Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Unaandika kujifurahisha!Kama Russia anarudisha maiti za askari wa Ukraine Tena kwenye majeneza,ataachaje kuwarudisha wa kwake?Washington ikisema jambo huwa inalijua angalau kwa 85%. Walisema ana mpamgo wa kuishambulia Ukraine, akapingapinga halafu baadaye akashambulia kweli. Walichoksea tena kidogo tu ni kudhani kuwa aatashinda mashambuliz yale kwani waliamini walikuwa na vifaru vingi pamoja na jeshi kubwa kuliko Ukraine, lakini jeshi la jamaa likafeywaka na vifaru vikateketezwa hovyo hovyo.
Halafu warusi ni washenzi kweli; mwenzao akiumizwa wanammalizia na kumwacha huko huko porini, hawana ile motto ya kijeshi kuwa "No one left behind."
Pili,Hilo la kuivamia hata Mimi nilijua!Baada ya kuona Russia kasogeza jeshi na vifaa vita zaidi ya laki Moja mpakani na Ukraine nilijua kinachofuata!Watu wengi walijua!
Hakuna maajabu hapo,kama wewe hukujua basi una tatizo!
Yaani Leo China isogeze majeshi na vifaa vita kuisogelea Taiwan halafu usijue kifuatacho!!!