hz habari tulizisoma wote hapa hapa na mlikuwa mnasifia kuwa ndo SMO fupi kupita kiasi na mlifika hatua na kufananisha na SMO ya USA huko Iraq , hizo link unataka utumiwe kwan umejiunga JF jana ?Wapi aliposema hivyo,, acha umbea naona umekaza fuvu mda wote,,, tuwekee basi hata link au video tuone hapo Putin aliposema hivyo na sisi tuone,,,
Umezisoma wote na nani? Hizo ngonjera zenu mlizitunga tu ili kujitia moyo, eti operesheni ya masaa 72,, weka basi hata kavideo au link au post number ngapi pro Russia yoyote aliesema kwamba iyo smo itaenda masaa 72 kama sio nyie mliozusha haya pro upinde,,,!!hz habari tulizisoma wote hapa hapa na mlikuwa mnasifia kuwa ndo SMO fupi kupita kiasi na mlifika hatua na kufananisha na SMO ya USA huko Iraq , hizo link unataka utumiwe kwan umejiunga JF jana ?
Nyie mnaojifanyia kuutaja ushoga kila dakika ndio unakuta mnafukuliwa mitaro hadi mnatia huruma.Mashoga katika ubora wao, inasikitisha sana mwafrika kushabikia marekani na nato. Mtafumuliwa malinda hadi mfe pumbavu kabisa.
Germany hakutakiwa shindwa ile vitaEnzi za vita vya pili vya dunia upande wa allies ambako USSR(sio Russia) ilikuwepo ulipewa msaada wa kijeshi na Marekani, vinginevyo uwanja ulikuwa umeshainamia kwao.
Putin na wafuasi wake hawana akili, mtu yuko vitani afu anaanza lia oooh tunaupinga ushoga, kama vile vita ni ya ushogaBabu yenu Putin alivyosema kwamba ni operation ndogo itaisha ndani ya saa 72 alifikiri vita ni birthday sio!
Malengo yao yote yameyeyuka.SMO ya masaa 72 imegeuka mwaka sasa