa na maandalizi ya kisaikoloji baina ya wenza na mapokezi kabla ya tendo.
Unakuta li mwanamke toka upo kazini anafufuliza msg za malalamiko tu. Ukirudi nyumbani limekaa mbele ya tv hata habari na wewe hana, kazi kujipiga piga kichwani sababu ya weaving chafu. Mkiingia chumbani ukaomba mzigo unasusiwa mwenyewe hata habari hana, halafu unatarajia mtu achiukue zaidi ya dakika 1.
Imagine...Atafute wa kusuuza roho yake huko aachane na huyo kisirani. M'ume wake angekuwa na busara hayo maneno yangemtouch baada ya hasira zao kupungua m'ume angekaa na mkewe wazungumzie jambo hilo jinsi ya kulitatua lakn cha ajabu m'ume kazira anajifanya kamind km demu huko hujengi ndoa bali unaisambaratisha..
Sawa Babu....Basi nami naenda mlimani kukuombea.
Usisahau kuleta sadaka yako ghalani....
Usisahau sadaka iambatane na yale maji ya kumwagilia moyo....Sawa Babu....
Nitakusaidia kufunga kabisa huku....
Sadaka umepata..Naleta na shukrani ya pekee[emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usisahau sadaka iambatane na yale maji ya kumwagilia moyo....
Umeharibu pakubwa sana na hii inaonyesha kuwa Hukufundwa vyema na akina Bibi au Shangazi.Iko hivi mr alikua mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Nikitu kimekua cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya muda anaendelea tena
Kuna siku nikakuta anachati na mdada tunafahamiana kabisa tena sms za mapenz wakati huo mimi ndani tunamaliza hata mwezi bila kusex iliniuma sana nikajikuta namtakia neno hili.
Nanukuu
Kwann unaniabisha hivi tangu umenioa haujawahi kuniridhisha unafanya dakika 1 umemaliza mimi ni mkeo nakupenda nimekubali udhaifu wako.
Huyo wa nje unafikiri atakufichia hii aibu? Au ndio atakutangaza tuaibike mtaani? Baada ya kumwambia hivyo alisitisha tendo nadhani mpaka sasa miez 4 bila bila anadai baada ya kumwambia hivyo hisia na mimi zilikata haoni kama tunaweza fanya chochote.
Je nifanyeje? Mi hasira zilinipanda mtu ndan sex unapimiwa halafu kutwa ni kuchat na wanawake tu.
Kama ulivyomvunja confidence yake basi jaribu kuijenga tena. Anzia mbali kwa msg za mahaba akiwa kazini, kumwambia jinsi gani umemmiss hiyo miezi minne. Epuka lawama na kukumbushia madhaifu yake, taratibu atakuomba utamu.
Asilimia kubwa wanaoamini wana upungufu wa nguvu za kiume kiuhalisia ni kukosa kujiamini tu. Hata wanaume wengi tukijichunguza kuna sehemu tunapiga show mpaka wenyewe tunajishangaa na kwingine ukienda unaweza nyonywa hadi ubongo na ngoma isiinuke. Hii yote huchangiwa na maandalizi ya kisaikoloji baina ya wenza na mapokezi kabla ya tendo.
Unakuta li mwanamke toka upo kazini anafufuliza msg za malalamiko tu. Ukirudi nyumbani limekaa mbele ya tv hata habari na wewe hana, kazi kujipiga piga kichwani sababu ya weaving chafu. Mkiingia chumbani ukaomba mzigo unasusiwa mwenyewe hata habari hana, halafu unatarajia mtu achiukue zaidi ya dakika 1.
Kula ulicho kipika.Iko hivi mr alikua mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Nikitu kimekua cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya muda anaendelea tena
Kuna siku nikakuta anachati na mdada tunafahamiana kabisa tena sms za mapenz wakati huo mimi ndani tunamaliza hata mwezi bila kusex iliniuma sana nikajikuta namtakia neno hili.
Nanukuu
Kwann unaniabisha hivi tangu umenioa haujawahi kuniridhisha unafanya dakika 1 umemaliza mimi ni mkeo nakupenda nimekubali udhaifu wako.
Huyo wa nje unafikiri atakufichia hii aibu? Au ndio atakutangaza tuaibike mtaani? Baada ya kumwambia hivyo alisitisha tendo nadhani mpaka sasa miez 4 bila bila anadai baada ya kumwambia hivyo hisia na mimi zilikata haoni kama tunaweza fanya chochote.
Je nifanyeje? Mi hasira zilinipanda mtu ndan sex unapimiwa halafu kutwa ni kuchat na wanawake tu.
Nadhan haujanielewa nimeandika kwa madai yake anachati nao tu
Na ukome tena[emoji23]Nikuulize!!!
Unaweza vipi kusema huyo Mume wako anachart na Wanawake lakini hafanyi nao Mapenzi?
Nikushauri tu..Punguza kumwamini mtu sana...Ikiwezekana hata kivuli chako usikiamini kiasi hicho.
Huyo Mumeo ana mambo yake pengine huyajui,au unayajua kwa vile unampenda...Unavumilia...
Ulivyomuuliza huo ujinga wake ni kama umempa kisingizio na sababu ya yeye kujihalalisha na huo ujinga wake...
Mwisho ila siyo mwisho kabisa:Nikupe pole Mwanamke mwenzangu..Mimi sinaga ushauri kwa Wapendanao...lilishaga nipata jambo...Nilikoma.
Kisa nimekwambia ukweli? Au kisa nn??Mimi ningekufukuza kabisa.