Mwamaleki
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 727
- 2,969
Acha hiyo tabia kaka. Ni mbaya sanaTuipongeze Uganda Kwa kuweka sheria Kali dhidi ya mashoga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha hiyo tabia kaka. Ni mbaya sanaTuipongeze Uganda Kwa kuweka sheria Kali dhidi ya mashoga!
Hebu tupe vita za superpower alizopigana peke yake akiwa anakula pizza na burgerInategemea, ukiwa supapawa wa kweli vita unapigana huku wanajeshi wako wakila burger na pizza....
Naiunga mkono Uganda Kwa hatua madhubuti!Acha hiyo tabia kaka. Ni mbaya sana
Tupatie ushahidi wa unaothibitisha kwamba Pitin alipania kumuondoa madatakani Zelensky - mnaendeleza propaganda zenu eto Putin alitaka kusimika Serikali ya Kibaraka wake huko Kiev - tukisema leta ushahidi huna, unayo yasema umeyasikia kwenye MSM basi.umeandika gazeti refu sana kama vile wewe ni msemaji wa Putin. Unakumbuka mikutano hii? Huyu ndugu yako alikuwa ajiamaini kuwa ana special military operation ataingia Ukraine na kuondoa serikali ilipo ili aweke ya kibaraka wake na mambo yawe yamekwisha; kumbe amekali kaa la moto. Hizi propaganda zako haziendi popote kwa wenye kujua mambo kikamilifu.
Kwa taarifa yako ni kwamba Putin anaumizwaa nchi za jirani zinapofanya uchaguzi wa kidemokrasia na kubadili viongozi. Aliivamia Georgia kwa sababu hiyo hiyo na sasa kaivamia Ukraine akidhani ni sppecial military operation kwa sababu Ukraine imekuwa inafanya uchaguzi kubadili viongozi mara kwa mara. Hajailalamikia Belarus kwa vile pale kuna dikteta mwingine kama yeye. Sasa wewe unakuja na filimbi ndefu za kipropaganda ukidhani wote hapa ni mbu,mbumbu wa global politics.
![]()
![]()
![]()
Baada ya hivi Vita sidhani kama Putin atabaki na ushawishi aliokuwa nao kabla.....hii Vita imemdhalilisha kabisa.Washington ikisema jambo huwa inalijua angalau kwa 85%. Walisema ana mpamgo wa kuishambulia Ukraine, akapingapinga halafu baadaye akashambulia kweli. Walichokosea tena kidogo tu ni kudhani kuwa atashinda mashambulizi yale kwani waliamini walikuwa na vifaru vingi pamoja na jeshi kubwa kuliko Ukraine, lakini jeshi la jamaa likafyekwa na vifaru vikateketezwa hovyo hovyo.
Halafu warusi ni washenzi kweli; mwenzao akiumizwa wanammalizia na kumwacha huko huko porini, hawana ile motto ya kijeshi kuwa "No one left behind."
Mtetezi mkuu wa Putin!Tupatie ushahidi wa unaothibitisha kwamba Pitin alipania kumuondoa madatakani Zelensky - mnaendeleza propaganda zenu eto Putin alitaka kusimika Serikali ya Kibaraka wake huko Kiev - tukisema leta ushahidi huna, unayo yasema umeyasikia kwenye MSM basi.
Aisee, kwa hiyo, unapingana na wasemaji wa Pentagon kuwa shehena za silaha hizo walizopeleka Ukraine hazikufika? Kwamba DoD inawaibia Wamarekani kwa kuwasilisha maelezo yasiyosahihi kuhusu silaha wanazopela Ukraine?
===
Mkuu kuwa makini, utaenguliwa kwenye kitengo cha kuibeba(kufisha udhaifu) Marekani mitandaoni.
Sasa naona umerudi kwenye mstari. Endelea Sasa na Mjadala wako. Asubuhi njema.Shehena isikuumize kichwa, ila napenda sana namna wazalendo wa Ukraine wamezitumia kutembeza kichapo kwa supapawa mtume wenu Putin. Aisei kwa kiherehere mlichokua nacho nilihani Ukraine itafutika kwa wiki moja, leo mnalialia kuhusu shehena....hehehe
Mpaka Wa Finland Wote umtegewa mabomu ya Nuclear tena usalama imeimarishwa just incase finland ndio itaanza kuchomwa moto yote..Yaani Hawa NATO WOOTE wameungana wakimuogopa Mrusi na Mchina tu...hakuna watu waoga kama hawa...Kwa Urusi mliyokua mnaisifia tulitegemea itafumua Ukraine kwa wiki, leo hii Urusi imeishiwa na imeshindwa hata kufumua Bakhmut...kamji kadogo tu.
Hebu ona sasa Rasmi sasa NATO sebuleni mwa Urusi, Uturuki iliyokua inazingua yaachia Finland
Mpaka Wa Finland Wote umtegewa mabomu ya Nuclear tena usalama imeimarishwa just incase finland ndio itaanza kuchomwa moto yote..Yaani Hawa NATO WOOTE wameungana wakimuogopa Mrusi na Mchina tu...hakuna watu waoga kama hawa...
Hii SMO imepoteza uelekeo.Ukraine vidume yaani vita imefika mwaka mzima sasa mpaka Putin anatishia nukes
Russia ni jeshi lisilo na weledi, lina nidhamu kidogo na morali ya chini sana kwa sababu ya Rushwa, nepotism na siasa kutawala zaidi hadi frontlines.Washington ikisema jambo huwa inalijua angalau kwa 85%. Walisema ana mpamgo wa kuishambulia Ukraine, akapingapinga halafu baadaye akashambulia kweli. Walichokosea tena kidogo tu ni kudhani kuwa atashinda mashambulizi yale kwani waliamini walikuwa na vifaru vingi pamoja na jeshi kubwa kuliko Ukraine, lakini jeshi la jamaa likafyekwa na vifaru vikateketezwa hovyo hovyo.
Halafu warusi ni washenzi kweli; mwenzao akiumizwa wanammalizia na kumwacha huko huko porini, hawana ile motto ya kijeshi kuwa "No one left behind."
Hapo kwa Osama marekani walifanya usanii sana, yahani kwa masifa yote yale walishindwa kutoonyeha ata kapicha kamoja
Huwa wanawaua wenyewe na kuwaacha huko huko, siyo kwamba wameafanyiwa counter offensive. Vijana wengi waliokuwa conscripted kutoka sehemu za mashariki mwa urusi walipofika kwenye uwanja wa mapamabano wakatetemeka kwa vile walikuwa hawategemei mapambano ya ana kwa ana. Walipoogopa kuingia mapambanoni, askari contracted wakapiga risasi ni kuacha miili yao huko huko. Aliyepona kifo akajisamilisha Ukraine kama mateka alikuwa anaongea mbele ya camera akirekodiwa.
Siku ukielewa kuwa Russia iliwahi mtoa mvamizi Moscow hadi Berlin ndio utaelewa kwanini hao jamaa wanaogopwa na mataifa yote. Hao jamaa wana mbinu kama million 6 za kushinda vita na wana uzoefu wa kutosha. Don't be fooled na speed yao hapo Ukraine. Huwa wanapigana kushinda sio kwa kujihami
Kuwa na akili basi ata kidogo, kukubali kiongozi wao amekufa, haimaanishi ameuwawa na USA.Al Qaeda wenywe walishakubali kiongozi wao hawanaye tena na wakachagua mwingine wa kumrithi, wewe Mwarabu wa bonyokwa bado unabisha tu.
Nilitegemea USA aingie Moja kwa Moja UKRAINE nakumtwanga mvamizi akimbie kurudia kwake URUSI. Nasio kutuma askari wakajifiche kwenye mashimo huko UKRAINE.