Baada ya kunyimwa silaha na China, Urusi sasa yaendelea kufuata Korea Kaskazini

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Supapawa anatapatapa, kalemazwa na kainchi kadogo.

"We have new information that Russia is actively seeking to acquire additional munitions from North Korea," said White House national security spokesman John Kirby.

He said the man, identified as Ashot Mkrtychev, 56, of Bratislava, was working on arms-related sales and barter deals between the two countries between late 2022 and the early part of this year.

"With the support of Russian officials, Mkrtychev has been attempting to broker a secret arms agreement between Russia and North Korea," he said.

Under discussion was for North Korea to ship "over two dozen" kinds of weapons and munitions to Russia, according to the US Treasury, which placed Mkrtychev on its sanctions blacklist.

In exchange, the Treasury said, Pyongyang would obtain cash, commercial aircraft, commodities and raw materials.

Kirby said Washington understands that Russia seeks to send a delegation to North Korea and is offering Pyongyang food in exchange for munitions.

He did not say if any deals had been completed, or detail the specific weapons involved.

Washington ikisema jambo huwa inalijua angalau kwa 85%. Walisema ana mpamgo wa kuishambulia Ukraine, akapingapinga halafu baadaye akashambulia kweli. Walichokosea tena kidogo tu ni kudhani kuwa atashinda mashambulizi yale kwani waliamini walikuwa na vifaru vingi pamoja na jeshi kubwa kuliko Ukraine, lakini jeshi la jamaa likafyekwa na vifaru vikateketezwa hovyo hovyo.

Halafu warusi ni washenzi kweli; mwenzao akiumizwa wanammalizia na kumwacha huko huko porini, hawana ile motto ya kijeshi kuwa "No one left behind."
 
Washington ikisema jambo huwa inalijua angalau kwa 85%. Walisema ana mpamgo wa kuishambulia Ukraine, akapingapinga halafu baadaye akashambulia kweli. Walichoksea tena kidogo tu ni kudhani kuwa aatashinda mashambuliz yale kwani waliamini walikuwa na vifaru vingi pamoja na jeshi kubwa kuliko Ukraine, lakini jeshi la jamaa likafeywaka na vifaru vikateketezwa hovyo hovyo.

Wemama acha kulialia kummalizia majeruhi ni moja ya huduma ya kwanza.
 
Walisema pia Iraq anamiliki silaha za maangamizi ikawa kweli?.
 
Haya maneno ya kwenye kanga ndiyo yamesababisha Ukraine kubaki magofu malengo ya stori kama hizi ni kui underate Russia ndo maana kipigo kipo palepale. Russia anapigana na nchi 56 ikiwamo USA canada uingereza ujeruman ufaransa Japan Italy na nyingine nyingi na kuna jeshi kubwa lipo Ukraine kutoka hizi nchi na silaha lukuki pamoja na màbilion ya dola vyote hivi vimepelekwa na bado vimepelekwa huko Ukraine ili kupambana na Russian.

Wapo matekà zaidi ya 800 ambao wengi ñi Makomando wapo mikononi mwa jeshi la urusi hawa ni majemadari waliokamatwa na jeshi la urusi ni wa mataifa hayo 56 wanabanwa kende huko ili waeleze vizuri walitumwa na nani ktk kiwanja wa vita. Urusi yaweza zidiwa vitu vingi na NATO allies lakini ktk kiwanja wa vita urusi ni kigingi ndo maàna wakubwa waliungana iĺi kumdhibiti mrusi
 
Mpumbavu usiyejua mambo ya kijeshi usiyangilie bali baki kijiweni tu. Unadhani wanaofanya hivi huwa ni wajinga?

images

no-one-left-behind-v0-fddejnk31o5a1.jpg

carrying-wounded-comrade-bettmann.jpg
 
Walisema pia Iraq anamiliki silaha za maangamizi ikawa kweli?.
Ndiyo maana waliimarisha ukusanyaji habari. CIA ya leo siyo ile ya miaka 20 iliyopita wakati Urusi ikiwa bado ni maskini wa kutupa, na hata jeshi la Marekani la leo siyo lile la miaka 20 iliyopita.

Una mawazo yale yale mgando ya Putin ya miaka 20 iliyopita ambapo kila akihutubia lazima alaumu Marekani asema uvamizi wa Iraq wakati wenzake wameshakwenda mbele. Miaka hiyo ishiri hata China haikuwa na kitu lakini leo anaenda kuwaomba msaada.
 
Haya maneno ya kwenye kanga ndiyo yamesababisha Ukraine kubaki magofu malengo ya stori kama hizi ni kui underate Russia ndo maana kipigo kipo palepale. Russia anapigana na nchi 56 ikiwamo USA canada uingereza ujeruman ufaransa Japan Italy na nyingine nyingi na kuna jeshi kubwa lipo Ukraine kutoka hizi nchi na silaha lukuki pamoja na màbilion ya dola vyote hivi vimepelekwa na bado vimepelekwa huko Ukraine ili kupambana na Russian.

Wapo matekà zaidi ya 800 ambao wengi ñi Makomando wapo mikononi mwa jeshi la urusi hawa ni majemadari waliokamatwa na jeshi la urusi ni wa mataifa hayo 56 wanabanwa kende huko ili waeleze vizuri walitumwa na nani ktk kiwanja wa vita. Urusi yaweza zidiwa vitu vingi na NATO allies lakini ktk kiwanja wa vita urusi ni kigingi ndo maàna wakubwa waliungana iĺi kumdhibiti mrusi
Unaleta propaganda wewe; kama Urusi ingekuwa na majemedari wote hao si kila siku wangekuwa wanaonyeshwa kwenye TV? Subir mvua za Masika hazijaanza vijana wa Ukraine wakimaliza mafunzo ya kijeshi ndipo utawatambua. Siyo unapeleka askari vitani akiwa amelewa Vodka.
 
Kwa Urusi mliyokua mnaisifia tulitegemea itafumua Ukraine kwa wiki, leo hii Urusi imeishiwa na imeshindwa hata kufumua Bakhmut...kamji kadogo tu.
Hebu ona sasa Rasmi sasa NATO sebuleni mwa Urusi, Uturuki iliyokua inazingua yaachia Finland
 
Ndiyo maana waliimarisha ukusanyaji habari. CIA ya leo siyo ile ya miaka 20 iliyopita wakati Urusi ikiwa bado ni maskini wa kutupa, na hata jeshi la Marekani la leo siyo lile la miaka 20 iliyopita.

Una mawazo yale yale mgando ya Putin ya miaka 20 iliyopita ambapo kila akihutubia lazima alaumu Marekani asema uvamizi wa Iraq wakati wenzake wameshakwenda mbele. Miaka hiyo ishiri hata China haikuwa na kitu lakini leo anaenda kuwaomba msaada.
Nilitegemea USA aingie Moja kwa Moja UKRAINE nakumtwanga mvamizi akimbie kurudia kwake URUSI. Nasio kutuma askari wakajifiche kwenye mashimo huko UKRAINE.
 
Unaleta propaganda wewe; kama Urusi ingekuwa na majemedari wote hao si kila siku wangekuwa wanaonyeshwa kwenye TV? Subir mvua za Masika hazijaanza vijana wa Ukraine wakimaliza mafunzo ya kijeshi ndipo utawatambua. Siyo unapeleka askari vitani akiwa amelewa Vodka.
Askari waliolewa VODKA ndio hao USA pamoja na NATO wanashindwa kuwavamia nakuwafurusha UKRAINE, basi ukiona hivo ujue Kuna shida Kwa hao askari ambao wanaongozwa na USA.
 
Ikitia guu hapo mtume wenu Putin anafutika.
Itie mguu mara ngapi? Vikosi maalumu vya NATO vipo hapo ukrane kitambo sana vinapukutishwa kila siku

NATO wameshatumia pesa nyingi sana ktk hii vita mpaka nchi zao sasahivi zina matatizo ya kiuchumi lakini kwenye mapambano hapo Ukraine wanazidi kuchapika kila kukiicha. RUSSIA NI MNYAMA DUBU NI HATARI KULIKO HATARI YENYEWE
 
Back
Top Bottom