Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

Umri umeemda hasihishi kwa mazoea..
 
Huyu bila shaka kachungulia mbele kaona bila shaka things are falling apart. Sasa kuepuka anguko la ghafla kaona a adjust life kwa technique ili akiwa low profile watu wasemee "aah kaokoka yule".

Soko lishakua linaenda ukingoni huyu hamna kingine
 
Sasa ni nimeshasema sababu ni kuugua jamani?
Alipougua sana akaona hana jinsi, akamrudia Mungu.
Ukute ana tuandaa kisaikolojia kumbe amesha achwa na yule sponsor wake aliyekuwa anawapa pesa watambe na Wakina Aristote…..! Huyu atakuwa amesha achwa sasa anataka kujificha kwa kina mtumishi Donalita! 😂😂😂😂

Time tells
 
Upo juu aisee
Taarifa inajitosheleza. Sikuwa nafahamu yaliyomfika Uwoya lakini sasa naona kumbe alikumbana na balaa zito kabla ya uamuzi wa kumpokea Yesu
 
Nilishashindwa kuwatofautisha Jackline Wolper na Irene Uyowa (sijuwi Uwoya, not sure)... Yupi ni yupi? Huwa wananichanganya hivi mfanano wao. 😎

Hivi wote ni wachagga?

-Kaveli-
 
Kupitia mange tutakua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…