Baada ya kumwambia mume wangu haniridhishi, kasitisha kufanya tendo la ndoa na mimi kabisa

MWANAMKE MPUMBAVU HUIVUNJA NDOA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE
 
Mwambie ilikuwa ni hasira tu ndio maana nikajibu vile, samahani mpenzi kama nilikukwaza ila haikuwa maana yangu kufanya hivyo, mimi huwa unaniridhisha sana ila nina wivu sihitaji mali yangu iliwe na mwingine.

Aah mengine utaongezea mwenyewe hapo kujazia nyama nyama za ulaghai hadi akuelewe, mapenzi ni ulaghai tu kitandani na sisi wanaume kinacho tufanya tunaswe na malaya huko mitaani ni ulaghai wao kitandani, mtu unamgusa tu shingo anatoa kimguno cha kimahaba na kulegeza jicho kama anataka kukata roho na hicho ndicho sisi tunataka yaani uonekane kidume mbele ya mkeo ila ukionekana kama kero basi hata ham haiwezi kuja tena.

Tatizo mabebe zetu unamla huku unapokea masimango kibao mara utasikia "eeh humalizi tu nawewe mi nimechoka, au fanya haraka bhana umalize tulale, mwingine una mla huku anakusimulia story za madeni yake", yaani full stress hadi mzuka unakata.
 
Anaona umemzarau Sana yaani mwanaume anapenda kusifiwa atakama show mbovu
Alimfanyia shambulizi la kihisia..imemfanya mambo kuwa magumu sn

Unajua mwanaume hata km anapiga cha jogoo na anajua hakuridhishi,kitendo cha mwanamke kukuambia Tu mwamba Mzee Baba hauniridhishi,hapo anakufanya unachanganyikiwa na kufanya tatizo kuwa kubwa zaidi

Jamaa anampigia wakati mgumu Sana,Ila anajifanya kidume..Ile ego ya wanaume Ila anaumia na kuteseka sn
 
Atafute wa kusuuza roho yake huko aachane na huyo kisirani. M'ume wake angekuwa na busara hayo maneno yangemtouch baada ya hasira zao kupungua m'ume angekaa na mkewe wazungumzie jambo hilo jinsi ya kulitatua lakn cha ajabu m'ume kazira anajifanya kamind km demu huko hujengi ndoa bali unaisambaratisha..
 
Mkuu lady in action njoo PM kama uko DSM, ili nipate mawasiliano yako kwanza, mkuyenge wa kutosha 9 inch, pia muda unajipimia, naunganisha
Perimeter 5.7 inch
Delaying 16 min
Activation 30s
from 1st ejaculation 52 min
Time lasting 8 hrs max

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Natania bhana, ila njoo PM,
Ulimuharibu Psychology mumeo, ila naye kama anamaliza kabla ya wewe kutetema kama Mayele anatakiwa kucharazwa viboko hadharani akiwa mtupu! Dah!

Pole sana
 
Mme wako anafurahisha sana, Yaan tatizo ni lake na kununiwa ununiwe wewe😂😂!
Anyway umenunua ‘excuse’ ya kudumu mkuu siku yeyote asipokukaza fresh atasingizia nimeathirika kisaikolojiaa
 
Nicheki PM nikupe ushauri
 
Wa kusuuza roho naye akiwa ni wa kimoko chali na extra michepuko utamshauri nini tena huyo dada yetu? Papuchi aigeuze dustbin kila mtu ajipigie?
 
Nitafute nikufanyie maombi maalum, atanyooka tu huyo.
 
Hata yeye anajua kua hakuridhishi ila hiyo kumtamkia waziwazi imemuumiza sana.

Hata kama hakupi mkuyenge inavyotakikana kuna namna anaweza kukufikisha(kama ni mtundu na sio mvivu).

Ila bahati mbaya hiyo ndoa inaonekana mnakomoana sana, huyu akifanya kisanga hiki wewe unajibu kwa kisanga kile.
Bila mmoja wenu kujishusha mtaja uana nyie.
 
Sasa nairudishaje?
Ki ukweli hapo ulipiga pabaya saana....ni wanaume wachache sana huweza kuhimili kuto affectica na maneno kama hayo....Japo pia naelewa mumeo ndo mkosaji zaidi.....Hapo bi dada unachotakiwa kufanya ni kutumia uwezo wako wootw wa kuzaliwa kurudish tena confidence yake as long as bado una mpenda.....njia ya kwanza jifanye ktk mazungumzo kuwa hupendi wanaume wanaofanya tendo mudaa mreefu kama ligi......afu istoshe ukweli wa mambo lile tendo dhamira yake kubwa ni reproduction tuu...mengine yoote ni just decorations tuu za kiutandawazi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…