Baada ya kunyimwa silaha na China, Urusi sasa yaendelea kufuata Korea Kaskazini

Baada ya kunyimwa silaha na China, Urusi sasa yaendelea kufuata Korea Kaskazini

Babu yenu Putin alivyosema kwamba ni operation ndogo itaisha ndani ya saa 72 alifikiri vita ni birthday sio!
Russia anaitandika ulaya yote na kaka yao marekani. Unakumbuka umoja wa ulaya walivyosema kushindwa kwa Ukraine ni kushindwa kwa ulaya eti wakitegemea sanctions zitawasaidia. IMEKULA KWAO kudadeki
 
Washington ikisema jambo huwa inalijua angalau kwa 85%. Walisema ana mpamgo wa kuishambulia Ukraine, akapingapinga halafu baadaye akashambulia kweli.

umesahau jambo moja ndg, "washingitoni" hiyohiyo, ilisema baada ya kumuondoa madarakani muammar gaddafi na kumuulia mbali,libya ingekuwa na uchumi imara maradufu na pia ingekuwa na utulivu wa kisiasa.

na kweli, libya ya leo ni imara kiuchumi na tulivu kuliko ile ya awali ya muammar gaddafi.
 
Haya maneno ya kwenye kanga ndiyo yamesababisha Ukraine kubaki magofu malengo ya stori kama hizi ni kui underate Russia ndo maana kipigo kipo palepale. Russia anapigana na nchi 56 ikiwamo USA canada uingereza ujeruman ufaransa Japan Italy na nyingine nyingi na kuna jeshi kubwa lipo Ukraine kutoka hizi nchi na silaha lukuki pamoja na màbilion ya dola vyote hivi vimepelekwa na bado vimepelekwa huko Ukraine ili kupambana na Russian.

Wapo matekà zaidi ya 800 ambao wengi ñi Makomando wapo mikononi mwa jeshi la urusi hawa ni majemadari waliokamatwa na jeshi la urusi ni wa mataifa hayo 56 wanabanwa kende huko ili waeleze vizuri walitumwa na nani ktk kiwanja wa vita. Urusi yaweza zidiwa vitu vingi na NATO allies lakini ktk kiwanja wa vita urusi ni kigingi ndo maàna wakubwa waliungana iĺi kumdhibiti mrusi
So ile ishu ya masaa 72 kumaliza vita walimu underestimate Ukraine?
 
Alipiga mkwara mwanzoni kabisa hadi mpaka Wamarekani wakaingia upepo wakataka dogo Zele akimbie nchi ila dogo akakomaa kiume!
Wapi aliposema hivyo,, acha umbea naona umekaza fuvu mda wote,,, tuwekee basi hata link au video tuone hapo Putin aliposema hivyo na sisi tuone,,,
 
Tupatie ushahidi wa unaothibitisha kwamba Pitin alipania kumuondoa madatakani Zelensky - mnaendeleza propaganda zenu eto Putin alitaka kusimika Serikali ya Kibaraka wake huko Kiev - tukisema leta ushahidi huna, unayo yasema umeyasikia kwenye MSM basi.
ushabiki unakutia ukichaa , fuatilia bila mahaba kila kitu kipo waz , bila kwenda mbali Putin amewai waomba jeshi la Ukraine kumuondoa madarakan Zele
 
Baada ya hivi Vita sidhani kama Putin atabaki na ushawishi aliokuwa nao kabla.....hii Vita imemdhalilisha kabisa.
na urusi rasmi inaenda kuwa kolon la China , warusi wenye itimamu washaanza lalamika tyr
 
Mpaka Wa Finland Wote umtegewa mabomu ya Nuclear tena usalama imeimarishwa just incase finland ndio itaanza kuchomwa moto yote..Yaani Hawa NATO WOOTE wameungana wakimuogopa Mrusi na Mchina tu...hakuna watu waoga kama hawa...
hii reply imeandikwa na mtu mzima mwenye familia yake kabisa
 
Kuwa na akili basi ata kidogo, kukubali kiongozi wao amekufa, haimaanishi ameuwawa na USA.
kwahiyo wewe ndo unajua kuliko al qaida ? wao wasipinge ila wewe ndo mpingaj , hao sio mazuzu kama wewe , wanaangalia kesho , kufanya hivyo ingeleta taharuk Osama alikuwa mtu wa watu , hata hizo mentality zako wao USA ndo wameziunda pia
 
Back
Top Bottom