Baada ya kunyimwa silaha na China, Urusi sasa yaendelea kufuata Korea Kaskazini

Kichapo kinaendelea na malengo lazima yafikiwe!
Hizo nyingine ni ngonjera tu ambazo hazibadilishi chochote!

Ule msafara wa magari ya kivita zaidi ya 100 kuelekea Kyiv uliishia wapi?!
 
Babu yenu Putin alivyosema kwamba ni operation ndogo itaisha ndani ya saa 72 alifikiri vita ni birthday sio!
Russia anaitandika ulaya yote na kaka yao marekani. Unakumbuka umoja wa ulaya walivyosema kushindwa kwa Ukraine ni kushindwa kwa ulaya eti wakitegemea sanctions zitawasaidia. IMEKULA KWAO kudadeki
 
Washington ikisema jambo huwa inalijua angalau kwa 85%. Walisema ana mpamgo wa kuishambulia Ukraine, akapingapinga halafu baadaye akashambulia kweli.

umesahau jambo moja ndg, "washingitoni" hiyohiyo, ilisema baada ya kumuondoa madarakani muammar gaddafi na kumuulia mbali,libya ingekuwa na uchumi imara maradufu na pia ingekuwa na utulivu wa kisiasa.

na kweli, libya ya leo ni imara kiuchumi na tulivu kuliko ile ya awali ya muammar gaddafi.
 
So ile ishu ya masaa 72 kumaliza vita walimu underestimate Ukraine?
 
Alipiga mkwara mwanzoni kabisa hadi mpaka Wamarekani wakaingia upepo wakataka dogo Zele akimbie nchi ila dogo akakomaa kiume!
Wapi aliposema hivyo,, acha umbea naona umekaza fuvu mda wote,,, tuwekee basi hata link au video tuone hapo Putin aliposema hivyo na sisi tuone,,,
 
ushabiki unakutia ukichaa , fuatilia bila mahaba kila kitu kipo waz , bila kwenda mbali Putin amewai waomba jeshi la Ukraine kumuondoa madarakan Zele
 
Baada ya hivi Vita sidhani kama Putin atabaki na ushawishi aliokuwa nao kabla.....hii Vita imemdhalilisha kabisa.
na urusi rasmi inaenda kuwa kolon la China , warusi wenye itimamu washaanza lalamika tyr
 
Mpaka Wa Finland Wote umtegewa mabomu ya Nuclear tena usalama imeimarishwa just incase finland ndio itaanza kuchomwa moto yote..Yaani Hawa NATO WOOTE wameungana wakimuogopa Mrusi na Mchina tu...hakuna watu waoga kama hawa...
hii reply imeandikwa na mtu mzima mwenye familia yake kabisa
 
Kuwa na akili basi ata kidogo, kukubali kiongozi wao amekufa, haimaanishi ameuwawa na USA.
kwahiyo wewe ndo unajua kuliko al qaida ? wao wasipinge ila wewe ndo mpingaj , hao sio mazuzu kama wewe , wanaangalia kesho , kufanya hivyo ingeleta taharuk Osama alikuwa mtu wa watu , hata hizo mentality zako wao USA ndo wameziunda pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…