Baada ya kunyimwa silaha na China, Urusi sasa yaendelea kufuata Korea Kaskazini

Unaleta propaganda wewe; kama Urusi ingekuwa na majemedari wote hao si kila siku wangekuwa wanaonyeshwa kwenye TV? Subir mvua za Masika hazijaanza vijana wa Ukraine wakimaliza mafunzo ya kijeshi ndipo utawatambua. Siyo unapeleka askari vitani akiwa amelewa Vodka.
Ni aafadhali ya hao waliolewa vodka kuliko kupeleka shoga frontline
 
Mleta Mara ulishaambiwa kuwa hilo ni dili ndiyo maana Wagner wanaenda mdogo mdogo..kila taifa linatamani kwenda kutest zake pale na mpaka sasa nchi nyingi za Westerners ikiongozwa na Marekani wameshapeleka kutest zao na mwisho wa siku kunawatu watapoteza kabisa ushawishi na soko lao la siraha (Hususan westerners) sababu watu wanaona wazi kwenye ground kipi bora na kipi chakununua..Mfano mifumo ya ulinzi yote waliyopeleka Westerners improve failure hivyo usitegemee tena kama kutakuwa na soko baada ya hapo..Upande wa Mashariki kama Iran,China na hao unaowasema North Korea nao wanaenda kutest za kwao kuona zinafanyaje kazi lakini wao mlango wa kwenda kutest zao wamechagua upande wa Wagner..hivyo tegemea baada ya hilo tukio kuna mataifa yatapoteza kabisa ushawishi sababu kama vitu vyako vyote vikifail kwenye ground itakuwa NGUMU kuwa na ushawishi. Kama issue ya Uchumi sasahv tayari mataifa mengi tu yanambadala wa kwenda kukopa!.Ni Military Science tu ndiyo maana unaona hizo delay nyingi kutoka kwa Wagner.
 
Kwa Urusi mliyokua mnaisifia tulitegemea itafumua Ukraine kwa wiki, leo hii Urusi imeishiwa na imeshindwa hata kufumua Bakhmut...kamji kadogo tu.
Hebu ona sasa Rasmi sasa NATO sebuleni mwa Urusi, Uturuki iliyokua inazingua yaachia Finland
lakin mbona tunasubir muda mchache tu utasikia Ukraine kaachia bhakmut coz kuna taarifa nimesoma kuwa bhakmut inashikiliwa na urusi kwa asilimia 65 so far unaonekana ni mfuasi wa west katika ushabiki wako huu unadhani Urusi itaanguka sio rahis dingi ile ni ulaya mzee ulaya ukiharibiwa itachukia muda kuijenga soon utasikia jumuiya ya kimataifa wanataka wakae chin wayaongee AF MK254 si upo ule msemo kwamba ndugu wakigombana shika jembe ukalime Fanya ya msingi ya maisha yako kukaa kusubiri uone nani ataangushwa hakuna mchango ktk maisha yako serikali ya Tz iwakumbuke vijana ajira hamna wanashinda mtandaoni kuzuga kuja kuandika biased articles

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
 
Supapawa anatapatapa, kalemazwa na kainchi kadogo.

"We have new information that Russia is actively seeking to acquire additional munitions from North Korea," said White House national security spokesman John Kirby.

He said the man, identified as Ashot Mkrtychev, 56, of Bratislava, was working on arms-related sales and barter deals between the two countries between late 2022 and the early part of this year.

"With the support of Russian officials, Mkrtychev has been attempting to broker a secret arms agreement between Russia and North Korea," he said.

Under discussion was for North Korea to ship "over two dozen" kinds of weapons and munitions to Russia, according to the US Treasury, which placed Mkrtychev on its sanctions blacklist.

In exchange, the Treasury said, Pyongyang would obtain cash, commercial aircraft, commodities and raw materials.

Kirby said Washington understands that Russia seeks to send a delegation to North Korea and is offering Pyongyang food in exchange for munitions.

He did not say if any deals had been completed, or detail the specific weapons involved.

mleta maada hana tofauti kubwa na MTU yule anaeona kibanzi ktk jicho la mwengine na kusahau boliti ktk jicho lake usipende kukosoa kosoa ni ujinga usipende kuona shida sana za jirani mpaka inafikia mahali unasahau shida zako unaongea sana maswala ya urusi as if ww ni mrusi warusi wameshikana kutetea malengo yao sisi waafrika tulishindwa hata kukemea uvamiz wa Libya yapo matatizo mengi yanayotukabiri ukosefu wa ajira utegemezi wa kiuchumi na tecknolojia je hayo huyaoni au hayana tija napenda taarifa zako Ila malengo ya taarifa zako yananipa wasiwasi kwa hivi sasa nimewadharau sana bbc ,aljazeera,CNN na DW koz taarifa zao ni za upande mmoja ww unajitia kuweka pamba ktk masikio yajayo si mazuri gala wewe mrusi anajiandaa kwa battle kubwa zaidi wamemdanganya mchekeshaji wa urusi watumie Ukraine kama battle field ameingia ktk mtego wao hawa watu hawa sasa wapo na ajenda ya feminism na ushoga hatujui n nn wanachokitafuta au wewe ni mfuasi wa ushoga dingi maana huoni kasoro kwa Sera za nato

sorry Leo sijaingia mishe so nimeona nikusengenye kidogo

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
 
Itie mguu mara ngapi? Vikosi maalumu vya NATO vipo hapo ukrane kitambo sana vinapukutishwa kila siku

NATO wameshatumia pesa nyingi sana ktk hii vita mpaka nchi zao sasahivi zina matatizo ya kiuchumi lakini kwenye mapambano hapo Ukraine wanazidi kichapika kila kikicha. RUSSIA NI MNYAMA DUBU NI HATARI KULIKO HATARI YENYEWE
Ushabiki bwana
 
Vikosi vikiingia hapo Urusi na mtume wenu chalii.... hiyo NATO kuna mataifa hayahitaji muungano kumla Putin.
 
lakin mbona tunasubir muda mchache tu utasikia Ukraine kaachia bhakmut coz kuna taarifa nimesoma kuwa bhakmut inashikiliwa na urusi kwa asilimia 65 so far unaonekana ni mfuasi wa west katika ushabiki wako huu unadhani Urusi itaanguka sio rahis dingi ile ni ulaya mzee ulaya ukiharibiwa itachukia muda kuijenga soon utasikia jumuiya ya kimataifa wanataka wakae chin wayaongee AF MK254 si upo ule msemo kwamba ndugu wakigombana shika jembe ukalime Fanya ya msingi ya maisha yako kukaa kusubiri uone nani ataangushwa hakuna mchango ktk maisha yako serikali ya Tz iwakumbuke vijana ajira hamna wanashinda mtandaoni kuzuga kuja kuandika biased articles

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app

Shida sio kuachia Bakhmut, Urusi mliyokua mnaisifia ilipaswa iparamie ka-Ukraine ndani ya wiki, leo imepoteza wanajeshi 70,000 kwa hapo Bakhmut tu, yaani Putin anatumia wanajeshi wake na wafungwa kama mifugo wajifie mizoga itapakae kote kisa kamji ka Bakhmut.
 
mleta maada hana tofauti kubwa na MTU yule anaeona kibanzi ktk jicho la mwengine na kusahau boliti ktk jicho lake usipende kukosoa kosoa ni ujinga usipende kuona shida sana za jirani mpaka inafikia mahali unasahau shida zako unaongea sana maswala ya urusi as if ww ni mrusi warusi wameshikana kutetea malengo yao sisi waafrika tulishindwa hata kukemea uvamiz wa Libya yapo matatizo mengi yanayotukabiri ukosefu wa ajira utegemezi wa kiuchumi na tecknolojia je hayo huyaoni au hayana tija napenda taarifa zako Ila malengo ya taarifa zako yananipa wasiwasi kwa hivi sasa nimewadharau sana bbc ,aljazeera,CNN na DW koz taarifa zao ni za upande mmoja ww unajitia kuweka pamba ktk masikio yajayo si mazuri gala wewe mrusi anajiandaa kwa battle kubwa zaidi wamemdanganya mchekeshaji wa urusi watumie Ukraine kama battle field ameingia ktk mtego wao hawa watu hawa sasa wapo na ajenda ya feminism na ushoga hatujui n nn wanachokitafuta au wewe ni mfuasi wa ushoga dingi maana huoni kasoro kwa Sera za nato

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app

Kwanza jifunze kuandika vizuri, insha yako hii haisomeki maana sijui uliishia la saba au wapi, haujui matumizi ya alama za vituo, unaandika andika tu.
Hakuna atakaye poteza muda kusoma ulichoandika hapo, mimi nimesoma mstari wa kwanza nikatupa kuleee....
 
Hawa Warusi wa bonyokwa wanachangia mada kama wanaimba taarabu yani mijitu ya hovyo sana ndo 2001 walikuwa wanasema Osama anapotea kama shetani[emoji23][emoji23][emoji23]
Leo wanasema Russia inapigana na nchi56 na Putini anasema yeyeto atakae jihusisha kwenye operation yake hapo Ukraine atamfuta upesi sana sasa sielewi
 
Hujasikia kilicho wakuta kwenye handaki huko
 
Hawa Warusi wa bonyokwa wanachangia mada kama wanaimba taarabu yani mijitu ya hovyo sana ndo 2001 walikuwa wanasema Osama anapotea kama shetani[emoji23][emoji23][emoji23]
Leo wanasema Russia inapigana na nchi56 na Putini anasema yeyeto atakae jihusisha kwenye operation yake hapo Ukraine atamfuta upesi sana sasa sielewi
Hapo kwa Osama marekani walifanya usanii sana, yahani kwa masifa yote yale walishindwa kutoonyeha ata kapicha kamoja
 
Washington ikisema jambo huwa inalijua angalau kwa 85%. Walisema ana mpamgo wa kuishambulia Ukraine, akapingapinga halafu baadaye akashambulia kweli. Walichoksea tena kidogo tu ni kudhani kuwa aatashinda mashambuliz yale kwani waliamini walikuwa na vifaru vingi pamoja na jeshi kubwa kuliko Ukraine, lakini jeshi la jamaa likafeywaka na vifaru vikateketezwa hovyo hovyo.

Halafu warusi ni washenzi kweli; mwenzao akiumizwa wanammalizia na kumwacha huko huko porini, hawana ile motto ya kijeshi kuwa "No one left behind."
Akaamini pia akichimba ule mkwara basi mataifa ya NATO yatasitisha kuisaidia Ukraine.
 
Urusi walikuwa wakitembea jina la Soviet Union tu kudhani kuwa wanaogopwa kama ilivyokuwa Soviet Union ya enzi hizo. Hata walipoanza mazungumzo ya amani huko Belarus na Uturuki, Lavrov alikuwa akiingia mkutanoni kwa majigambo akidai kuwa lazima Ukraine i-surrender kwanza ndipo kuwe na amani ama sivyo hakutakuwa na Ukraine itakayobaki. Majuzi nimesikia kwenye mjadala huko India akiwa analalamika kuwa eti Ukraine ndiyo ilianzisha vita hiyo, na hapo Urusi inajitetea tu.
 
Back
Top Bottom