4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
hz habari tulizisoma wote hapa hapa na mlikuwa mnasifia kuwa ndo SMO fupi kupita kiasi na mlifika hatua na kufananisha na SMO ya USA huko Iraq , hizo link unataka utumiwe kwan umejiunga JF jana ?Wapi aliposema hivyo,, acha umbea naona umekaza fuvu mda wote,,, tuwekee basi hata link au video tuone hapo Putin aliposema hivyo na sisi tuone,,,