Baada ya kuona hali tete Korea Kaskazini yaondoa Wanajeshi wake Mstari wa Mbele huko Ukraine

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Screenshot_2025-02-05-06-38-38-743_com.instagram.android~2.jpg
 
Ukipata bahati ya kupiga picha na Kim lazima ulie kuonesha furaha ya juu uliyonayo kuwa karibu na Chairman.
Usipolia ni uhaini
Umenivunja mbavu asubuhi asubuhi eti usilie kwani wewe nani labda ? Jirani na Kim.
 
Kipigo cha mjomba zele sio poa
Hakuna kipigo tumia akili ....niliwaambia hapa kuwa waukreni hawana akili na NATO wao ....ukitumia akili vizuri utajua kwanini kursk bado urussi ajaichukua kikamilifu mpaka leo kuna manufaa makubwa sana kijeshi kwa urussi na hata kwa hiyo North Korea pia ...niliwaambia kuwa mbinu anayo tumia mrussi hapo KURSK INAITWA KULINA ASALI INATUMIKA KWENYE UFUGAJI WA NYUKI...inatakiwa ukilina asali ubakishe kidogo hili nyuki waendelee kubaki na wewe uendelee kupata manufaa ya asali .....sasa ukweli ni kuwa urussi ingetaka kukomboa eneo lote la KURSK ingutumia mwezi mmoja tu kusambaratisha jeshi la UKRAIN NA NATO kwa asilimia 100% ....ningekuwa na muda ningeandika hapa kwanini warussi wanawafuga NATO NA UKRAIN HAPO KURSK kuna manufaa gani kijeshi kwa upande wa urussi? na kuna hasara gani kubwa sana wanayo pata ukrain na NATO hapo kursk ....hivyo kurudi nyuma ni kuzidi kuwafanya waukrain na NATO wasiondoke hapo kursk wazidi kuuliwa na kualibiwa silaha zao nyingi kirahisi for nothing goal.
 
Kuandika tu hujui. Utajua mambo ya vita na akili kweli? Mlete mtu anayekusimulia siyo wewe unayekariri.
 
Kipigo cha mjomba zele sio poa
February 3, 2025

Russian drone attack damages homes and railway depot in Ukraine​

KYIV, Feb 4 (Reuters) - Ukraine's military said on Tuesday that it shot down 37 out of 65 Russian drones overnight in an attack that damaged businesses, a railway depot and homes around the nation.

Ukraine's state railways Ukrzaliznytsia said Russia attacked a depot in Dnipropetrovsk region, causing significant damage to infrastructure and premises.

February 4, 202512:21 PM GMT+3

https://www.reuters.com

4 Feb, 2025 21:04

Hakuna kipigo tumia akili ....niliwaambia hapa kuwa waukreni hawana akili na NATO wao ....ukitumia akili vizuri utajua kwanini kursk bado urussi ajaichukua kikamilifu mpaka leo kuna manufaa makubwa sana kijeshi kwa urussi na hata kwa hiyo North Korea pia ...niliwaambia kuwa mbinu anayo tumia mrussi hapo KURSK INAITWA KULINA ASALI INATUMIKA KWENYE UFUGAJI WA NYUKI...inatakiwa ukilina asali ubakishe kidogo hili nyuki waendelee kubaki na wewe uendelee kupata manufaa ya asali .....sasa ukweli ni kuwa urussi ingetaka kukomboa eneo lote la KURSK ingutumia mwezi mmoja tu kusambaratisha jeshi la UKRAIN NA NATO kwa asilimia 100% ....ningekuwa na muda ningeandika hapa kwanini warussi wanawafuga NATO NA UKRAIN HAPO KURSK kuna manufaa gani kijeshi kwa upande wa urussi? na kuna hasara gani kubwa sana wanayo pata ukrain na NATO hapo kursk ....hivyo kurudi nyuma ni kuzidi kuwafanya waukrain na NATO wasiondoke hapo kursk wazidi kuuliwa na kualibiwa silaha zao nyingi kirahisi for nothing goal.
Unatudanganya unatangaza vita kama mpira wao wanasema wamerudisha wanajeshi nyuma na wao kila kukicha wanatangaza wanajeshi wao wanavyokufa huko wewe upo zako mbalizi unatuona watoto unatupa hadithi za Asali..Warusi wafe kwenye hiyo vita watapona Wakorea au unataka ubishi wa Simba/ Yanga kwenye vita.
 
Kwa hiyo kwa akili zako urussi inashindwa kuchukua kursk ndani ya mwezi mmoja tu ....wamerudisha wanajeshi nyuma ili waukreni na NATO wao, waongeze asali ya majeshi na vifaa wasije kukimbia kabisa kursk hili urussi iendelee kuvuna asali ambayo ni kuwaua askari wa ukrain na NATO na kuteketeza vifaa vyao vya kijeshi....
Ukrain na nato wanateketea vibaya sana kursk kuliko sehemu nyingine yoyote kwenye hii vita....Siku utasikia NATO na waukrain wanakili ninacho kuambia kuwa urussi inafanya makusudi kuto kuichukua kursk na sababu zitakuwa hizi hizi nilizosema hapa... siku hiyo mnikumbuke kuwa jiniasi niliwaambieni.
 
Shida nini mzee Urusi hadi anaomba msaada wa Majeshi kutoka nje ina maana hali ni ngumu hili haliitaji akili...mbona vitu vidogo tu vinakusumbua kichwa mazee shida nini..
 
Back
Top Bottom